kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI WANGU KUHUSU MCHEZAJI MPYA WA AZAM STANIC HENRI

    1. Kacheza mechi 16 ligi ya betway.akiwa mchezaji wa Stellenbosch ya afrika kusini, ni mzaliwa wa ubelgiji.ana miaka 23 tu. 2. kaanza kikosi cha kwanza mechi 14. 3.kacheza dakika 1230. 4.hajafunga bao Wala kutoa pasi ya bao katika ligi msimu ulioisha. Endelea kuwa NAMI mchambuzi wa maswala...
  2. Rais Wa Malofa

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ubora wa huduma za Voice Calls za Vodacom Tanzania – Tarime

    Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa ya huduma ya kupiga na kupokea simu (voice calls) kwenye mtandao wa Vodacom Tanzania katika eneo la Tarime, Mkoa wa Mara. Kwa muda sasa, wateja wengi wamekuwa wakikumbana na matatizo kama simu kukatika katikati ya mazungumzo, kushindwa...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Michango ya Chadema: Niwape Data Kamili

    Chadema Tokea waanze kuchangisha ma michango yao asilimia kubwa ya hiyo michango haija timiza lengp. Waje hapa kubisha niwape data kamili
  4. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Mnatoa milio kuhusu makala za BBC?

    Hiki kikundi cha wahuni kinachojiita Serikali kumetoa tamko kuhusu mfululizo wa makala kupitia kipindi cha AFRICA EYE DOCUMENTARIES,wanalalamika kwamba BBC haizingatii weledi. Ukiangalia na kufuatilia kwa umakini utagundua namna gani sehemu nyeti zinaongozwa na matakataka ambao wanajina maarufu...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM kuhusu CHADEMA jifunzeni kwa mfano wa Kaini na Habili

    Kwenye Biblia kuna masimulizi ya wana wawili wa Adamu na Hawa, ambao ni Habili na Kaini. Biblia inasimulia kuwa Kaini ambaye alikuwa ni mkubwa alikuwa Mkulima wakati mdogo wake Habili alikuwa ni mfugaji. Inasemwa kuwa Kaini aliona wivu jinsi mdogo wake Habili sadaka zake zilivyokuwa...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kumkosoa IGP kuhusu vikundi vya Mwaipopo wampeleka Polisi mwalimu Laulent Joseph (Mnegro)

    Hii inathibitisha kuwa hii nchi imewashinda hawa walio madarakani. Hivi kweli ingekuwa hao ni wanaojitambulisha kuwa ni waandamanaji, je wasingekamatwa? Huyu anayeitwa IGP nadhani ni bosheni tu. Huenda IGP halisi ni mafwele na wauaji wenzake ndomana wakina Mwaipopo wako na ujasiri wa kuvaa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania VETA: Tunawasihi wateja wetu kuwa na uvumilifu na kuzingatia taratibu kuhusu vyeti na leseni za Udereva

    VETA inatunuku vyeti vya udereva kwa mhitimu aliyefaulu mitihani na majaribio yanatotolewa katika ngazi ya chuo. Aidha, mbali na kuwa na cheti cha VETA, mhitimu anapaswa kukidhi tathmini ya umahiri inayoendeshwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi (Kitengo cha usalama Barabarani)...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Yapokea Kalenda Inayoeleza Historia ya Ukombozi wa Afrika Kusini na Kitabu Kuhusu Ubaguzi Katika Elimu

    MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu. Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
  9. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kanda ya ziwa hebu naomba mnijibu hili swali kuhusu fisi

    Je, fisi anaona usiku? Kama anaona anajuaje kama binadamu haoni usiku? Nani anamwambia? Nasema hivi kwa sababu kule Shinyanga ukipita mida ya usiku unakuta fisi kajibanza tu sehemu kwa kuamini kuwa humuoni, lakini mchana hafanyi hivyo. Anajuaje kwamba binadamu usiku haoni? Seran, Shytown.
  10. passioner255

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Heche?

