kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

    Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira/serikali itupe ufafanuzi kuhusu hili la ukosefu wa ajira katika taasisi za serikali

    Neno ukosefu wa ajira ni hali ya mtu yeyote ambaye anaweza kufanya kazi, lakini hana kazi. Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya matatizo ya duniani hivi sasa. Ukosefu wa ajira unaonyeshwa kama asilimia ya jumla ya nguvu kazi inayopatikana ambayo haina ajira, lakini inatafuta kazi kikamilifu na ipo...
  3. JamiiForums Tanzania Ikifika Desemba 31 mwaka huu naomba mnikumbushe kuhusu malengo yangu

    Habari za muda huu ladies and gentlemen. I wish nisikwaze mtu yeyote kwenye huu uzi. atakaekwazika naomba anisamehe saaana kijana mwenzenu () niko katika mchaka mchaka wa kupambana na maisha kama ilivyo ada nimejiwekea malengo mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka huu niwe na milioni 3 na zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Nawaza tu kuhusu TANESCO kwa huu utendaji wao

    Miaka ya nyuma kuwekewa tu simu ya mezani ilikuwa ni issue kubwa unaweza ukazungushwa sana. Mara paaap zikaja simu za mikononi TTCL yale maringo hayapo tena. Shirika la Posta sina ushahidi nalo kuhusu tuhuma za usumbufu mara paaap simu za mkononi kutumiana message sio lazima kuandika barua, siku...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bila kusema ukweli kuhusu 2020 uchaguzi wa 2025 wengi watasusia

    Nimeona leo kwenye mkutano wa TDC wadau wengi wa vyama na haki. Haya yote ya vikosi kazi vyote havitasaiia chochote kama wadau watafukia yaliyopita bila kuongelea uchaguzi wa 2020. 1. Inabidi yote mabaya yaliyotokea yasemwe na wadau wote kwa uwazi 2. Inabidi wadau wote wakubaliane kurekebisha...
  6. JamiiForums Tanzania Nani anayejua kuhusu hili la kutengeneza Wireless Earphone?

    Za mchana wana tech, Jamani wanajf me ni m1 wa watu ambao hupenda kudadisi sana vitu sasa katika pitapita zangu youtube nikaona video za kutengeneza wireless earphone mwenyewe kwa kutumia kale kataa ka remote(remote sensor) na earphone ya zamani. Sasa naomba kujua kama itafanya kazi, kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili wapewa miezi miwili kujitafakari kuhusu huduma zao

    Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel ametoa muda wa miezi miwili kwa uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kujitafakari kuhusu uwezo wao wa kusimamia ubora wa huduma za afya. Amesema hayo kufuatia malalamiko ya mara kwa mara yanayotolewa na wananchi wanaopewa huduma katika hospitali...
  8. JamiiForums Tanzania Mkiachana unamuita takataka je, huyo Mwanamke aliyempenda na kumjali zaidi yako amuite nani?

    Yes he broke your heart. Naam yawezekana aliuchubua moyo wako ,mithili ya mchinjaji anayetayarisha nyama kwa ajili ya walaji wenye uchu. Na yawezekana kwa sababu umeonesha kila dalili ya mfadhaiko na malalamiko chungu nzima juu ya kile unachokiita ufedhuli kama sio unyama wake dhidi yako. Yes...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam dini yenu inasemaje kuhusu wageni mwezi wa Ramadhani?

    Niwatakie mfungo mwema. Nimesikia kwenye kipindi cha njiapanda leo huyo mdada alikaribishwa na mwenyeji wake huko dar, lakini juzi wakati mfungo unakaribia mwenyeji wake akamwambia aondoke maana mfungo unaanza! Sasa mwezi mtukufu na kutimua wageni inakaaje kaaje hii? Ukizingatia mgeni mwenyewe...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  11. JamiiForums Tanzania Twaha Kiduku kuhusu kuchapana na Mwakinyo ajibu “Ni yeye tu”

    Bondia Twaha Kiduku ni miongoni mwa watu waliohudhuria katika shughuli ya utoaji wa Tuzo za Tanzania Music Awards, zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam, Aprili 2, 2022. Mbali na mambo mengine, Kiduku alipoulizwa na mtangazaji akiwa...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati wenzetu wanang'aka kuhusu vita DRC, Waganda tayari wameanza kuchangamkia fursa, Wakenya tusichelewe

