Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji.
Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na...
Habari wakuu,
Kesho tarehe 2/07/2025 ninatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ruangwa mkoa wa Lindi.Nitachukua na kurudisha kesho hiyohiyo.
Kama mwanachama mwenzenu dua zenu muhimu sana.
Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la
Vita vyao wenyewe kwa wenyewe vinafunua siri nyingi sana za huko nyuma .. Ni faida ya baadae huko...
Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu!
Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!!
Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha Makuri, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti kupitia tiketi ya chama hicho tawala, akiahidi kusukuma mbele ajenda nne kuu zinazolenga maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu ya...
Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
Mdau wa Michezo nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vijana kata ya Upanga Magharibi Khalil Ifn Karim amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani kata ya upanga Magharibi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Catherine amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumamosi, Juni 28, 2025...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jackline Isaro, amechukua fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Ngokolo.
Amechukua fomu hiyo leo Juni 28,2025 katika Ofisi za CCM Kata ya Ngokolo huko mkoani Shinyanga.
Zoezi la uchukuaji fomu katika Chama Cha Mapinduzi CCM limeanza leo na watia nia mbalimbali...
Wakuu,
Wakati mwanaye akiendeleza harakati pale Chipukizi, baba mtu naye amaeamua kujitosa udiwani kata ya Mchikichini, Dar es salaa.
===
Nurdin Bilal Ally Juma alimaarufu kama Shetta amechukua Fomu ya Kutia Nia ya kugombea Udiwani kata ya Mchikichini - Ilala Jijini Dar Es salaam.
Hapa Shetta...
Wakuu mpo!
Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025
https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/
Leo nmeona taarifa kachukua fomu.
Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Kata ya Nyachiluluma wilayani Geita Mkoani Geita Bi. Ester James amejitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge katika Jimbo la Katoro.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Salaam, Shalom!
Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.
Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.
Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na...
Mwenyekiti wa klabu ya Simba ambaye katika uongozi wake Simba imebamizwa mabao mengi kuliko wakati wowote ule Mhe Murtaza Mangungu siku ya Jumamosi Asubuhi anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Mangungu ambaye amewahi kuwa mbunge wa Jimbo Hilo kabla ya...
Kampala, Uganda
Ombi limewasilishwa katika Mahakama Kuu ya Uganda kutaka kumwondolea sifa mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Fedha chini ya utawala wa Idi Amin, Mheshimiwa Jenerali Moses Ali, asigombee nafasi ya Ubunge (Adjumani West County), likitaja madai ya kutokuwa na uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.