    Ukweli ni kwamba CCM/Samia hayamtaki Heche awe kwenye nafasi yake kwa sababu ya misimamo yake ya kutokutaka maridhiano feki. Ukweli ni kwamba CCM au regime hii ovu hawatafanikiwa kwa sababu baada ya kufanya yale mauaji na kufanya uhuni kama utekaji,ulawiti,ufisadi Regime hii imelaaniwa kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu tuhuma dhidi ya Heche, hadi sasa sizikubali

    Mimi si mfuasi wa CHADEMA, lakini hilo halimaanishi nikubali kila tuhuma inayotolewa dhidi ya viongozi wake bila kutumia akili na kuhoji. Katika suala la madai kwamba Heche amekula fedha, binafsi sijaona ushahidi wa wazi unaonifanya niamini tuhuma hizo. Pia, inapokuja habari, ni wajibu wetu...
  12. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?

    Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama. Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari. Okay sawa, uhenda nia...
  13. livingroom_espionage

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu ndoa

    Salaam wakuu, mimi ni mwenzenu ila account yangu sijui imefanyaje na ile email walihack ila nimefungua account mpya. Sasa ndugu zangu mimi nina 38 sasahv na ndio naingia kwenye ndoa, huyu binti nilizaa nae miaka 12 iliyopita, ila nilikuwa sijapata kibali cha kuishi nae pamoja. Sasa naombeni...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katambi: Mwenye ushahidi kuhusu watekaji aniletee

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali haitoi ruhusa ya utekaji na kwamba vitendo vya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ni makosa ya jinai yanayokiuka sheria na yatachunguzwa kwa kina ili ukweli ubainike. Amesema endapo mtu anahusishwa na uhalifu, Serikali...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa TPDC kuhusu Mafuta: Maswali Bado

    Leo Serikali Kupitia TPDC imeita waandishi na wahariri wa Habari mbalimbali na kutaka kufafanua juu yaadai yaliyotolewa na ACT Wazalendo kuhusiania na kashfa ya uagizaji Mafuta. Nimesikiliza hotuba Yao na kurejea maswali ya ACT kiukweli bado ufafanuzi inahitajika Nakuwekea maswali ya ACT hapa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Aunguruma. Apiga Marufuku Na kutoa Maagizo ya Kukamatwa na kufuatiliwa viongozi Wanaojadili kuhusu Uchaguzi Wa 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Amepiga Marufuku Na kutoa Maagizo Mazito kwelikweli ya kufuatiliwa na kukamatwa wale Viongozi Wote Ambao wamekaa maofisini na kwenye makundi ya Wasapu wakifanya kazi ya kujadili kuhusu Uchaguzi...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali ipo Upande wetu sisi Wanayanga. Simba isahau kuhusu kuchukua Ubingwa

    Nlisema as long as Samia ni Rais basi Yanga tuta enjoy Misimu yote Ubingwa. Maana hilo lipo ndani ya uwezo wetu.
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania David Hundeyin: Ukweli Kuhusu Kinachodaiwa kuwa "Colour Revolution" Tanzania

    Muda mrefu kabla ya uchaguzi wa urais wa Tanzania wa Oktoba 2025 kufanyika, vyombo vya habari vya Magharibi vilikuwa tayari vimejenga simulizi kwamba Rais Samia Suluhu Hassan angeshinda uchaguzi uliodaiwa kuwa wa udanganyifu, chama kikuu cha upinzani kingezuiwa kushiriki, na maandamano...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu mimba

    Je mwanamke akiwa na mimba hedhi inaweza kuendela kutoka?au imekaaje wakuu,naomba ufafanuzi Kwa madakitari na mtu yoyote mwenye uelewa humu JF
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tunachunguza taarifa za kikundi kukamata madereva Bajaj Mwanza

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limebaini uwepo wa ujumbe unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii (kama inavyoonekana kwenye picha) ukidai uwepo wa kikundi kinachokamata Bajaji kibabe kwa kigezo cha "Wrong Parking" na kutoza kiasi cha Tsh. 22,000 bila risiti, huku kukiwa na tuhuma kuwa baadhi ya...
Back
Top Bottom