    Wafanya biashara wa Uganda wamehojiwa wengi wameanza jitihada za kuchangamkia soko la DRC na fursa zilizopo, hii ni baada ya DRC kuwa mwanachama ndani ya EAC. Wakenya tusichelewe, bahari Hindi na Atlantic zimeunganishwa, tupambane.... Naomba pia serikali zetu zirahisishe suala la vyeti kama...
  13. JamiiForums Tanzania Je, wewe ni whole saler wa Bidhaa zifuatazo?

    Habari za wakati huu wakurugenzi? Wanahitajika Wauzaji wa Jumla wa bidhaa zifuatazo ambao wanauwezo wa kussuply mzigo wa thamni yoyote kwa bei ya Jumla.Iwapo unao uwezo wa kussuply kiasi hicho cha mzigo tafadhali tuma mawasiliano yako kwa email:masokotz@yahoo.com.Zingatia kwama ni lazima uwe ni...
  14. JamiiForums Tanzania Maswali yote kuhusu mechi ya Simba kuchezwa saa 4 usiku asiachiwe Ahamed Ally kuyajibu

    Mechi kati Simba vs US Gendamarie itachezwa saa 4 usiku siku ya jumapili kuamkia jumatatu siku ya kazi. Hii ni mara yetu ya kwanza kuwa na kitu kama hiki nchini kwetu. Inafahamika kuwa Uwanja wa Mkapa uko pembeni mwa jiji hasa kwa watu wanaotoka Ilala, Kinondoni, Ubungo, Kawe, Bagamoyo, Kibaha...
  15. JamiiForums Tanzania Singida: Taarifa kuhusu Mauaji ya Wazee kwa imani za Kishirikina

    31 Machi, 2022, Dodoma Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya mauaji ya wazee watatu (Agnes Msengi miaka 84, Windila Saidi miaka 80 na Winfrida Gigila miaka 80) waliouwawa kwa kuchomwa moto na wanakijiji wenzao kwa kile kinachodaiwa kuwa wamekuwa wakishiriki vitendo vya kishirikina...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Maswali yote kuhusu wanunuzi wa gesi ya Urusi yamejibiwa hapa na utaratibu wote umefafaniliwa

    Hapa yapo maelezo ya kina kuhusu utaratibu wa Nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi kununua gesi kwa Rouble!! Kama Kuna atakayejitolea kutafsiri kwa kiswahili itapendeza Sana Ili watu wote wajue kinachoendelea. Kuna watu wanaongea kishabiki tu hata hawajui utaratibu itakayotumika! 1. What paying for...
  17. JamiiForums Tanzania Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

    Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu. Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko. Nafasi imechukuliwa na Kinana Membe karudishwa CCM === Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

    Kulikuwa na kisa kimoja kuwa mama mmoja alikuwa na watoto watatu. Kati ya hao wawili ni watoto wa kambo na mmoja ni WA kwake. Huyu mama alinunua machungwa mawili huku akitaka mtoto wake apate chungwa Zima lakini wale wa kambo wagawane chungwa moja nusu kwa nusu!! Ili kuwadanganya Hawa watoto wa...
  19. JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu Hawa watu wapole na wakaa kimya?

    Najua mambo kadhaa ikiwemo ; 1. Wanapenda amani na utulivu. 2.Si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba. 3.Wanapenda sana kunyanduana. 4.Wanafanya kazi kwa bidii sanaa. 5.Hawapendi kufokewafokewa. 6.Ni greater thinkers. Unaweza kuongezea na wewe.
  20. JamiiForums Tanzania Fataawa Za Wanachuoni Mbalimbali Kuhusu Ramadhwaan

    Fatwa Kutoka: ‘Allaamah Swaalih Ibn Fawzaan Al-Fawzaan Swali: Tunataka uwape vijana Nasaha kuhusiana na kuchunga wakati wao katika Ramadhaan? Jibu: Waislamu wote sawa Vijana na wengine wote wanatakiwa kutumia wakati wao katika kumtii Allaaah – wala Ramadhaan isiwajie kwa ghafla, au ikawakuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…