kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania kuhusu Utumishi

    Habari zenu mabibi na mabwana,kuna kitu sijakielewa naombeni ushauri wenu,leo nimeingia kwenye ajira portol,kuna nafasi niliomba nimekuta nimeitwa kwenye saili,tarehe ya maelezo kwa kada zote inasema usaili ni tarehe 19,ila chini kabisa kwenye majina wameandika usaili wa kwanza ni tarehe 14 sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Twitter yashutumiwa kupotosha kuhusu ulinzi wa taarifa za watumiaji

    Akitoa ushahidi wake mbele ya Bunge la Marekani, Mkuu wa zamani wa usalama wa mtandao huo, Peiter Zatko amesema data za watumiaji hazijalindwa vya kutosha na kwamba wafanyakazi takriban 4000 wanaweza kuzipata. Amezitaja taarifa za mtumiaji ambazo Twitter haijaziweka salama kuwa ni namba ya...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Makala kuhusu Kilimo

    Kilimo nchini Tanzania huleta tija kwa wanajamii waliopo pembezoni na wao wakifaidika. Kilimo ni moja ya shughuli za kila siku kwenye maisha ya binadamu na hutegemeana na maeneo husika Kikilimo ili mkulima aweze kulima na kuvuna mazao yake huku akipata faida. Nchini kwetu Tanzania wakulima...
  4. JamiiForums Tanzania AFYA: Wizara ya Afya inasemaje kuhusu utafiti huu?

    Kuna tafiti imechapishwa katika tovuti ya https://www.mdpi.com/2079-6382/11/9/1222?type=check_update&version=2 unaohusu upatikanaji wa mabaki ya dawa katika nyama za kuku tunazokula hususani wale wa broiler. Utafiti umefanyika Ilala na Kinondoni mkoani Dar es Salaam. Utafiti huo umebeba...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kuhusu tembo waharibifu

    Jana nimefungua facebook nikaona mkurugenzi mmoja wa wanyama pori ametoa wazo kuwa serikali itoe kibali tembo wanaoharibu mazao kwa sasa wauwawe. Mimi kama mzalendo sikubaliani na wazo hili kwa sababu tutakuwa tunatatua tatizo moja tunaunda lingine.Tutajenga mawazo mabaya kwa majangili kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wanaofahamu kuhusu interview kwenye tume ya ajira.

    Je marks anazopata mtu kwenye mtihani wa kuandika (writen interview) huunganishwa na zile anazopata kwenye mtihani wa mahojiano (oral interview) wakati wa kuamua mshindi ni nani, au mshindi huamuliwa na marks anazopata mtu kwenye oral interview peke yake? Wahusika kama mkipita hapa tunaomba...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Makala kuhusu Uwajibikaji

    Tanzania ni nchi ya Uchumi wa kati kama sijakosea kwa mujibu wa Vyanzo vya Taarifa vya Kiuchumi Uwajibikaji ndio nguzo pekee itayotupigisha hatua kwenda kwenye Maendeleo jumuishi. Uwajibikaji ni moja kati ya nyenzo kubwa kwenye kuleta Maendeleo katika Taifa lolote duniani,Serikali ya Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni Elimu Kuhusu NBA All-Stars

    Habarini wakuu..Mimi nacheza basketball japo sio katika level kubwa kiivo ila nachezea hadi timu inayoshiriki ligi ya mkoa ya Mpira wa kikapu ya Arusha.. Kwa wapenzi wa kikapu hasa Kule Marekani (NBA) waga kuna mashindano yanaitwa NBA All-Stars ambayo hujumuisha East(Team Durant) na West(Team...
  9. JamiiForums Tanzania Maoni kuhusu Katiba mpya ya Jakaya Kikwete, kwanini hayajawa ya uwazi kama ya Jaji Othman Chande?

