kugombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Ya Zitto Kabwe kugombea ubunge, je kaambiwa ataachiwa jimbo? Kwanini serikali na polisi wanamuonea Mdude Nyagali? Amekosa nini?

    Yaliyotokea wiki hii...Mdude alivamiwa na polisi akiwa amelala na mkewe, akapigwa sana bila kosa na kuchukuliwa kupelekwa kusikojulikana. Kwa maelezo ya mkewe, Waliomchukua ni polisi na kutokomea naye, walimpiga kichwani na kitu kizito na akapoteza damu nyingi. Uwezekano wa kupona ni mdogo sana...
  2. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

    Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Napohamasisha vijana kugombea, napata upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya wabunge, Sitarudi nyuma

    Akiwa kwenye Mkutano wa hadhara, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameapa kuwa hatorudi nyuma katika kuhamasisha vijana kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za Udiwani na Ubunge katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, licha...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Makamu Mwenyekiti wa CCM Steven Wasira kugombea Ubunge Bunda 2025

    Siyo umbea sikiliza mwenywe NCHI HII TUMELOGWA. NA HII NI KWA VILE ANAJUA ATAIBA KURA ATASHINDA! TUME IKO UPANDE WAKE ATAIBA KURA ATASHINDA
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa Raia na amezaliwa Marekani angelazimishwa Kugombea Urais na angepita na kushinda kwa kura nyingi sana kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiiangalia Marekani ya Sasa unaona wazi kabisa kuwa inamhitaji sana mtu na kiongozi aina ya Rais Samia. Ilikuwa inahitaji kuwa na Samia wake kwa sasa wa kuweza kuiongoza Marekani. Marekani hii ambayo imeshindwa Kumaliza vita vya ukrein pamoja na mauaji kule Gaza...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Vijana wenye miaka 21-30 msio na AJIRA Jitikezeni KWA wingi kugombea UBUNGE

    Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE. Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Wanawake watapigana sana kugombea wanaume watoaji , sababu Tanzania kuna upungufu mkubwa wa wanaume wenye uwezo wa kuhudumia wanawake mahitaji yao

    habari wadau. nina imani wengi tumeona seke seke la mabinti wa chuo kupigana kwa sababu ya kugombania penzi la mwijaku ambaye ni mume wa mtu. kwa hali ilivyo mitaani hayo matukio ya wanawake kugombania wanaume yataendelea kuwa mengi sana. hapa Tanzania kuna wanaume wengi sana ila ni...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kugombea urais kupitia chama kimoja wapo Cha kisiasa na hii ndiyo agenda yangu kuu.

    -----Update------- Hoja zangu zimeshambuliwa na wananchi ambao Wanaona haiwezekani kwa kuwa serikali zingine zimeshindwa lakina ukweli ni kuwa sisi tutafanikisha Hili suala kwa kujua umhimu wa kuanzia fursa sawa kwa watoto wote wa Tanzania. ---------- Ndugu wananchi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Vijana CHADEMA wanataka kushiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM taifa (UVCCM), CDE Mohamed Kawaida amekiri kupokea malalamiko kutoka kwa vijana wa CHADEMA wakilalamikia kunyimwa haki ya kuchagua na chama chao kwa kitendo cha kugoma kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi. "Chama chochote cha siasa ambacho hakifanyi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wana interest kubwa na Unfair election , Mkurugenzi TANESCO na Mpango wa Kugombea Jimbo la Bunda ulivyosemwa

    Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute. Pia katika Uwizi...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa neema na baraka za Mungu, nitachukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea Ubunge kupitia CCM J’nne tar. 65.2025 saa 4 Asubuhi

    Nawatakia mema na kila la kheri watia nia wengine wote wa CCM maeneo mbalimbali nchini, wa ubunge pamoja na wale wa udiwani. Tuheshimiane na daima kua wastaarabu miongoni mwa watia nia wengine, ili hatimae mchakato huo muhimu ndani ya chama uishe kwa kwa salama na amani na hatimae tubaki wamoja...
  12. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Natangaza kugombea Ubunge

    == Mimi ni kada mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwenye namba ya uanachama CM 1774858, Rasmi natangaza kugombea na kushinda nafasi ya Ubunge katika Jimbo letu kwa nguvu ya Mungu, Uzoefu ndani ya chama ni miaka 7, Naomba ushauri, mawazo na connections ni jinsi gani naweza kushinda na...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump asema hatanii kugombea muhula wa tatu wa urais

    Ile tabia ya viongozi wa Africa kung'ang'ania madarakani baada awamu zao kumalizika hatimaye imefika huko kwa waliokuwa baba wa demokrasia. Mtawala wa US, Donald Trump ameanza kuchombeza uwezekano wa yeye kugombea muhula wa tatu kinyume na katiba, Trump anasema raia wengi wanamuhitaji kugombea...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji na akapata anaweza kugombea udiwani mwaka huo huo?

    Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wajiriwa wasiruhusiwe kugombea ktk chaguzi za kisiasa

    Habarini, Ni kitu cha kushangaza sana unamkuta daktari,mwalimu,injinia,wafanyabiasharan k walio katika ajira zao serikalini au binafsi na wanaukwasi wa kutosha kwenda kugombea majimboni kwa lengo la kutaka tena ulaji. Sasa kuna watu wamesomea sayansi ya siasa na hawana ajira mijini na vijijini...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mbeya: Yaowaonya wanaotaka Kugombea Uongozi, kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu ili kupata madaraka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira awaunga mkono vijana kugombea ubunge na udiwani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametoa rai kwa vijana wenye sifa kujitokeza kugombea udiwani na ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Wasira ametoa rai hiyo leo Machi 16,2025, alipokuwa akizungumza na Wana CCM Wilaya ya...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025

    Wakuu Tunajua msimamo wa Chama upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hawatashiriki uchaguzi, huyu Mapunda imekuaje ametangaza nia wakati wenzake wanapaza sauti ya No Reform, No Election? == Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Romanus Mapunda, ametangaza azma...
  19. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kuzuia Watia Nia Mapema: Kuminya Demokrasia au Kuthibiti Nidhamu ya Chama?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka masharti yanayowazuia wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi za uongozi kuanza kampeni mapema kwenye majimbo yao. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mustakabali wa demokrasia ndani ya chama na haki ya msingi ya kugombea nafasi za uongozi. Kwa mujibu wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia awataka vijana kujitokeza kugombea kwakua CCM imejipanga kushika dola

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa CCM kwa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa CCM imejipanga kikamilifu kuhakikisha inaendelea kushika dola...
Back
Top Bottom