kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Muhimu sana: Tusome na kujadili kuhusu bandari na DP World kwa namna nyingine

    Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba, msome kwa umakini haya nitakayoyaandika hapa chini, mpime katika mizani ya bongo zenu,kisha mseme...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha matumizi na kuagiza uchunguzi wa Kifaa kinachodaiwa Kupima Vipaji Maalumu kwa Wanafunzi

    Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya kifaa hicho kwa muda hadi hapo serikali itakapojiridhisha juu ya ubora...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Private Jets

    Wasalaam, Ulikuwa unafahamu hili? Duniani kote inakadiriwa ni ndege 23,241 pekee zimesajiliwa kama ndege binafsi (private jets) ambazo zinatumiwa na kumilikiwa na watu maarufu pamoja na wafanya biashara wakubwa duniani kote, huku taifa kubwa la Marekani likiwa na asilimia 63 ya sajili ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ibara ya 36 inapaswa kumfunga Rais na kumpokonya mamlaka ya kuanzisha na kufuta nafasi za madaraka katika utumishi

    “Naibu Waziri Mkuu” Ali Hassan Mwinyi akiwa Rais wa JMT, alilazimika kuteua Waziri Mkuu kutoka bara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Mwl. J.K Nyerere. Katiba ilielekeza ikiwa Rais atatoka Zanzibar Waziri Mkuu atatoka Tanganyika na ndiye atakayekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Muungano...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye msiba wa kaka

    Kaka yangu amefariki last two weeks. Alikua Mtumishi wa Umma wa cheo kikubwa tu wizara fulani. Ofcoz, siwezi kudanganya serikali iliuchukua huu msiba serious, sijajua ni kwa sababu ya miongozo yao au ni kwa sababu ya ukaribu kati ya bro na boss wake. Anyway bro alifaraiki ghafla sababu...
  6. JamiiForums Tanzania LHRC, THRDC na JUKATA wasema Kutoa elimu ya Katiba kwa miaka mitatu, itafika 2030 bila Katiba mpya

    Wanaharakati wa Katiba na Haki za Binadamu wamekosoa kauli ya Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro juu ya kutoa elimu ya Katiba kwa kipindi cha miaka mitatu, wakidai mpango huo unalenga kuchelewesha mchakato na upotezaji wa fedha za umma. Tamko hilo limetolewa na Kituo cha Sheria na...
  7. JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano wanaume wanapoteza zaidi kuliko wanawake

    Nimegundua mahusiano yako very risky kidogo kwa mwanaume asipokua makini. Kwa sababu unaweza ukapata mwanamke ukampenda na kujitoa kwa kile chochote ulichokuwa nacho kwa ajili yake lakini ikitokea misunderstanding yoyote mpaka kuachana wanaume wanaambulia matusi, maneno machafu na kejeli...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nionavyo: RC Mbeya hakutakiwa kuchukua uamuzi Sasa wakati ripoti ya uchunguzi kuhusu ufisadi wa Mbeya haijatoka

    RC ambaye ni Mwenyekiti wa vikao vya RCC ameshindwa kuyaona yaliyokuwa yanaendelea mkoani Mbeya ,mpaka Rais aliseme hii inaonesha utendaji wake unatia mashaka. Baada ya Rais kujua juu ya ufisadi akaunda tume kuchunguza suala hilo na mpaka hapo hatukusikia RC akichukua hatua zozote Kwa wahusika...
  9. JamiiForums Tanzania Jifunze utulivu wa fikra hasa kwenye kupokea habari yoyote hususani kuhusu wengine

    Habarini nyote, Katika maisha yetu kusikia na kunusa kuna nguvu sana. Nawakumbusha tu lolote unalosikia toka kwa mtu kuhusu mtu tumia roho mtakatifu wako akupe ufikiri mpana, yumkini si kweli, ni nusu kweli, ni laghai, mbeya, ni wivu, ni hila, mpoteza uelekeo, mharibifu. Tutende haki ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Naomba tuweke rekodi sawa kuhusu kutumbuliwa DED na DC Mtwara

    Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"? To...
  11. JamiiForums Tanzania Utafiti wangu Kuhusu APP za Mikopo

