kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Dunia imechelewa mno kuishtukia Marekani kuhusu utawala wa pesa yake DOLA katika uchumi wa dunia. Angalau sasa wameishtukia

    Marekani iliipiga changa ya macho dunia kwa muda mrefu. Ikalazimisha dola iwe ndio pesa rasmi katika biashara za kimataifa na uchumi wa dunia. Wanachofanya ni kuchapisha noti tu za dola na kuipa thamani kwa kauli tu. Dunia nayo ikawa imejikuta inakubaliana na changa hilo la macho. Lakini Urusi...
  2. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Siasa; Hakuna Siasa bila uonevu

    Herehoa! Siasa zilianzishwa Kwa maslahi ya viongozi na watu wapendao utawala! Biashara zilianzishwa Kwa maslahi ya wafanyabiashara kujipatia faida! Mtu huanzisha kitu Kwa maslahi yake au kundi litakalomuunga Mkono! Mtu Fulani huweza kuamua kutaka kuongoza wengine na kupigania maslahi ya jamii...
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei mosi 2022 tunaomba Rais Samia tusaidie hili kuhusu CWT

    Raisi wa awamu ya Tano Ndugu John Magufuli alijaribu kuanzisha hili Jambo kwa kuonesha namna viongozi wa CWT (chama Cha walimu Tanzania) wanatumia michango ya wanachama na rasilimali kujinufaisha wenyewe na wakiendelea kuwanyonya walimu , Chama hiki hakina msaada wowote kwa walimu Tanzania...
  4. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

    ..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya. ..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha Rais bora hakipimwi na wanyonge, Wanyonge hawaelewi chochote kuhusu siasa wala uchumi

    Naona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli Lakini hebu tuwaangalie hawa wanyonge ni watu gani.. Wanyonge wanasemwa kuwa ni watu wa kipato kidogo wasio na ajira rasmi wala elimu kubwa, hata hapa JF...
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu katiba mpya (sehemu ya pili)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBA MPYA (SEHEMU YA PILI) Mwendelezo......... 🔵 KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️) Tabata,Dar,Tanzania stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KATIBA MPYA Mama...
  7. JamiiForums Tanzania Huruma malipo ya Uandikishaji Makazi Mkoa wa Mbeya

    DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ............... (retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi. .. Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu kampuni ya Soila

    Habari za leo,Kuna kampuni tajwa hapo yenye makao makuu morogoro inajishughulisha na kulima, yaani unatoa hela ya mtaji Kisha baada ya miezi kadhaa kulingana na zao unapewa hela(mtaji na faida) , naomba anaifaham anisaidie ufafanuzi mi nipo mkoa mwingine ili Kama inafaa niwekeze Nashukuru
  9. JamiiForums Tanzania Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  10. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Katiba Mpya (Sehemu ya kwanza)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN (SEHEMU YA KWANZA) 🔵KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️ Tabata,Dar es salaaam stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA Shikamoo mama,Pole na majukumu mazito...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba maoni yenu kuhusu ajira kwa vijana nchini

    Nina wazo au proposal ambayo inahusu mradi mkakati mdogo utakaohusu kilimo na ufugaji kwa vijana waliohitimu vyuo nk. Kama mnavyojua tatizo kwenye jamii ni fursa pia tena kubwa nimeandika proposal ambayo itakuwa inakusanya vijana kuanzia 50-100 kufanya kwa pamoja mradi wa kilimo na ufugaji...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu ugonjwa huu wa bata

    Nisaidieni wadau, huo ni ugonjwa gani wa bata? Unatibiwaje? Vifaranga vya bata wangu vinaisha kwani hupoteza uwezo wa kutembea kama muonavyo pichani kisha hufa. MSAADA WA HARAKA WA USHAURI UNAHITAJIKA. Ninawaomba sana wana JF
  13. L

    JamiiForums Tanzania Unyanyapaa wa baadhi ya watu wa magharibi kuhusu China haubadilishi ukweli wa mambo

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni mwanamtandao mmoja wa youtube katika mji wa Shenzhen kusini mwa China, alionekana akizingumzia hali ya usalama katika miji mbalimbali ya China. Bwana Oli kutoka Uingereza alikuwa akielekeza hali halisi ya usalama wa mtu binafsi aliyojionea katika miji mbalimbali ya...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu kuhusu kupona Malaria kwa kutumia mbegu za Mlonge

    Mwaka 2008 wakati naanza mwaka wa kwanza chuo nilikua na Malaria ya kujirudiarudia ambapo nilikua siwezi kukaa miezi mitatu bila kuumwa Malaria. Nilikua sina raha nikiwaza kuhusu huu ugonjwa uliokua unanisumbua bila kujua nini ufumbuzi wake. Mwaka jana mwezi wa tatu nikaona ngoja niingie...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira za ualimu

    Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application?
  16. JamiiForums Tanzania Orodha ya Mistari iliyo nichanganya kwenye Biblia takatifu kuhusu Ubatizo

    Msaada, Kwanza kabisa, mimi ni muumini wa dini ya Kiisilamu, lakini naisoma Biblia hatua kwa hatu, Mistari ifuatayo imenichanganya sana kunako swala la Ubatizo. Inaaminika kwamba kila mtu huzaliwa akiwa ni muislamu hadi pale atapobatizwa ndio atakuwa Mkristo safi. Sasa ubatizaji nimeokutana...
  17. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Uwekezaji katika Kilimo Biashara

    Habari za wakati huu, Leo nimeona nilete mjadala mdogo ndani ya mjadala mkubwa unaohusu sekta ya Kilimo. Kabla ya kuingia katika mjadala niweke wazi kwamba mimi sio mkulima wala sio mfanya biashara inayohusu kilimo.Hata hivyo mimi ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali ya kilimo na Biashara na...
  18. JamiiForums Tanzania Kitu kipi kinawazuia wabunge kuwa na maamuzi ya kutosha kuhusu yanayotokea kwenye majimbo yao?

    Wanabodi, Katika kipindi hiki ambacho bajeti imeanza kujadiliwa bungeni, ni vyema kutathmini majukumu ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo na jinsi ambavyo wanasiasa wanahusika katika mabadiliko yoyote yanayofanyika nchini. Nime bahatika kuangalia mikutano ya hivi karibuni ambapo...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kufukuza mijusi ndani?

    Nitumie dawa gani kuwaua au ku-repel mijusi? I'm serious on this guys. sipendi kuiona mijusi kwenye kibanda changu. Mwenye uzoefu tafadhari.
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile aishauri serikali kuruhusu malipo ya mtandaoni kama vile PayPal

    Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ameuliza bungeni kuhusu mikakati ya serikali kufanya mapitio ya ada za usajili wa mifumo ya malipo(fintech apps) pamoja na mikakati ya kuboresha mazingira ya kazi kwa wabunifu wa malipo ya mtandao. Zaidi ya hayo, ameulizia mpango wa serikali kuhurusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…