kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu mimba

    Je mwanamke akiwa na mimba hedhi inaweza kuendela kutoka?au imekaaje wakuu,naomba ufafanuzi Kwa madakitari na mtu yoyote mwenye uelewa humu JF
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tunachunguza taarifa za kikundi kukamata madereva Bajaj Mwanza

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limebaini uwepo wa ujumbe unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii (kama inavyoonekana kwenye picha) ukidai uwepo wa kikundi kinachokamata Bajaji kibabe kwa kigezo cha "Wrong Parking" na kutoza kiasi cha Tsh. 22,000 bila risiti, huku kukiwa na tuhuma kuwa baadhi ya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Musukuma: Chama chetu kinahitaji kutoa kauli kuhusu Oktoba 29, lazima tuangalie tulipokosea, tuchukue hatua

    Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku Musukuma akiwa katika mahojiano na Channel ya M&S Podcast ambayo yamechapishwa Julai 1, 2026.
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha amjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania

    Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka hapa nchini
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Serikali yakana kuuza rasilimali za misitu kwa biashara ya kaboni

    Serikali imesema haijauza wala haijakabidhi rasilimali za misitu au maliasili za Tanzania kwa mataifa ya nje kupitia makubaliano ya biashara ya kaboni, ikisisitiza kuwa hatua zinazoendelea zinalenga kuongeza manufaa ya kiuchumi kwa taifa huku zikilinda maslahi ya wananchi. Akizungumza na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania ICC: Ninaanza kuwa na wasiwasi, hivi kuna lolote ICC kinachoendelea kuhusu mauaji ya halaiki. WHO IS PUSHING THE AGENDA?

    Naona kumekuwa kimya mno! Kuna lolote kweli linaloendelea? Who is pushing the agenda? Mbina ka eneo hako tumekasahau? WHO IS PUSHING THE AGENDA?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kuhusu siku ya 7/7

    Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani. Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
  8. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ wazalendo waungeni Wananchi 7/7, Viongozi wazalendo kumbukeni mafunzo yenu kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi, kuhusu usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira. Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu hatma ya Humphrey Polepole

    1. Je Yuko hai? 2. Kama Yuko hai anafanywaje? Kula na kulala milele au ? 3.Je anayemtunza kama Yuko hai Huwa anaongea nae? 4. Au anampa Chakula na kuondoka? 5. Je kama Yuko hai anawaza nini? Kwamba kuna siku nitaliona jua? 6. Je anayemtunza/mfuga anamwambia maneno gani? 7. Kwamba pengine...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Kakonko DC tuliambiwa Fedha za Kujikimu inazingatia Salary Scale, sasa wanasema inazingatia kituo

    Ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko tunaomba kufikisha kilio chetu kuhusu utata uliojitokeza katika malipo ya fedha za kujikimu baada ya kuripoti kazini. Tulipokuwa tunaripoti, tuliagizwa kuandika barua za kuomba fedha za kujikimu, maelekezo tuliyopewa, tuliambiwa kiwango cha...
  11. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mbunge Eric Shigongo Asema Atayafikisha Mahakamani Malalamiko ya Watumiaji Kuhusu Bando za Intaneti

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametangaza dhamira ya kulifikisha mahakamani suala la malalamiko yanayoendelea kutolewa na watumiaji wa huduma za intaneti kuhusu bando kuisha au kukatwa kabla ya muda wanaotarajia. Hatua hiyo imekuja baada ya kusambaa kwa video ya Niffer akielezea changamoto...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rasmi Bunge la Ulaya lapokea ushahidi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum. Soma: Mke wa Lissu abubujikwa machozi akitoa taarifa Kamati ya Haki za Binadamu EU Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu...
  13. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ushuhuda wangu wa Kweli kuhusu pesa

    Katika Dunia hii ambayo wote tumezaliwa tumekuja hatuna hata soksi, kila kitu tumekikuta basi tambua kuwa hakuna kitu HAKIWEZEKANI. Mitandao hii hii ambayo tunatumia kila siku. Kuna watu ndiyo inawaendeshea maisha. Kuna watu wamejenga, wamenunua magari, kuna ambao hawataki kuajiriwa. Iko Hivi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli za Daladala Arusha: Tsh. 1,000 badala ya Tsh. 700?

    Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha. Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700. Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei. Je hii ni sahihi? Tunaziomba mamlaka zilitazame hili jambo limekuwa mwiba mchungu kwa wanachi wa...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka amekosea kuifananisha serikali mbili na anguko la USSR

    Katika mahojiano yake na mwandishi Khalifa wa The Chanzo, Prof Tibaijuka alitetea serikali mbili akirejea kuvunjika kwa muungano wa USSR baada kuanzishwa serikali ya Urusi na kudai ilidhoofisha muungano wa USSR. Huu sio kweli, serikali ya Urusi iliyoundwa mwaka mmoja 1990 kabla ya USSR...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sugu ukikubali kudhulumiwa haki ya ubunifu wa wazo lako kimuziki safari hii nitakushangaa sana. Bado nasubiri response yako kuhusu hili tamasha.

    Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa vijana kwa njia ya tamasha la muziki. Sugu alienda hadi Marekani zaidi ya mara moja katika harakati za...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Azimio la Bunge la Ulaya

    Ujue ukweli na uwongo juu ya uamuzi wa Bunge la Ulaya kwa Tanzania. Vyombo ya habari uchwara na media za akina Maria, wanasambaza uwongo kuzua taharuki na kueneza chuki. Hii isambae ndugu zangu iende mbali zaidi Watanzania wajue ukweli..
  18. nipo online

    JamiiForums Tanzania Uchumi: Kama unaogopa kuchukua RISK basi fahamu unajenga ndoto za aliyekwisha chukua, na sahau kuhusu hela

    Maskini akitaka kufanya biashara anajiulza vipi kama nitapoteza? Then anagairi. Wakati matajiri hua wanajiuliza vip kama itafanikiwa?then anachukua hatua. (rudia tena kusoma hiyo sentensi) Ukweli ni kwamba kila kitu unachoona kimefanikiwa kilianza na uncertainty. Yaani hakikua na uhakika ama...
  19. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Nimeisikiliza VAR ya cloud tv kuhusu Rashford jamani

    Rashford ni mchezaji wa kiwango cha juu sana. Mchambuzi huyu wa clouds tafadhali hii irudie watu waisikie kuhusu Rashid wa man united
  20. O

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada tutani kuhusu video downloader

    Wakuu naombeni msaada wa video downloader ambayo isio ya kulipia maana nimejaribu kulipia snapany inakuwa inakataa ...ningefurahi zaidi kupata ya ku copy na ku paste link .... shukrani
Back
Top Bottom