kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Gari hizi aina Copper

    Habarini wakuu, Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu. karibuni..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

    Ujenzi ni mgumu sana na unahitaji kujitoa sana na uvumilivu mkubwa . Jenga nyumba ambayo unaweza Kwa kipato chako. Narudia kipato chako sio kiwango cha pesa ulizokopa au ulizosave kwenye bank account yako maana kwenye ujenzi sio kitu cha ajabu Kwa bajeti kuisha huku kazi bado sana sasa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimejikagua na kujipima upya kuhusu mwenendo wa uchumi, nimekosa raha

    Kujikagua na kujipima ni jambo la muhimu sana , hebu tafakari miaka mitano yako nyuma na sasa, huko ulimiliki nini na sasa unamilki nini , shughuli zako za kiuchumi je zimetanuka na atleast zinatosheleza mahitaji yako au bado mechi Ngumu sana upande wako ukichukua...
  4. JamiiForums Tanzania Leo napenda nitoe Ushauri (unaweza kuuchukua au Kuucha) kuhusu watoto

    Habari za Mwaka Mpya. Vijana wengi wa mwaka (1990 to 1997 kwa wasichana) wana watoto, hakuna mzazi anaependa mtoto wake awe wa mwisho darasani, kila mzazi anapenda mtoto wake amletee "A" kwenye kila somo, tunaona wengine wanavyofurahia matokeo ya watoto wao kwenye mitandao. NAKUSHAURI; kabla...
  5. JamiiForums Tanzania Kasumba potofu walizopewa Watoto kuhusu "wanaume watakaoolewa nao; na Wanawake watakaowaoa"

    KASUMBA POTOFU WALIZOPEWA WATOTO KUHUSU "WANAUME WATAKAOOLEWA NAO; NA WANAWAKE WATAKAOWAOA" Anaandika Robert Heriel. Baba "Wanaume ni wabaya" "Wanaume ni wakatili, wakorofi na wanatabia za kupiga." "Wanaume ni waongo, watakurubuni, watakuchezea alafu watakudampo" Hizo ni baadhi ya kauli ambazo...
  6. JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya baadhi ya Askari Polisi kuhusu ujio wa Tundu Lissu yavuja

    Katika pitapita zangu kwenye Social Media nimekutana na "screenshot" inayoonyesha chats za Askari Police (baadhi). Huenda huu ndio mtazamo wa jumla wa Hawa jamaa wa Form Four.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kuhusu Mikopo ya nyumba

    Salamu, Naomba kuelimishwa kuhusu biashara ya mortgage hapa kwetu Tanzania! Ipoje,je sisi wa kipato Cha chini tunaimudu!? Ipi inalipa kujenga pole pole au kuingia kwenye hii Mikopo? Ni Benk gani inatia huduma hii? Vipi kuhusu Bank kudhamini kununua nyumba? Nawasilisha!
  8. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kuhusu Hoteli ya Alkael Mbowe kutumia umeme wa wizi

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa madai kuwa wamebaini inatumia umeme wa wizi na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi milioni 10.8. Akiungumza, Meneja wa Tanesco Mkoa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu nyumba ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Maweni, Igunga inayosambaa mitandaoni

    UFAFANUZI KUHUSU NYUMBA YA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI MAWENI, IGUNGA INAYOSAMBAA MITANDAONI Tarehe 20 Septemba 2021 nikiwa naendelea na Ziara ya Kijiji kwa Kijiji kwenye Jimbo la Igunga, Nikiwa na Wasaidizi wa Ofisi ya Mbunge na Waandishi wa Habari, tulifika Shule ya Msingi Maweni iliyopo...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu aina za channel za YouTube zinazotakiwa kusajiliwa TCRA

    Natoa salam kwa wana jamvi wa Jf kwa ujumla, specifically nazitoa salam kwa wana jukwaa wa Tech. Tukiachana na salam, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Naomba kuuliza je, ni aina gani za channel za YouTube zinahitajika kusajiliwa na TCRA?. Je, ni kila aina ya channel inahitaji...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu course za biashara kwa mihitimu wa Kidato cha Nne aliye somea science

    Nahitaji kusomea diploma business managing and marketing je, inawezekani?
  12. JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Kubadili Private Company Kuwa Public Company

    Habari za mwaka huu wa 2023, ni amtumani yangu kwamba katika safari yako ya upambanaji unaendelea kujipa moyo na kupambana kwa nguvu.Usikate tamaa. Leo nataka nichongoze mada ndogo yenye ukubwa. Naichokoze hii mada ili niweze kuamsha hamasa kwa wale ambao wana maono makubwa basi waweze...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani kuhusu watoto wanaofuatana kuzaliwa kupenda kugombana?

    Daaaah nakumbuka wakati nipo mdogo nilikuwa nazichapa haswa na mdogo wangu, ila nilokuwa ni kama napigana kwa tahadhari situmii nguvu zote. Yaani dogo aliniona mie kama boya tu, saa ikafika siku nikaamua kutumia full force yani nilimshushia mzigo wenyewe bila kujivunga ndio heshima ikawepo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu till za Tigo Pesa

    Naomba kuuliza wadau, nawezaje kuangalia tena zile namba za wakala kwenye till yangu ya tigo pesa kama nimezisahau? Naombeni msaada
  15. D

    JamiiForums Tanzania Vishkwambi walivyoahidiwa walimu vimeenda wapi?

    Vishkwambi walivyoahidiwa walimu kupata vimepotelea wapi. Ingekuwa Enzi za JPM:- (1) Vishkwambi vingekuwa vilishasambazwa muda mrefu. (2) Hakuna Kishkwambi hata kimoja ambacho kingekwapuliwa kama ilifanyika sasa.
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  17. JamiiForums Tanzania Kama unafahamu chochote Kuhusu Zanzibar Boutique Hotels pitia hapa!

    Kama kuna Mtu ambae aliwahi Lala mahala au mfanya kazi ambae ana experience na hiyo kazi naomba atoe muongozo kuhusu Usafiri, gharama za vinywaji pamoja na chakula. Kama kuna Manager/ Accountant au yeyote ambae alishawahi kuwa kwenye Management ntafurahi sana akiweza kutoa some highlights...
  18. JamiiForums Tanzania BoT yatahadharisha wananchi kuhusu utapeli wa fedha mitandaoni

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka Watanzania kuwa makini na utapeli mpya unaofanyika kwa njia ya barua pepe unaoelekeza kulipa kiasi fulani cha fedha kuwezesha kupata fedha nyingi. BOT katika taarifa yake imebaini kuongezeka kwa udanganyifu wa fedha nchini unaohusisha mwananchi kupokea...
  19. JamiiForums Tanzania Bado siamini kama taasisi ya ikulu kuna washauri

    Mfumo wa Tanzania ni ule wa zidumu fikra za mwenyekiti bado unatumika mpaka sasa,ndio maana MTU anateua then anatengua ,ni kama mwanafunzi ambae daftari lake utakuta uchafu wa kufutafuta . Kiongozi lazima ujue maeneo yako ya mkakati machache na uyaweke chini ya watu maalumu na wajulikane...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu private candidate

    Habari wana JF ninaomba kuuliza kwa kujua je nitaruhusika kufanya mtihani wa Advance kama ikiwa kwenye matokeo yangu ya O level nina PHYSICS-D HISABATI-C ENGLISH L-C HISTORY-D CHEMISTRY-C CIVICS-D GEOGRAPHY-D KISW -C BIOS- D Comb nnayotaka kuisoma itakuwa CCD , Je naweza kuruhusiwa kufanya pepa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…