kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ushauri

    kichwa cha binadamu ni mithili ya tenki inapokea kila aina ya malighafi na bila kugoma labda ifike kwenye ukomo kulingana na ukubwa wa tenki hilo japokuwa asili ya tenki ni kupokea kimiminika lakini zipo malighafi ambazo huingizwa kwa namna tofauti madhara yake huaribu malighafi hiyo na...
  2. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuhusu HUBS na COWORKING space?

    Najua wapo wengi ambao mmewahi kusikia kuhusu HUBS na Co working Space Je, unafahamu ni nini? Hubs au Co working space ni aina ya Ofisi za kufanyia shughuli zako ambayo inakuwezesha kufanya kazi zako katika mazingira tulivu na kupata huduma za ziada kama vile internet na pai fursa ya kufanya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara kuhusu fedha zilizotolewa na Mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya Kijamii

    Mkuu wa Mkoa wa Mara amezuia takriban Tshs.5 billioni zinazotolewa na mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya kijamii na hii imetokana na matumizi mabaya ya fedha zinazotolewa na mgodi wa North Mara. Binafsi nakubaliana na uamuzi wa Mkuu wa Mkoa. Kama fedha zinatolewa na vifaa vya ujenzi...
  4. dubu

    JamiiForums Tanzania Dharau wa watu kuhusu chanjo ya Uviko-19, kunavyogharimu maisha yao

    Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali, jambo ambalo si kweli. Kwa maneno mengine unaweza kusema kuwa watu wanachukulia poa ilihali maisha ya watu yanapotea. Wapo wanaosikika...
  5. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu simu

    Wajuzi wa Mambo nataka kuchukua simu ya Huawei Nova 2 plus au Huawei Nova 3i au oppo a 15 vipi kwa ambao wamewai kutumia simu izi ipi inafaa kuanzia ubora na kila kitu kwenye matumizi na chaguo la mwisho ni Huawei p 10 lite Chief-Mkwawa msaada tafadhali
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi la ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii

    Salaam, Shirika la ndege Tanzania, ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi ya ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii ambayo inaonesha tairi iliyoisha. UFAFANUZI KUHUSU HALI YA TAIRI LA NDEGE YA KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ILIYOSAMBAA KATIKA MITANDAO YA JAMii ATCL inapenda...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito kwa NEMC kuhusu uchafuzi wa mazingira kwa sumu, usiishie kwenye fine tu, wafidie waathirika na kama sumu hiyo ni Lethal, wapandishwe kizimbani!

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya Leo ni wito kwa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira NEMC, Kuwapiga Faini Mgodi Kuhusu Uchafuzi wa Mazingira kwa Sumu, usiishie kwenye kuwapiga tuu fine tuu, bali wawafidie waathirika na kama sumu hiyo ni lethal...
  8. Bossprota

    JamiiForums Tanzania ABC'z kuhusu cyber forensic

    Samahani Wakubwa Nahitaji Kujua Maeneo Unayoweza Kwenda Kuomba Kazi Au Kuaply Maombi Kwa Mtu Aliesomea Masuala Ya Cyber Forensic Kwa hapa. Tanzania Maana Nimejaribu Kuuliza Wengi Walioko Kwenye Hii Fani Hawanipi Maelezo Ya Kutosha Mfano Nimeuliza Baadhi Ya Wapelelezi. Inaonyesha Hawajui...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kuna Sifa nyingi Kwenye social media Kuhusu Chama kimpya kiitwacho Umoja Party

    Kuna Sifa nyingi zinasemwa kuhusu ujio wa Chama kimpya kiitwacho Umoja Party lakini sifa kubwa inayoongelewa sana ni kuwa Chama hiki kitakuwa na mlengo wa hayati DR. John Pombe Joseph Magufuli. Wanaoandika Kwenye mitandao wanajinasibu kuwa Chama hiki kitazoa wafuasi wengi na kushinda uchaguzi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Propaganda za Serikali kuhusu filamu ya Royal Tour

    Wachaambuzi mbalimbali wa kutoka club house na diaspora kibao wamedai kuwa hizi propaganda zinazopigwa kuhusu royal tour ni za kuijaribu tu kuipamba serikali na mama kiujumla lakini ukweli ni kuwa. 1. Royal tour ni Mali ya huyo Peter aliyetengeneza na haki miliki ya Tanzania royal tour...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hii video kuhusu Yesu Kristo ilikusudia nini hasa?

    Waliorekodi hii video walikusudia nini hasa kwamba Yesu kristo alipiga watu mateke.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dunia imechelewa mno kuishtukia Marekani kuhusu utawala wa pesa yake DOLA katika uchumi wa dunia. Angalau sasa wameishtukia

    Marekani iliipiga changa ya macho dunia kwa muda mrefu. Ikalazimisha dola iwe ndio pesa rasmi katika biashara za kimataifa na uchumi wa dunia. Wanachofanya ni kuchapisha noti tu za dola na kuipa thamani kwa kauli tu. Dunia nayo ikawa imejikuta inakubaliana na changa hilo la macho. Lakini Urusi...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Siasa; Hakuna Siasa bila uonevu

    Herehoa! Siasa zilianzishwa Kwa maslahi ya viongozi na watu wapendao utawala! Biashara zilianzishwa Kwa maslahi ya wafanyabiashara kujipatia faida! Mtu huanzisha kitu Kwa maslahi yake au kundi litakalomuunga Mkono! Mtu Fulani huweza kuamua kutaka kuongoza wengine na kupigania maslahi ya jamii...
  14. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei mosi 2022 tunaomba Rais Samia tusaidie hili kuhusu CWT

    Raisi wa awamu ya Tano Ndugu John Magufuli alijaribu kuanzisha hili Jambo kwa kuonesha namna viongozi wa CWT (chama Cha walimu Tanzania) wanatumia michango ya wanachama na rasilimali kujinufaisha wenyewe na wakiendelea kuwanyonya walimu , Chama hiki hakina msaada wowote kwa walimu Tanzania...
  15. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

    ..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya. ..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha Rais bora hakipimwi na wanyonge, Wanyonge hawaelewi chochote kuhusu siasa wala uchumi

    Naona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli Lakini hebu tuwaangalie hawa wanyonge ni watu gani.. Wanyonge wanasemwa kuwa ni watu wa kipato kidogo wasio na ajira rasmi wala elimu kubwa, hata hapa JF...
  17. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu katiba mpya (sehemu ya pili)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBA MPYA (SEHEMU YA PILI) Mwendelezo......... 🔵 KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️) Tabata,Dar,Tanzania stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KATIBA MPYA Mama...
  18. Gentleman96

    JamiiForums Tanzania Huruma malipo ya Uandikishaji Makazi Mkoa wa Mbeya

    DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ............... (retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi. .. Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana...
  19. Mwendece

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu kampuni ya Soila

    Habari za leo,Kuna kampuni tajwa hapo yenye makao makuu morogoro inajishughulisha na kulima, yaani unatoa hela ya mtaji Kisha baada ya miezi kadhaa kulingana na zao unapewa hela(mtaji na faida) , naomba anaifaham anisaidie ufafanuzi mi nipo mkoa mwingine ili Kama inafaa niwekeze Nashukuru
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
Back
Top Bottom