kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wasanii wanaoimba kuhusu bangi wapewa onyo

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Gerald Kusaya amewaonya Wasanii wa Tanzania wanaotunga nyimbo za kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo bangi na kusema hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa Wasanii hao. Akiongea na Waandishi wa Habari...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ndoa kwa wanaowaza kuoa mke mmoja au kuoa mke zaidi ya mmoja. Uzoefu ni mwalimu mzuri

    Declaration of interest: ======== mleta mada hii ana wake watatu ambao ni marafikiri na wanashirikiana na kusaidiana kwa karibu sana. ======÷== Facts 15 kuhusu ndoa ukizitumia zitakusaidia. 1. Ndoa japo ya mke mmoja, kwa mwanaume ni kujivika majukumu. Kama haupendi majukumu usioe, kama...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini siku hizi serikalini wanaaajiri hasa wenye elimu ya diploma? Vipi kuhusu walioanzia degree?

    Jamani siku hizi nafasi nyingi zikitolewa au serikali wakihitaji waajiriwa Mara nyingi diploma ndo imekuwa kipaumbele,. Hiyo imekaaje ndugu zangu
  4. JamiiForums Tanzania Tumuelewe nani sasa Kati ya hawa wawili kuhusu mabehewa ya treni

    Hanganya anasema ni used huyu anasema ni mapya
  5. C

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania jitahidini mlizingatie sana hili la TCU kuhusu PhD za Taaluma na zile za Heshima

    Kwa mujibu wa TCU ni kwamba Mtu yoyote ( hata awe ni nani Tanzania ) akiwa ametunukiwa PhD ya Heshima akiwa anatajwa ni lazima Kianze Cheo chake kisha Jina na Tuzo hiyo ya Heshima. Kwa mfano Cognizant nikiwa labda ni Mkuu wa Wilaya na nimezawadiwa PhD ya Heshima na Chuo Kikuu chochote Waandishi...
  6. JamiiForums Tanzania Jiunge Leo Katika Mafunzo Ya Siku 10 Kuhusu Uwekezaji Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Habari yako rafiki yangu, Naitwa Aliko Musa kutokea jiji la Mbeya. Mimi ni mwandishi mbobezi wa makala na vitabu vya mbinu bora za kuwekeza kwenye viwanja na nyumba. Ninawafikia wawekezaji kupitia mtandao wangu uitwao UWEKEZAJI MAJENGO. Nimekuandalia mafunzo mazuri sana ambayo yatakuwezesha...
  7. JamiiForums Tanzania Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inapoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini na linavyopokewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kuuza au kununua hisa

    Kuna mambo kadhaa nahitaji kufahamu kutoka kwa Wajuzi wa hizi kazi. Nimeonesha nia ya kutaka kuuza hisa nikapatiwa orodha ya Madalali, sasa nipo njiapanda nitumie kigezo gani kuchagua Dalali mmoja kutoka kwenye orodha. Na je, kuuza au kununua hisa kwa wakati ina uhusiano na ni Dalali gani ume...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto, Raila watupiana maneno kuhusu kusimamishwa kwa Makamishna wa Uchaguzi

    Rais wa Kenya, William Ruto amemtaka kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga kuacha kushawishi umma kupinga maamuzi hayo kwa kuwa Mahakama ndio itakayoamua kuhusu makamishna hao ambao walipinga ushindi wa Ruto katika uchaguzi Mkuu wa 2022. Kwa kutumia ukurasa wake wa Twitter, Ruto ameandika...
  10. JamiiForums Tanzania Mwamko Mpya Kuhusu Historia ya Bi. Titi Mohamed

    MWAMKO MPYA KUHUSU HISTORIA YA BI. TITI Mwaka jana 2021 kuanzia mwezi October hadi kufika mwezi kama huu na siku kama hizi nilipokea wageni wengi nyumbani kwangu kutoka vyombo vya habari pamoja na CCM wakitafuta historia ya Bi. Titi. Hakika haya ndiyo maajabu ya Allah kuwa atakapo jambo lake...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Museveni Kainerugaba atema cheche kuhusu Rwanda na DR Congo. Afrika Mashariki wanyamaza