    Jakaya Kikwete alikuwa kiongozi wa waangalizi, kwa upande huu wa Afrika Mashariki, Katika uchaguzi mkuu, uliomazika hivi Katibuni nchini Kenya. Tulimsikia pia Rais huyo mstaafu, akiwasihi viongozi wawili wakuu, waliochuana vikali Katika uchaguzi huo, William Ruto na Raila Odinga, waliokabana...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mwenye mrejesho kuhusu dawa za kupunguza uzito

    Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70! Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi! Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua! Naomba kama kuna...
  11. JamiiForums Tanzania TCRA yaipiga faini ya Tsh. Milioni 2 ZamaMpya TV (DarMpya), Maudhui ya Afande Sele kuhusu Tozo yatajwa

    Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA)imeiamuru ZamaMpya TV Online kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ndani ya siku 21 kufuatia kuchapisha hisiyo na midhania ya habari. Taarifa hiyo ilihusu maudhui ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhumiwa kuwa ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuizomee Singida Big Stars kila inapocheza kufikisha ujumbe kwa Mwigulu kuhusu tozo

    Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie. Tumechoka.
  13. JamiiForums Tanzania Je, unataka kuepuka faini na adhabu zinazohusiana kodi?

    Je una changamoto ya kuandaa mahesabu? Je unapata shida ya kuwasilisha kodi kwa wakati? Fatilia huu Mkasa John alikua mfanyabiashara maeneo ya kariakoo alikua na tatizo la jinsi ya kuandaa mahesabu na kuwasilisha kodi kwawakati. Alitafuta msaada bila mafanikio. Hilo tatizo lilipelekea...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana wanaolalamika kuhusu ajira na wanaojisifu kufanya sana ngono, ni vijana wawili tofauti?

    Naomba kujua, hawa vijana wanaomuwaza Harmonize na CCM na kutafta connection za pornography, ndiyo hawa hawa job seeker or wapo tofauti tofauti kimakundi?! Kama ndiyo hawa hawa naomba serikali iendelee kupiga msumali wa kichwa!
  15. JamiiForums Tanzania Maoni ya Hassan Bumbuli kuhusu Kocha Juma Mgunda

    Kupitia ukurasa wake wa twitter ameweka maoni yake kama ifuatavyo;
  16. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Bilioni 55.57 kujenga nyumba za walimu kwenye maeneo yasiyo fikika kirahisi

    Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa ameelezea mafaniko ya Serikali ya awamu ya sita katika kwenye kada ya elumu ambapo amesema mwaka 2021/22 walimu wapya 24749 wameajiriwa huku malimbikizo ya mishahara pamoja na ulipaji wa pesa za pensheni kwa wastafu vikifanyika kwa wakati. Pamoja na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu 1995 MITSUBISHI Pajero Y-V26WG BM530139

    Greetings wadau wangu, Please Naomba ushauri sahihi kuhusu gari tajwa hapo juu, Mimi ninahitaji gari SUV ya diesel ambayo Ina reliability ya Hali ya juu, durability ya Hali ya juu, stability ya Hali ya juu, comfortability ya Hali ya juuu barabarani, haitumiii umeme kabisa yaani old school...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi waunda sera ya kigeni ya Marekani kuhusu Afrika

    Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi ilitoa ripoti ya tathmini ya jinsi Marekani inavyotekeleza Mkataba wa Kimataifa wa Kutokomeza Aina Zote za Ubaguzi wa Rangi, ikisema uhalifu na kauli za chuki nchini Marekani vimeongezeka kidhahiri katika miaka kadhaa iliyopita, na watu...
  19. JamiiForums Tanzania Usahili: Tutorial Assistant, Kuna baadhi ya mambo kuhusu written interview ningependa kufahamishwa

    Habari za wakati huu my virtual family JF Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
  20. JamiiForums Tanzania Mawaziri wapiga kimya kuhusu uwepo wa fedha zilizositishwa na bunge bajeti ya 2022/2023

    Wakuu, Ofisi, halmashauri, mikoa ,taasisi na mashirika ya Umma kuna hali ambayo haijulikani kuhusu uwepo wa fedha au. Ukifika kufuatilia malipo unaambiwa mfumo haujafunguka. Tangu July hadi September mfumo haufunguki. Mwenye ufahamu kuhusu hali ya kifedha atujulishe tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…