kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama unaswali kuhusu pombe niulize?

    Yap, niulize chochote kuhusu pombe. Nitajibu maswali yote, na ikitokea utahitaji kijitabu nicheki PM.
  2. JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Majini na Mapenzi...

    Tumeona watu wanaoana au wanatafuta majini kuwa wake/waume/wachumba zao. Hoja yangu kubwa ipo kwenye tendo la ndoa. Je, majini nayo huwa yanahisi utamu au raha kufanya mapenzi na binadamu? au yanamridhisha tu binadamu? Sina mpango nayo ila nayatafuta maarifa. Ahsante
  3. Q

    JamiiForums Tanzania UVCCM mbona hawatoi Tamko kuhusu viongozi wao wanaotuhumiwa kwa mauaji Loliondo

    Wapo madiwani wa CCM 9 na mwenyekiti wa CCM wa wilaya, mbona mko kimya.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu shirika la MDH

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Najua nafasi za kujitolea hazinaga mshahara ila baadhi ya mashirika au taasisi huwa wanatoa walau pesa ya nauli na chakula Je kuna mtu yeyote humu kashawahi kujitolea kwenye hili shirika la MDH Mana ingawa hakuna mshahara ila ni vyema nikajua kama wanatoa walau...
  5. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Waziri afafanue kodi aliyoitangaza, kodi hailipwi na mtu

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kauli kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa raia wenye umri wa miaka 18 na zaidi ambaye atakuwa na TIN Namba uliopendekezwa katika Bajeti Kuu 2022/23 inatakiwa kufafanuliwa vizuri. “Inawezekana Wananchi hawajaelewa, Waziri wa Fedha hakulieleza...
  6. JamiiForums Tanzania Tujadiri kuhusu wakazi wa Mwanza wanaoishi milimani kuhamishwa

    Habari za usiku wapendwa katika bwana. Nimeona ni vyema hili suala tukalijadili ili tuone kama linamanufaa au hapana. Mimi nimekulia Igogo ambapo ni moja ya sehemu iliyotajwa wakazi wake watapaswa kupisha uwekezaji, hadi hivi sasa wazazi wangu wanaishi Igogo, Igogo napajua vyema. 98% ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kuhusu Deni la Taifa

    Deni la taifa huwa linapimwa kwa ustahimivu yaani wanatazama uchumi wa Nchi kisha wanaangalia kama hili deni linaweza kulipika. Ukiona deni na bado wanaweza kukopa inamaana kuwa hilo deni ni stahimivu. Deni haliwezi kua tamu, deni ni chungu sababu tutalazimika kukata baadhi ya matumizi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema wakazi wa Ngorongoro wanabomoa makazi yao kwa hiyari, Wakazi 296 wajiandikisha kuhamia Tanga

    Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kueleza kuwa imekamilisha maandalizi ya msingi katika makazi mapya yaliyopo Handeni Mkoani Tanga, ambapo yanatarajiwa kutumiwa na Wananchi watakaohamishiwa hapo hivi karibuni, Serikali imezungumzia jinsi Wakazi wa Ngorongoro wanavyoboa...
  9. JamiiForums Tanzania Kodi nyingi zitatuzindua usingizini Watanzania na kudai haki zetu, Nchemba umechemka kuhusu 18 years kulipa kodi ya kichwa

    Kodi kubwa na nyingi ndiyo zitatuzindua usingizini na kutufanya tufuatilie mipango na maendeleo ya nchi hatua kwa hatua. Hizo ndiyo zitawainua wananchi kupaza sauti na kuwa wakali kwa watendaji wa serikali wanavyofanya mambo kiholela na kimazoea. Ni sababu ya kutolipa kodi au kodi kidogo ndiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Kuhusu "Connect 16" na huduma yao ya satellite internet

    Siku chache zilizopita niliwasiliana na hii kampuni ya CONNECT 16 nikihitaji huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani(hasa huku remote areas) na nikapewa maelezo haya kutoka kwa mhusika: 1. Installation charges ni TZS 300,000/- 2. Monthly subscription ni TZS 75,000/- kwa package ya speed ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mtizamo wa Mchoro wa Katuni kuhusu kinachojiri Loliondo

    Utaona wanyama baada ya kuwekewa Mipaka wanaona mwanga na matumaini makubwa.
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna namna, Wamasai lazima wakubali kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao

    Watanzania wenzangu, Ngorongoro ni lazima ilindwe kwa nguvu zote. Japo Wamasai hawataki kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kama maeneo mengine ambapo paliwahi kufanyika operation kama hii lakini ni lazima waondoke ili nia njema ya serikali ya kuilinda na kuhifadhi ngorongoro yafanikiwe...
  13. JamiiForums Tanzania Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

    Haya hapa majibu ya Happiness ambaye ni mke wa Joseph Mbilinyi 'Sugu' "Binti yangu, hii ilikuwa nipost siku ya birthday yako 26/09! Lakini naona mbali 😃 Hapo nilitoka kukuvalisha hivyo vihereni vya gold nilizokupa zawadi kwa kutimiza miaka 3 mwaka 2015. 😃Nikikuona hapo nawaona wadogo zako...
  14. JamiiForums Tanzania Machache Kuhusu SMS Marketing

    SMS MARKETING STRATEGY (Mkakati wa masoko ya ujumbe mfupi) SMS Marketing ni Tanzu ya masoko yakidigitali ambayo hutumia ujumbe mfupi(kwenye simu) kufikisha ujumbe kwa wateja au wahitaji wa huduma kwaajili ya kuwapa habari mbalimbali kuhusiana na huduma mbalimbali za kwenye biashara yako. AINA...
  15. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa Madaktari kuhusu Majeruhi wa Loliondo

  16. JamiiForums Tanzania Hints za Rais Samia kuhusu Mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Rais 1. Kwa muda wote ambao nimekuwa Serikalini, tangu nikiwa Waziri, nimekuwa nasikia habari ya mradi huu wa LNG huko Lindi. Kuna wakati nikiwa Makamu wa Rais nilijaribu kuona kama naweza kusaidia kulisukuma mbele lakini lilikuwa zito kidogo na lina mambo mengi. Nilipopata nafasi...
  17. JamiiForums Tanzania Hints za January Makamba kuhusu mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Mh. Waziri Makamba 1. Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia nchini ulianza mwanzoni mwa miaka ya 1950. Mafanikio makubwa yalipatikana yakiwemo ugunduzi wa gesi asilia katika kisiwa cha Songo Songo mwaka 1974 na Mnazi Bay mwaka 1982. Aidha, Katika miaka ya 2010 na 2012 utafiti...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu vurugu zilizotokeza Loliondo

    Katika Hospitali na vituo vya afya vyote vya Mkoa wa Arusha hakuna majeruhi wa vurugu zilizojitokea wakati Wamasaai wakizuia zoezi la uwekaji wa mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo, Imeelezwa kuwa kama kuna watu waliojeruhiwa katika virugu hizo wajitokeze ili wapatiwe matibabu Imebainika...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Dunia inazunguuka vipi kuhusu madishi ya satellite?

    Wadau Leo naomba mnisaidie tunajifunza kuwa Dunia inazunguuka kwenye mhimili wake lakini pia inazunguuka jua... Kama ni hivyo mbona ukifunga dish huku Duniani na satellite huko angani.. Kama Dunia inazunguuka mbona signal hazipotei? Ili Hali tunajua kabisa dish likiyumba kidogo tu channels hamna?
  20. JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia nini kuhusu basi hizi?

    Haya ni mabasi mazuri sana, je umewahi kusikia nini kuhusu basi hizi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…