    Kipindi flani hawa Rwanda na Uganda wasingetamba hivi. Mimi nawaonea huruma sana DR Congo. Hawa miaka mingi wanachezewa. Toka miaka ile na wakoloni na sasa Waafrika wenyewe kwa wenyewe. Tena wa hapahapa East Africa. Hapana kwa kweli. Ningekuwa na uwezo ningewasaidia Congo. Hawa wapuuzi...
  12. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa FBI asema wana wasiwasi na TikTok kuhusu usalama wa Marekani

    Mkurugenzi wa FBI, Chris Wray amesema mtandao wa kijamii wa China TikTok umeanza kuwatia "wasiwasi wa kuhusu usalama wa taifa la Marekani. Akizungumza katika hafla katika Chuo Kikuu cha Michigan, Wray alionesha wasiwasi kwamba Serikali ya China inaweza kutumia data zilizokusanywa kupitia TikTok...
  13. JamiiForums Tanzania Ulikuwa na mtazamo gani kuhusu kuzika

    Habari za mchana Naenda direct kwenye mada Ulikuwa na mtazamo gani kuhusu kuzika na mala yako ya kwaza kuzika hilikuwaje Mimi nilikuwa najua mtu akizikwa basi anakutokea usiku unapolala Nakumbuka mara yangu ya kwaza kwenda kuzika nilikuwa darasa la tano mwezetu alifiwa na baba yake kwaiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Wajerumani walifikiria zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko kandanda

    Washindi mara nne wa Kombe la Dunia walitoka katika hatua ya makundi nchini Qatar Kuondolewa mapema kwa Ujerumani kutoka kwenye Kombe la Dunia la FIFA nchini Qatar ni "kufeli sana" kwa taifa hilo, kulingana na kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Urusi Valery Gazzaev. Alishutumu wachezaji wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mvua zikiendelea kunyesha katika mabwawa, changamoto ya upungufu wa umeme itapungua

    Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme . Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
  16. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo semeni ukweli kuhusu GMO

    Binafsi naungana na Huyu jamaa. 1. Mbegu za asili zimepotea. 2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu. 3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo. 4. Matokeo yale watu wamekuwa watumwa wa kununua mbegu kila msimu. 5. GMO zinashambuliwa sana na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

    RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu...
  18. JamiiForums Tanzania Elon Musk aendelea kuishutumu Apple kuwa inatishia kuiondoa Twitter kwenye program zake

    Elon Musk amesema Kampuni ya Apple imesitisha matangazo yake mengi kwenye mtandao wa Twitter na kuishutumu kampuni hiyo kwa kutishia kuiondoa Twitter kwenye program zake. Mzozo huo umeibuka baada ya kampuni nyingi kusitisha matumizi kwenye Twitter hasa baada ya mipango ya mmiliki mpya wa...
  19. JamiiForums Tanzania Jamii na mtazamo hasi kuhusu kuoa/kuolewa

    Ningependa kuwakaribisha wadau wote wa Jamii Forums mtakaopendezwa kushiriki katika huu mjadala wenye maswali/changamoto kadhaa zenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu. Awali ya yote ningependa kufahamu haya kuhusu mtazamo wa jamii kuhusu kuoa au kuolewa kwa vijana wa kuanzia miaka 30 mpaka 40 na...
  20. JamiiForums Tanzania Kuhusu rushwa polisi

    Salam Kume kuwa na malalamiko mengi kuhusu rushwa kwa polisi kwamba wanaomba rushwa sana kuliko kawaida Mimi nataka kuwa ambia sababu za moja kuu inayo wapelekea wao waombe rushwa Nuture ya kazi yao inawakutanisha na client wao kwa kiasi kukubwa na ukitaka kujua hilo angalia taasisi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…