kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kushea biashara na mtu

    Nimepata mdau ameniomba aweke mtaji kwenye ofisi yangu kesho ndo nataka nikamsikilize. Ila ni kuongeza bidhaa ofisini Mm plani yangu ni kama ataongeza mtaji basi nilitaka nimwambie mtaji wake tuweke kwenye simu ndogo za batani radio za kuchajisha na sabufa zisizo zidi Bei ya 120 Na bidhaa...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika (AU) umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

    Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
  3. NGAYANIMO

    JamiiForums Tanzania Full interview na Afande Sele kuhusu gheto boys & watu pori

    Interview na Afande Sele akizungumzia watu pori na gheto boys akiwa na c.e.o wa ukwaju wa kitambo
  4. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usiosemwa Kuhusu Watu Wako wa Karibu Kwenye Safari ya Mafanikio

    Habari wana JF, Kuna jambo wengi huligundua wakiwa wamechelewa -sio kila mtu wa karibu yako atakuwa tayari kukuona ukipiga hatua kubwa kuliko yeye. Na hapa nisisemee vibaya: Watu wengi wa karibu wanaweza wakawa wanakutakia mema kwa dhati. Wanapenda ufanikiwe. Wanakuombea. Wanakutia moyo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo. Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wajadili kuhusu ‘Traffic lights’ za Ubungo External KUZIMIKA usiku na kuwa chanzo cha ajali

    Jana niliona kuna member amejadili kuhusu taa hizo, nikapita usiku na kubaini kuwa alichozungumza ni kweli, taa hizo kwenye Jiji la Chalamila zinazingua na ni hatari kwa kuwa zinaweza kusababisha ajali, kwani kila upande unaweza kuhisi upo sahihi. Mjadala huo wa Clouds FM nimeusikia asubuhi hii...
  7. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Waislam njooni mnijibu kuhusu hili suala

    Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi za kiislamu kukuta wanapiga marufuku watu kula chakula hadharani wakati wa mfungo wa Ramadhan ata kama sio Waislam Wengine hukumbana na adhabu Kali wanapokamatwa wakila chakula Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo; 1; Je ninyi wenzetu hamuwezi kufunga Hadi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania JamiiAi: Nimeuliza hii Ai swali dogo tu na fupi kuhusu jamiiforums ni nini nimepewa majibu yote historia nzima

    Haya ni majibu ya swali dogo tu la "Jamiiforums ni nini ? hakuna kitu ulicho kiacha nyuma imefunguka kila kitu. Picha ni JamiiAi Screenshot Picha ya pili 2 1re Picha ya tatu 3 Picha ya nne 4 Picha ya tano 5 picha ya sita 6 Muhimu: Ikumbukwe JamiiAi imejengwa kwa teknolojia...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuhusu Watumishi wa Mikataba Ilala. Mkurugenzi amedanganya!

    Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba. Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala. Wanalipwa mpaka sasa 340,000 na serikali ilipitisha 500,000. Mshahara wanalipwa mpaka mwezi upinduke, kati ya tar 4, 6, au 8...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea Oktoba 29, 2025

    Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea October 29,2025 By the way, hii ni ya sasa au ile ya zamani? Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, (ICC), kupitia Baraza la wanasheria wake, imetangaza kuwa ipo katika hatua za maandalizi ya kuanza uchunguzi nchini Tanzania kwa lengo...
  11. youngkato

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya AI Inayobadilisha Maisha na Kazi Mtandaoni: Mwongozo Kamili Kuhusu ChatGPT

    Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa unaosaidia mabadiliko haya ni ChatGPT. Kwa lugha rahisi kabisa, ChatGPT ni programu ya AI (Akili Bandia)...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mengi kuhusu hema la kuabudia kupitia wimbo huu kutoka kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile

    https://youtu.be/t8GR0scaBDU?si=WSSQno-FJC9qGszB
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya Post Internship Exam, Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) mbona kimya?

    Tunalazimika kutoa malalamiko yetu kwa uwazi na kwa msisitizo mkubwa kwa Baraza la Madaktari Tanganyika kuhusiana na ucheleweshwaji usio na maelezo wa matokeo ya Post Internship Examination. Tulifanya mtihani huu tarehe 17 Disemba, 2025 lakini hadi leo matokeo bado hayajatolewa, hii ni hali...
  14. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili changamoto kwenye kupata passport

    Wakuu habari Nipo mkoani Tabora wilaya ya kaliua kata ya usinge Nataka kukata passport ya kusafiria Swali langu je Fingerprint Picha wanachukulia mkoani au hata wilayani? Mana Nina pesa kama 160k kwa ajili kufatilia Hilo suala viambato vyote vipo je lazima niende mkoani au hapa hapa wilayani...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ya CUF kuhusu Msajili kutengua matokeo ya Viongozi wa Chama hicho chini ya Prof. Lipumba

  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naomba niulize kuhusu makato ya akaunti za biashara NMB

    Nina akaunti ya biashara NMB. Jana nimedownload statement yangu imesoma kama unavyo ona hapa chini: Ni kipi kinasababisha Monthly Fee ya kila mwezi itofautiane? Kilichofanya nilete mada hii hapa ni baada ya kuona nimekatwa Monthly fees Jumla ≈ TZS 227,780.85 na hiyo imefanyika ndani ya siku...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tujali kuhusu upatikanaji na uwezo shuleni na maishani?

    I am Kisaka Kyande, and this is my very long report on accessibility and ableism. Accessibility is one of the most important issues in the history of Canada. According to Municipal World, they say that the population of disabled people in Canada is increasing. The article says, “Statistics...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kitambi kinasababishwa na ubinafsi au ni maumbile tu ya mtu?

    Mandela Katto anahoji kuwa kinasababishwa na ubinafsi au ni maumbile tu ya mtu?
  19. passioner255

    JamiiForums Tanzania La kujifunza kuhusu Epstein Saga

    Wanasiasa wa Tanzania wanalakujifunza kuhusu issue ya Epstein. Mjue kuwa mambo yenu machafu mnayofanya ili mbaki madarakani kama mauaji ya October 29 na ushetani mwingine mwingi siku moja yatadhihirika hadharani na maisha yenu na familia zenu yataisha kwa aibu. Kila mtu atawakataa.
  20. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushauri wangu kwa Rais Samia na CCM kuhusu ushindi wao wa kidemokrasia katika Uchanguzi Mkuu 2025

    Napenda kuwakumbusha Raisi Samia na CCM wote kwamba neno demokrasia halina maana sawa na haki, na wala demokrasia haihalalishi haki, na pia inaweza kupindisha haki au hata kuhalalisha ukosefu wa haki. Hata siku moja msikate shauri kwamba mtu aliechaguliwa kidemokrasia na wengi ndio mwenye haki...
Back
Top Bottom