Je, wewe ni whole saler wa Bidhaa zifuatazo?

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,495
5,532
Habari za wakati huu wakurugenzi?

Wanahitajika Wauzaji wa Jumla wa bidhaa zifuatazo ambao wanauwezo wa kussuply mzigo wa thamni yoyote kwa bei ya Jumla.Iwapo unao uwezo wa kussuply kiasi hicho cha mzigo tafadhali tuma mawasiliano yako kwa email:masokotz@yahoo.com.Zingatia kwama ni lazima uwe ni wholesale ambaye anauza kwa whole sale price.Biashara ni ya uhakika.

Hapa unaweza kueleza kwa kifupi brandunazodili nazo,mawasiliano yaani simu,email na location ulipo pamoja Kiasi cha chini unachouza kwa bei ya jumla.Kama una website au social media pages pia uziweke hapa.
  1. Spea za Pikipiki,
  2. Spea za Magari Mpya tu.
  3. Furniture za Ofisini
  4. TVs na Radios
  5. Simu na Related Electronics
  6. Computers and Related Peripherals
  7. Stationeries na Vitabu
  8. Vyombo vya Nyumbani
  9. Lubricants
  10. Bolts and Nuts
  11. Vifa vya Ujenzi isipokuwa Cement na Chokaa na Nondo,kokoto au mchanga.
  12. Working tools kama spanners,machines za kukata,kugrind
  13. Chemicals for Industrial Use
Kumbuka Unapoleta details zako utaingizwa katika Orodha ya suppliers na utapewa nafasi ya kuleta quotations ya bei zako katika hatua ya manunuzi.Unaweza kuwa Mkoa wowote na iwapo una matawi zaidi ya mkoa mmoja tafadhali elezea mkoa matawi yalipo

Nawatakieni kila la heri
 
Anyone sells phones and its accessories especially simu ndogo please PM me as soon as possible (ASAP).
 
Mimi niko uae naweza kukuunganishia kwa wauzaji kwa bei ya jumla na nafuu,kama volume ni kubwa.
Utanipata kwenye hii whatsapp no.
+97152739138
 
Back
Top Bottom