kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Mali matatani akihusishwa na tukio la kutoweka kwa mwandishi 2016

    PICHA: Karim Keita Mtoto wa Rais wa zamani wa Mali Shirika la Interpol limetoa hati ya kimataifa ya kumkamata Karim Keita, mtoto wa rais wa zamani wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita, akihusishwa na tukio la mwaka 2016 la kutoweka kwa mwandishi wa habari za uchunguzi, watu walio katika duru za...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tukiwa wakweli na wawazi kuhusu COVID-19, tutapona na kuwa taifa lenye kustaajabisha

    Salaamu Watanzania! Duniani kote, habari kuu ni Wimbi la tatu la Corona, habari hizi zinaendana na mpango wa chanjo, mpango ambao unatumia matrioni ya fedha kufanikisha hili. Tanzania nayo haikuachwa nyuma, licha kwamba, kipindi cha nyuma huko, mpango huu haukuwa na umhimu wowote zaidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ni vitabu vyenye maudhui gani vinatakiwa kuandikwa ili kuweka historia ya nchi sawa na kufunza vizazi vijavyo?

    Nafikiri kuna mambo yanatakiwa kuwekwa katika vitabu ili kuweka historia sawa. Tunahitaji vitabu vidivyo kuwa kna muegemeo wowote, vitakavyotoa fact tu. Unafikiri vitabu kuhusu nini? Mimi nafikiri. 1. Kitabu kuhusu kashfa ya Lowasa na kujiuzulu kwake. 2. Kitabu kuhusu maisha ya JP Magufuli...
  4. JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu, Mawaziri Wakuu wastaafu watembelea Bwawa la Nyerere la mto Rufiji

    Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power === Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
  5. JamiiForums Tanzania TFF wasikitishwa na kauli ya Bashe kuhusu mechi ya Simba na Yanga

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetoa wito kwa viongozi wote nchini kuacha kutoa kauli zinaweza kuchochea vurugu katika mpira wa miguu. Kauli hiyo imekuja baada ya TFF kusikitishwa na kauli ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye alisema waamuzi wa mechi ya Simba na Yanga...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze kuhusu Vyama vya Ushirika na Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania

    Tuzungumze kuhusu ushirika na kinachoendelea juu ya mabadiliko ya Sheria ya vyama vya ushirika Na. 6 ya mwaka 2013. tuzungumze juu ya Time ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania. Tuzungumze juu ya umuhimu wa Maafisa ushirika nchini, na je ni kwanini serikali haioni umuhimu wao? Pia kwanini Tume ya...
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Ruzuku (Grant)

    Ruzuku ni kiasi cha fedha kinachotolewa na mashirika binafsi ya hisani (charitable giving foundation), mashirika ya ya umma ya hisani (public charity) au wakala/Taasisi za serikali (government agencies/insitutions) kwa asasi za kiraia (Civil Society Organizations) ili kuziwezesha kutekeleza...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
  9. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimeitwa kazini huku nikiwa najiendeleza kusoma

    Niliomba ajira kwa ngazi ya cheti na nimepata. Naombeni Msaada nifanyeje wakati kwa sasa niliingia chuo na kujiendeleza kwa ngazi ya Diploma ya Maabara na mwezi ujao natarajia kumaliza.
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Museveni is very ill and admitted in a hospital here in Nairobi

  11. JamiiForums Tanzania Huu ujumbe kwenye social Media kuhusu COVID 19 ni wa uhakika?

    Kuna huu ujumbe ambao umekuwa ukizunguka kwenye social media. Please mwenye kutoa clarification "Habari za jioni wapendwa! Hongereni kwa kazi.Nawasihi madaktari wenzangu tujikinge na hili gonjwa,dalili za wave hii zipo so vague.wagonjwa wengi waliokuwa wamekuja Leo clinic waliokuwa wanalalamika...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kubadili taarifa NIDA?

    Ukienda NIDA kubadilisha taarifa zinachukua muda gani hadi zibadilike kwenye mfumo?
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa serikali kuhusu kupanda bei ya mafuta

    Nawasalimu nyote. Kwanza kabisa serikali mnafanya mengi mazuri. Kuhusu suala la kupanda kwa bei ya petroli imekuwa pigo kubwa kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri kitu ambacho kinaumiza wengi. Tanzania tuligundua gas nyingi huko kusini mwa Tanzania. Nashauri serikali ianzishe na kuongeza...
  14. JamiiForums Tanzania Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

    Hivi huyu mwanamama alimaliza kifungo chake? Mnakumbuka kosa lake na jinsi ambavyo kesi yake ilikuwa ni kama simulizi la kutosadikika. Hivi akisikia yanayofanyika hivi sasa huko aliko si anaona aliwahi kidogo tu.. ------------------- BAADHI YA MICHANGO ILIYOTOLEWA NA WADAU
  15. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu masomo ya baishara

    Habari zenu ndugu. Ninaye kijana wangu ambaye anaelekea kuhitimu masomo ya sekondary na amekuwa akichukua masomo ya biashara kulingana na uwezo wake... japo kama mzazi nilipenda achukua masomo ya Sayansi ila yeye akapenda biashara kwa hiyo nikamsupport. Sasa kwa mliopitia masomo ya biashara...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Aibu: Wasafi FM michezo wanadanganya kuhusu ibenge na DRC national team

    Inasikitisha sana kwa kweli hawa jamaa nilkuwa najua ni manguli wa habari za michezo wako sasa hivi saa 19.50 wanadanganya kuhusu habari ya florente ibenge wakidai ni kocha wa team y a taifa ya Dr Congo ibenge kaacha kazi as vita anaelekea Orlando pirates ila hawa jamaa wako hapo studio wanadai...
  17. JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kumshauri Rais kuhusu kuleta wawekezaji ungemshauri alete wawekezaji wa viwanda gani?

    Je, ungepata nafasi ya kumshauri Rais kuhusu kuleta wawekezaji ungemshauri alete wawekezaji wa viwanda gani. Toa maoni yako, hapa. Maoni yako ni muhimu.
  18. JamiiForums Tanzania Wanasiasa msitufanye wajinga kuhusu mikutano ya kisiasa

    Specifically naongea na wanaodai kwamba hakuna uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa. Rais kasema hajazuia mikutano yenu ya wanachama wenu ndani ya chama. Wabunge wafanye kwenye maeneo yao pia. Marekani wametoka kwenye uchaguzi juzi kati, je? Bado wanaendelea na mikutano ya siasa? Tunataka...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu kilichotokea tuzo za BET

    Somo la leo UKWELI MCHUNGU KUHUSU BURNABOY .... ila wabongo hatupendi kuangalia FACTS kwenye mambo mengi. Mwaka jana BURNABOY alitoa album ya TWICE AS TALL na ilifanya vizuri sana na miongoni mwa wasanii na mfanyabiashara P.DIDY aliipa support kubwa sana maana anaujua uwezo wa BURNABOY...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…