COVID: Israel registers 501 new cases, cabinet to meet on new measures

zimmerman

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,628
3,155
Habari hii hapa chini kuhusu ongezeko la maambukizi mpya ya corona huko Israeli, nchi iliyochanja raia wake wengi kiasilimia kuliko nchi nyingine yeyote duniani, inaonesha jinsi ambavyo Magufuli was all right kuhusu corona, namna ulivyo ugonjwa ambao itabidi tujifunze kuishi nao kama tunavyoishi na magonjwa mengine. Pia itufundishe kwamba vaccination siyo muarobaini wa corona.

Jinsi Magufuli alivyouelewa mapema sana huu ugonjwa wa corona wakati dunia ikiwa bado ipo ndotoni kuhusu namna ya kudeal na huu ugonjwa, ni ushahidi mwingine kwamba JPM was indeed a man ahead of his time.
*******************************

Jerusalem Post Health & Science

COVID: Israel registers 501 new cases, cabinet to meet on new measures
By ROSSELLA TERCATIN JULY 6, 2021 15:20

The current number of new virus carriers marks a significant increase compared to the 10-20 new cases identified daily at the beginning of June.

The coronavirus cabinet is expected to meet on Tuesday evening to discuss the current outbreak and new measures to counter it, as the previous day Israel registered 501 new cases, marking the highest number recorded since March.
Some 72,000 tests were processed on Monday – also the highest in about three months – and 0.7% of them returned a positive result.


The country currently has some 2,900 cases, compared than less than 200 a few weeks ago.
At the same time, since the beginning of the new outbreak, the increase in serious morbidity has been minimal. On Tuesday, the number of serious patients stood at 33 – in the past few days, the figure has been floating between 31 and 35. At its lowest in mid-June, it stood at 21. In April, with a similar number of active cases in the country, Israel had over 100 such patients, and at the peak of the pandemic in January there were more than 1,200.

Moreover, since June 13, only one patient has succumbed to the virus.
At the peak of the pandemic, thousands of new cases and dozens of new victims were registered every day, and the total number of active cases stood at over 88,000.

Nonetheless, the current number of new virus carriers mark a significant increase compared to the 10-20 new cases identified daily at the beginning of June. In addition, a significant rate among those infected were already fully vaccinated. According to data released by the Health Ministry on Monday, the Pfizer vaccine has proven to be only 64% effective in preventing symptomatic infection in the past month while remaining highly effective – 93% against serious symptoms, which could help explain the low number of patients in serious conditions.

Speaking to a conference at the Ben-Gurion University of the Negev in the morning, Health Minister Nitzan Horowitz stressed that the government’s approach aims at offering the maximum level of protection with the lowest level of disruption to daily life, without creating unnecessary panic.
“We understand that the corona will not disappear soon," Horowitz said, according to channel 12. “We will have to learn to live alongside COVID, as we live alongside diseases and other viruses.”

“The policy I seek to lead is one that looks ahead, not in a week or in a month, but a year ahead,” he added. “Tonight in the meeting of the coronavirus cabinet we will recommend taking measures in this spirit, steps that will protect us from serious illness, that will harm our daily routine as little as possible, and that we can live with for a long time.”
In the cabinet, the authorities are expected to examine an outline to bring back an abridged version of the “green pass” for venues and gatherings mostly attended by unvaccinated or vulnerable audiences – like children or the elderly. Until a few weeks ago, the green pass system limited access to certain activities only to vaccinated and recovered individuals, or to children not eligible for a jab with a negative PCR test.
In addition, according to Israeli media, health officials will recommend demanding an additional test for all those entering Israel from abroad after four days, as well as expanding the list of countries from where incoming travelers are required to quarantine even if they are inoculated or recovered.

The list currently includes only a limited number of nations under travel ban: Argentina, Brazil, India, Mexico, Russia and South Africa. If the recommendation will be accepted, the number of countries would increase significantly to include all those which at the moment are under travel warning, but having no practical consequences for travelers, such as the United Arab Emirates and Colombia.

The government is also expected to step up enforcement against those who fail to wear their masks in closed public spaces.
In a tweet, Horowitz said that they do not intend to impose limits on weddings or to cultural events.
 
Ni kweli, corona tukubali kishi nayo.
Mtu yuko fully Vaccinated yet anavaa mask, what is the point
 
Ni kweli, corona tukubali kishi nayo.
Mtu yuko fully Vaccinated yet anavaa mask, what is the point
Kwasababu sio kila mtu yuko vaccinated . Unavaa mask ili kuwalinda wengine.

pia ondoeni ujinga, hiyo Israël Karibu watu wengi wamechanja hivyo madhara ya corona yako chini mno kwenye vifo na kulazwa. Ndio maana sasa ni sawa kuishi na Corona. Chanjo imeifanya isiweze tena kuua watu wengi.
 