    Ninawasalimu wote katika Jumapili hii Njema, na tulivu. Naomba nisipoteze mda na niende kwenye mada moja kwa moja. Baada ya kuwa napata matangazo ya App za mikopo, nikaamua nifanye ka utafiti kadogo kuona zinavyofanya kazi. Kwa kipindi cha Miezi 2 nili download up 10, na nikakopa na kurudisha...
  12. JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Padre na Upadre wa kanisa Katoliki

    ELIMU YA PADRE WA KANISA KATOLIKI (Sehemu ya Kwanza) Na. John-Baptist Ngatunga ___________________________ Padre wa Kanisa Katoliki kwa kawaida amesoma na kulelewa kwa katika Mfumo ufuatao kwa hapa Tanzania: Ieleweke toka mwanzoni kabisa kwamba Mapadre tuliona hapa Tanzania wamegawanyika...
  13. JamiiForums Tanzania Alilaumiwa Magufuli kuhusu Maded: Leo Samia afukuza Kazi maded walioruhusu Kadi za CCM kurudishwa

    Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM? Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020. Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
  14. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu El Nino na athari zake kwa Binadamu na Mazingira

    El Nino ni mfumo wa Hali ya Hewa unaosababishwa ongezeko kubwa la Joto la Bahari katika eneo la kati la Kitropiki kwenye Bahari ya Pasifiki. Hali hii huambatana na Vipindi vya Mvua kubwa vinavyoweza kusababisha mafuriko. El Niño inaweza kusababisha mabadiliko ya Hali Mbaya ya Hewa, ikiwemo...
  15. JamiiForums Tanzania Je wajua kuhusu hasara za kunywa Juice nyingi?

    Wataalamu wa afya wanasema Unywaji wa juice nyingi ya matunda au matunda yenyew kwa wakati mmoja Inaweza kusababisha kwenda chooni sana yaani kuendesha (kuharisha) , Hapa wahenga tuliokulia kijinini nadhani tunaelewana ,Hasa ile misimu ya Maembe , Huwa tunayafakamia then tunaenda kucheza sasa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa magazeti wapigwa na kitu kizito vichwani kuhusu DP World

    Ndugu zangu, Sasa ni dhahiri kuwa sakata la 'Port Selling" inachukua mkondo mpya. Kauli ya kibabe na kiburi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ubavu na misuli imeanza kutafsiriwa na "ofisi nyeti" kwa vitendo. Kutoka kuwa mjadala Sasa sakata hili linaanza kuelekezwa kwenye mkono wa chuma. Ni...
  17. JamiiForums Tanzania NADHARIA Nadharia mbalimbali kuhusu Covid-19 na chanjo zake

    Covid-19 ni janga ambalo lilitikisa ulimwengu kuanzia mwaka 2019. Virusi vya korona ni jamii kubwa ya virusi vinavyojulikana kusababisha magonjwa yanayoanzia homa ya kawaida hadi homa kali kama vile Homa Kali ya Upumuaji ya Mashariki ya Kati (MERS) na Homa Kali ya Mfumo wa Upumuaji (SARS)...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Madaktari Watarajali (Interns) kuhusu kufeli mitihani ya MCT

    Malalamiko ya Madaktari Watarajali (Interns) kuhusu kufeli mitihani ya Mct: Kama Mdau wa Afya, nimeisoma barua ya wazi ya madaktari tarajali (interns) ya tarehe 21 July. Nimesikializa press ya madaktari hao ya tarehe 04 August. Lakini pia nimeona taarifa kwa umma ya Wizara ya Afya ya tarehe...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kunyamaza kuhusu matatizo ya Watanzania ni kufurahia shida zao

    Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais? Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao, gereji, salon, wanaishi kwa tabu sana kwa sasa Mungu akupe moyo wa kutovumilia haya mateso ya...
  20. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Samia kuhusu hali ilivyo sasa baada ya waraka wa wahashamu

    Mods tafadhari msiunganishe huu uzi/barua wala kuufuta haya ni maonyo ya wazi kwa rais wetu mpendwa SASHA. Niende moja kwa moja kwenye dhima ntawasalimu baadae wakubwa. Kama ilivyo desturi leo mida ya jionii nilienda kupata zangu gahawa na kashata mitaa ya Barakuda, kilichonishtua ni kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…