Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,049
- 2,249
Habarini wakuu..Mimi nacheza basketball japo sio katika level kubwa kiivo ila nachezea hadi timu inayoshiriki ligi ya mkoa ya Mpira wa kikapu ya Arusha..
Kwa wapenzi wa kikapu hasa Kule Marekani (NBA) waga kuna mashindano yanaitwa NBA All-Stars ambayo hujumuisha East(Team Durant) na West(Team Lebron)kwa sasa....
Ningependa mnijuze, Wanaposema East ni timu inayojumuisha wachezaji wote waliozaliwa Eastern America? Au wachezaji wanaochezea timu ambazo zipo East?? Hapa ndo waga sielewi kiukweli..Kama kwa mfano waga wanachukua upande wa timu inapotokea mbona Giannis Antentokounmpo "Greek Freaky" Timu take ya Milwaukee Bucks inatokea east ila yeye anachezeaga West kwenye All stars??Na kama waga wanaangalia upande alipozaliwa, Giannis sio Mmarekani ni Mgiriki..!!??
BAK