kugombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti Chadema Kwenye uchaguzi wa Mapema wa 2028 Katiba inamruhusu!

    Ni kama alivyofanya Trump Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti wa Chadema kama ataona Chama kinayumba kwa huu uongozi wa Sasa. Katiba inamruhusu Mkutano mkuu wa Chadema umeazimia Uchaguzi mkuu ujao ufanyike mwaka 2028 Ili kukwepesha Uchaguzi kufanyika miaka ya Uchaguzi wa Serikali za...
  2. Lady Whistledown

    Mtu aliacha Shule Darasa la 2 anataka kuwa Mbunge? Tutafakari vigezo vya kugombea Ubunge

    Juzi aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, alinukuliwa akisema: “Mtu aliacha shule darasa la pili anataka kuwa mbunge? Mtu asiyejua hata neno moja la Kiingereza awe mwakilishi wa wananchi?” Hii kauli imeibua mjadala mpana kuhusu sifa za msingi zinazopaswa kumfanya mtu astahili kuwa...
  3. Baba jayaron

    Tetesi: Askofu Gwajima kufutwa uanachama, kugombea Urais...

    Good morning wadanganyika, Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo. Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama...
  4. W

    PreGE2025 Jesca Kishoa atangaza kugombea ubunge Iramba Mashariki

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa, ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, baada ya kupokea maombi ya wananchi kumtaka awanie nafasi hiyo. Akizungumza Mei 24, 2025, katika mkutano wa hadhara...
  5. SSH2025_2030

    Tetesi: Wananchi wamchangia pesa Basila Mwanukuzi kugombea Jimbo la Kawe

    Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Baba Levo ajitosa Ubunge Kigoma, anajiweza kweli kuchuana na Zitto Kabwe?

    Aloooo, kweli uchawa unaenda kuharibu nchi, na kimasihara anaweza 'kumshinda' Zitto🤣🤣 kama jinsi wagombea 'walivyoshinda' viti 2020! Wana Kigoma tutawashangaa sana kura zikienda kwa chawa, itabudi tuingie kwenye rekodi ya Guiness ya kuwa wapumbavu wa Dunia! === Msanii na Mtangazaji maarufu...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Mavunde kuwania ubunge jimbo jipya la Mtumba, atoa sababu tatu za kuiacha Dodoma mjini

    Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde ametangaza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 atagombea tena ubunge katika Jimbo jipya la Mtumba, akianisha sababu tatu za kuiacha Dodoma Mjini. Uamuzi huo ameutangaza huku akilia kuwa hakuna namna na hawezi kujigawa katika maeneo mawili akabaki...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Ado Shaibu: Kila mwenye sifa ana haki kugombea nafasi yoyote, demokrasia ni mapambano, wagombea nane wa ubunge wamechukua fomu Mkoani Songwe

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema kuwa Chama hicho kinaamini katika kuonesha demokrasia kwa vitendo hivyo hakuna mtu yeyote ambaye ana hatimiliki ya kugombea ndani ya Chama. Ndugu Ado amesema hayo kwenye tukio la Songwe Day lililowakutanisha watia nia wanaogombea nafasi za...
  9. M

    PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

    Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii. Katika kauli zake, Sangu...
  10. Bushmamy

    Arusha; wananchi washangazwa na wageni kuja kugombania kugombea ubunge kwenye ardhi Yao. Muda wowote kuliamsha

    Wakazi wa Arusha washtushwa na Siasa za Arusha kuwa zimekuwa za ajabu na kushangaza sana kwa kuona baadhi ya wakuja ambao sio wazawa wa Arusha huku wakiwa hawajui matayua Arusha , kuja kugombea uwakilishi wa ubunge katika ardhi Yao wakati sio wazawa wa Arusha huku vijana wazawa wenyeji tena...
  11. Yoda

    Mwanaume gani maarufu mwenye hamasa wa kugombea urais 2025?