Dhalimu hakuwa sahihi. Kuna variant ambaye anaambukiza kwa haraka sana na pia kuna wengi ambao immune system yao iko weak hivyo pamoja na kuwa wamepata Covid-19 vaccination wanatakiwa waendelee kuvaa masks wakiwa kwenye misongamano. Pia kuna baadhi hawakutaka kupata chanjo na hawataki kuvaa masks hawa ni hatari sana kwani wanapata maambukizi ya huyo variant na kuwaambukiza wenye weak immune system na wote wanaweza kufa. Kama wote katika kila nchi wakiamua kuvaa masks kwa miezi sita hadi 9 basi variant watakosa watu wa kuwaambukiza hivyo kirusi hiki pamoja na variants wote kupotea lakini kwa kuwa watu wabishi ni wengi basi corona inaweza kuendelea hadi 2023 au hata zaidi.
 
Mi nadhani kwa wakati huu serikali yetu hii isikimbilie mbio isio ziweza, wangekaa chini kwanza wajipe muda na kutafakari kwa kina bila shinikizo namna gani wata dili na hii Hali.
Kwa sababu wanaweza kwenda na mwendo huu mwishowe wakajakujikuta wanatakiwa kuanza moja Tena.

Hali sio mbaya kivile kiasi Cha kuogopa kiasi hiko na kufuata mkumbo, ingawa wakati wanaendelea kusubiri namna njema madhara madogo hayakosekani lakini Tisa iliopo ni Bora kuliko kumi isio kuwepo.
 
Chanjo haikufanyi usiambukizwe bali ni kinga ya ugonjwa ukiupata usidhurike,

Watu wangapi wana chanjo ya Suruwa na waliugua Suruwa?

Pia unaweza ukawa na chanjo ya TB ila ukaja kuugua TB.
 
Mi nadhani kwa wakati huu serikali yetu hii isikimbilie mbio isio ziweza, wangekaa chini kwanza wajipe muda na kutafakari kwa kina bila shinikizo namna gani wata dili na hii Hali.
Kwa sababu wanaweza kwenda na mwendo huu mwishowe wakajakujikuta wanatakiwa kuanza moja Tena.

Hali sio mbaya kivile kiasi Cha kuogopa kiasi hiko na kufuata mkumbo, ingawa wakati wanaendelea kusubiri namna njema madhara madogo hayakosekani lakini Tisa iliopo ni Bora kuliko kumi isio kuwepo.
Wazo zuri sana.
 
Chanjo haikufanyi usiambukizwe bali ni kinga ya ugonjwa ukiupata usidhurike,

Watu wangapi wana chanjo ya Suruwa na waliugua Suruwa?

Pia unaweza ukawa na chanjo ya TB ila ukaja kuugua TB.
The problem ni kwamba taarifa tunazopewa kuhusu hizi kinga na uwezo wake wa kuhusu kudhibiti corona zimekaa kipropaganda ili kulinda big pharma interests za wanaotengeneza hizo kinga na mataifa yao. Kama kweli hizo kinga zingekuwa effective tunavyoelezwa maambukizi mapya yasingekuwa yanaongezeka (na ili kugundua kwamba huyu mtu kaambukizwa maana yake huyu mtu alipata na dalili za corona na kupima).
 
Hizo chanjo zitakua ndiyo zinapunguza kinga ya mwili na kusababisha corona...
 
Pfizer vaccine has proven to be only 64% effective in preventing symptomatic infection in the past month while remaining highly effective – 93% against serious symptoms, which could help explain the low number of patients in serious conditions
Mtoa mada hii sentensi ndio inabeba uzi mzima? JPM alisema chanjo hazisaidii ssa how is he right wakati 93% wameepuka serious symptoms ina maana bila chanjo wangekua wanapumulia gesi!!

Acheni kupotosha JPM was wrong kucriticise chanjo.... Yeye angetengeneza za kwake tu hakuna haja ya kukejeli wengine ili hali kila mtu anatafuta suluhu ya wananchi wake. Mbona Russia na china hawatumii chanjo za mabeberu lakini sijaona wakitoa mapovu ya kukejeli chanjo za UK au US?
 
Corona kama corona.
Pfizer vaccine has proven to be only 64% effective in preventing symptomatic infection in the past month while remaining highly effective – 93% against serious symptoms, which could help explain the low number of patients in serious conditions.

Hii taarifa natumaini umeisoma? Ssa jiulize bila chanjo hali ingekuaje? Hta wanaovaa condom wapo wanaopata HIV ila haimaanishi condom haina maana!! Watu 500 wasio na serious condition kati ya watu million 9+ is nothing.
 
Pfizer vaccine has proven to be only 64% effective in preventing symptomatic infection in the past month while remaining highly effective – 93% against serious symptoms, which could help explain the low number of patients in serious conditions.

Hii taarifa natumaini umeisoma? Ssa jiulize bila chanjo hali ingekuaje? Hta wanaovaa condom wapo wanaopata HIV ila haimaanishi condom haina maana!! Watu 500 wasio na serious condition kati ya watu million 9+ is nothing.
Kwani Tanzania bila chanjo wala kuchukua tahadhari hali ikoje?😂😂 Haya mimi sina neno mimi naangalia tu hili movie la Corona.
 
Back
Top Bottom