Rais Samia Suluhu Hassan leo ataondoka nchini leo kwenda nchini Malawi kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maaendeleo Kusini wa Afrika (SADC) utakofanyika Agosti 17 na 18. Pamoja na mambo mengine Malawi itathibitishwa kuwa Mwenyekiti wa SADC.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe la kumruhusu Mbowe kuhudhuria shauri lake la Kikatiba alilolifungua dhidi ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)...
Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.
Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi...
Habari za asubui ndugu zangu, natumai wote muwazima wa afya.
Niende kwenye mada husika moja kwa moja, kumekuwa na tabia ambayo sio nzuri kwenye ofisi zetu unakuta imekuja safari labda kuhudhuria training/semina na kwenye hiyo semina utakuta inawataka waende maofisa sasa kutokana na roho za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.