kuhudhuria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi AU, ETHIOPIA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU), ikiwa ni saa chache tangu awaongoze waombolezaji kwenye mazishi ya kitaifa ya...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kibonzo: Posho ya kuhudhuria msiba Namibia

    Upigaji kila fursa
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, Viongozi hao kuhudhuria hafla za makanisani ni mpango wa kuwagawa wakristo kwa sababu ule upande wako pamoja kuhusu DP World?

    Wasalaam JF, Nichukue fursa hii kuhoji uwepo wa JKM kwenye hafla ya wasabato je yeye mwanasiasa alienda kufanya nini kwenye hafla ya dini ya wengine? Je, Huyo Rais wenu alienda makanisani kufanya nini? Hii mbinu ya kudhani mtawagawa wakristo wakati nyie mmekula kiapo cha pamoja cha kuunga...
  4. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Ni unafiki kuhudhuria Misibani

    Binadamu kwa kiwango kikubwa hatueleweki nini tunatoka! Katika suala la kuhudhuria kwenye misiba wengi huwa tuna Ile ngoja nikaonekane na mimi nimefika. Maana yake hatuendi kwa Sababu ya kuguswa ila ni kuonesha tumeguswa. Kama mtu hautaki kwenda piga chini uwe huru.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dkt Slaa atoa wito kwa Viongozi wa dini zote na madhehebu yote na wananchi wote kwa ujumla kuhudhuria mkutano mkubwa wa kujadili hatma ya bandari zetu

    WITO WA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA: BANDARI ZETU! URITHI WETU! Kwa viongozi wa dini zote na Madhehebu yote nchini Tanzania! Sisi Watanzania tulioko ndani na nje tumeamua kulinda rasilimali za nchi tulizopewa na Mungu sisi na vizazi vyetu kama ilivyoanishwa kwenye Ibara ya 27 (1) na...
  6. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani wagoma kuhudhuria maombi ya kitaifa

    Viongozi wa Muungano wa Azimio wakiongozwa na Raila Odinga wamegoma kukubali mwaliko wa Rais William Ruto kuhudhuria maombi ya kitaifa yaliyoratibiwa kufanyika leo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari, Azimio imedai kitendo cha serikali ya Kenya kwanza kuandaa hafla ya maombi...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Nchi 20 kuhudhuria uapisho wa Rais wa Nigeria leo

    Baadhi ya Viongozi Wakuu waliowasili jijini Abuja ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, Paul Kagame (Rwanda), Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini), Abdelmadjid Tebboune (Algeria) na Denis Sassou Nguesso (Jamhuri ya Congo). Wengine ni Umaro Sissoco Embalo wa Guinea Bissau, Julius Maada...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Nigeria Bola Tinubu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Nigeria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia hakupata mwaliko wa kuhudhuria kusimikwa kwa mfalme Charles iii?

    Jana ilikua sherehe ya kusimikwa kwa mfalme Charles iii wa Uingereza. Lakini sijaona maza House wetu akihudhuria hizo sharehe. Je, hakupata mwaliko au tatizo nini?
  11. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Matangazo na barua za vitisho zashamiri kwa wataokaidi kuhudhuria Sherehe za Mei Mosi kitaifa Morogoro. Sheria ikoje?

    Wapo watumishi wasioona mafanikio ya kutatuliwa kero zao za kiutumishi siku ya Mei Mosi, wapo watumishi wasio wanachama licha ya kukatwa mishahara yao ili kulipia michango ya vyama vya wafanyakazi, wapo watumishi wanao amini michango yao inaliwa tu na viongozi wa vyama hivi kwa kujilipa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Uingereza wagomea mwaliko wa Rais Mnagangwa kuhudhuria kusimikwa kwa 'King Charles III'

    Wabunge wa Uingereza wametoa tamko la kumshinikiza Waziri Mkuu, Rishi Sunak kufuta mwaliko wa Rais Emmerson Mnangagwa kushiriki sherehe hizo kwa maelezo kuwa uongozi wake umekuwa ukivunja Haki za Binadamu. Kama mwaliko huo hautafutwa, Mnangagwa atakuwa Rais wa kwanza kuingia jijini London baada...
  13. Yakki Kadaf

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda Mkoani Mara. Serikali iingilie kati kwa baadhi ya mambo

    Habarini wakuu, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipo maeneo ya bunda,mkoani Mara. Ijumaa iliyopita tarehe nilipata mwaliko kuhudhuria kikao cha wazazi na walimu katika shule ya Sekondari Nyiendo kujadili mustakabali wa shule kwenye maeneo tofauti na hasa eneo kuu la...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Jamani hii habari ya mwalimu wa madrasa kumvunja mtoto kidole kisa kuhudhuria kongamano imenisikitisha sana

    Wakuu hii imetokea wilaya ya Siha Mwalimu wa madrasa amemwadhibu mwanafunzi kiasi Cha kumvunja kidole
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania John Heche ashangaa wajumbe wachache kuhudhuria mkutano alioalikwa akiwa na John Mnyika

    John Heche na John Mnyika walikuwa na kikao katika Jiji la Mwanza kilichohusisha wilaya ya Nyamagana na Ilemela, John Heche alishangazwa na uchache wa watu katika ukumbi, na akasema angalau Iringa walikuwa na watu 2000. Hiki chama kikiwa mitandaoni kinajifananisha na jini kubwa sana. Lakini...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi augua, ashindwa kuhudhuria mkutano wa CCM Dodoma

    Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ameshindwa kuhudhuria mkutano wa 10 wa CCM baada ya kuugua mafua makali akiwa tayari yuko jijini Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu leo Desemba 6, 2022 wakati akisoma salamu zake katika mkutano mkuu wa 10 unaoendelea...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Je, alichokifanya Mgeni Mayele kuhudhuria FIESTA akiwa Majeruhi kingefanywa na Mzawa Job kingevumiliwa?

    Haya Watu wa Mpira nasubiri majibu.
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanahabari atoa wito wa Wafungwa kuruhusiwa kuhudhuria Mazishi ya Wanafamilia

    Mwanahabari Moses Dola amewasilisha ombi mbele ya Mahakama ya Sheria ya Milimani la kutaka amri ya kuwaruhusu Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao Katika Ombi hilo, Mwandishi huyo ambaye anatumikia kifungo gerezani amesema iwapo kutakuwa na Miongozo na Taratibu zinazoeleweka, basi...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Samia kuhudhuria mazishi ya Shinzo Abe Japan

    Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe. Abe alipigwa risasi iliyosababisha kifo chake.
  20. Mag3

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Malkia Elizabeth 11 wa Uingereza...hawa ndio walipewa mialiko rasmi kuhudhuria!

    Naomba kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi wangu binafsi kuhusu utata uliojitokeza kuhusu mazishi ya Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth 11 siku ya leo! Wapo viongozi walioalikwa rasmi kuhudhuria mazishi hayo na wapo walioalikwa jumla jumla kwa kuhudhuria kama viongozi wa nchi za Jumuiya ya...
Back
Top Bottom