    Mpaka sasa sioni dalili za kuwa na mgombea mwanaume maarufu na atakayeleta ushindani na msisimko kwenye uchaguzi wa mwaka huu October 2025. Kama ikitokea akakosekana kabisa mwanaume wa kuleta ushindani kwenye uchaguzi mwaka huu basi chondechonde wanaume hata tuonewe huruma tuachiwe hata uspika...
  12. KING MIDAS

    Diwani wa kata ya Msasani Luca Neghesti kugombea ubunge Jimbo la Kigamboni.

    Luca Neghesti diwani wa kata ya Msasani amejipanga kulibeba mazima Jimbo la uchaguzi la Kigamboni ambalo kwa sasa liko wazi baada aliyekuwa mbunge wa Jimbo Hilo ndugu Faustine Ndungulile kufariki dunia.
  13. lost files

    PreGE2025 Zitto kugombea Ubunge: Rasmi ACT na CCM waungana kupinga mabadiliko No Reform No Election

    Huyu Jamaa Ni mtu hatari Sana kwenye siasa za upinzani,ukifatilia historia yake ya usaliti,kuvujisha texts,misimamo yake, utagundua kua anakula meza moja na watesi.. katika maandamano yake ya Jana ya kutangaza Nia ya kugombea ubunge Hakukua na polisi wala mgambo Kama wanavyofanyiwa wapinzani...
  14. F

    Ya Zitto Kabwe kugombea ubunge, je kaambiwa ataachiwa jimbo? Kwanini serikali na polisi wanamuonea Mdude Nyagali? Amekosa nini?

    Yaliyotokea wiki hii...Mdude alivamiwa na polisi akiwa amelala na mkewe, akapigwa sana bila kosa na kuchukuliwa kupelekwa kusikojulikana. Kwa maelezo ya mkewe, Waliomchukua ni polisi na kutokomea naye, walimpiga kichwani na kitu kizito na akapoteza damu nyingi. Uwezekano wa kupona ni mdogo sana...
  15. F

    PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

    Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
  16. Just Pray

    PreGE2025 Mohamed Kawaida: Napohamasisha vijana kugombea, napata upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya wabunge, Sitarudi nyuma

    Akiwa kwenye Mkutano wa hadhara, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameapa kuwa hatorudi nyuma katika kuhamasisha vijana kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za Udiwani na Ubunge katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, licha...
  17. R

    PreGE2025 POTOSHI Makamu Mwenyekiti wa CCM Steven Wasira kugombea Ubunge Bunda 2025

    Siyo umbea sikiliza mwenywe NCHI HII TUMELOGWA. NA HII NI KWA VILE ANAJUA ATAIBA KURA ATASHINDA! TUME IKO UPANDE WAKE ATAIBA KURA ATASHINDA
  18. L

    Rais Samia angekuwa Raia na amezaliwa Marekani angelazimishwa Kugombea Urais na angepita na kushinda kwa kura nyingi sana kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiiangalia Marekani ya Sasa unaona wazi kabisa kuwa inamhitaji sana mtu na kiongozi aina ya Rais Samia. Ilikuwa inahitaji kuwa na Samia wake kwa sasa wa kuweza kuiongoza Marekani. Marekani hii ambayo imeshindwa Kumaliza vita vya ukrein pamoja na mauaji kule Gaza...
  19. matunduizi

    Vijana wenye miaka 21-30 msio na AJIRA Jitikezeni KWA wingi kugombea UBUNGE

    Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE. Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako...
  20. F

    Wanawake watapigana sana kugombea wanaume watoaji , sababu Tanzania kuna upungufu mkubwa wa wanaume wenye uwezo wa kuhudumia wanawake mahitaji yao

    habari wadau. nina imani wengi tumeona seke seke la mabinti wa chuo kupigana kwa sababu ya kugombania penzi la mwijaku ambaye ni mume wa mtu. kwa hali ilivyo mitaani hayo matukio ya wanawake kugombania wanaume yataendelea kuwa mengi sana. hapa Tanzania kuna wanaume wengi sana ila ni...
Back
Top Bottom