kugoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafanyakazi Shule Maarufu Tabata- Dar es Salaam Kugoma Muda Wowote

    Hizi ni tetesi zilifika hivi punde kwamba wafanyakazi katika shule maarufu huko Tabata Dar es Salaam kugoma muda wowote kuanzia sasa hali inayotishia kuhatarisha zoezi linaloendlea la mitihani ya kitaifa wakitaka kuushinikiza Ungozi wa shule na menejiment kusikiliza kero zao za muda mrefu ambazo...
  2. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga agoma kustaafu, asema kugombea tena 2027

    KIONGOZI wa Chama cha Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amefichua kuwa bado hajajiandaa kujiondoa katika ulingo wa kisiasa na kwamba hatostaafu. Raila mwenye umri wa miaka 78 alidokeza kujaribu bahati yake katika kiti cha urais kwa mara ya sita katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. "Siko tayari...
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu CWT agoma kurudi Temeke kufundisha

    Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imeanza mchakato wa kufungua shauri la nidhamu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga baada ya kutorejea katika kituo chake cha kazi tangu alipotakiwa kufanya hivyo Oktoba Mosi mwaka huu. Maganga ambaye cheo chake ni Mwalimu...
  4. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Baadhi ya maduka yaanza kugoma Wateja kulipa kwa ‘Lipa na Mpesa’

    Baadhi ya maduka yameanza kukataa huduma ya malipo kwa njia ya simu ‘Lipa na Mpesa’ wakikwepa ada ya juu ya kuwezesha ununuzi. Matangazo yamebandikwa madukani yakizuia Wateja kulipia huduma kwa njia ya simu yakitaja sababu ni ongezeko la gharama ya muamala kati ya simu na benki. Wateja sasa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bolt Kenya yazuiwa kuhuisha Leseni baada ya Madereva kugoma

    Mamlaka ya Taifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA) imechukua hatua hiyo dhdi ya kamouni ya 'Bolt' kutokana na madai ya Ukiukwaji wa Kanuni za Leseni, ikiwa ni pamoja na Malipo Yasiyostahili kwa Madereva pamoja na Ada za Uitishaji wa Huduma. Pia, NTSA imesema Bolt ameshutumiwa kukiuka Kanuni za...
  6. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kila mfanyakazi anayo haki ya kugoma. Hata hivyo, sio kila mgomo unatambuliwa na Sheria

    Mgomo ni usimamishaji wa kazi, unaofanywa na Wafanyakazi kwa lengo la kumlazimisha au kumshurutisha Mwajiri wao au Mwajiri mwingine au Jumuiya ya Waajiri ambayo Mwajiri wao ni mwanachama, kukubali madai ya Wafanyakazi, au Mwajiri kubadili au kuacha madai yake dhidi ya Wafanyakazi, madai ambayo...
  7. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Je, upi utaratibu mzuri wa kugoma nchi nzima?

    Shida, dhiki, taabu, majuto, huzuni, hasira, kudhulumiwa, kuuzwa, kutukanwa, kupuuzwa, kutothaminiwa, kudharauliwa, kutosikilizwa, kusalitiwai, kutishwa, kudanganywa, kudhihakiwa, kukejeliwa, kukebehiwa, n.k.
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo umewafumbua macho Watanzania. Mnatakiwa kugoma kwa uonevu wa CCM unaoendelea sasa

    Wafanyakazi mnateseka sana isee. Mshahara ukitoka tu tar 23 baada ya wiki mnahaha kukopa madukani na kwenye baa. Mnatakiwa kupinga kodi na tozo za hovyo kwa kugoma ili serikali iwasikilizie kama wafanyabiashara wa kariakoo. Wafanyabiashara nyie ndio mnaumia kila siku. Tozo na kodi kibao. Mbaya...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baba wa Mapacha waliochunwa ngozi ya uso, kukatwa Ulimi na kutolewa macho agoma kuzika miili

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian amesema baada ya mazungumzo ya muda mrefu, Isaka Rafael ambaye ni Baba wa Watoto Mapacha waliofariki katika Kituo cha Afya Kaliua na kuzua taharuki baada ya pacha mmoja kuondolewa na jicho na ngozi ya paji la uso macho, amekubali kushirikiana na...
  10. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni agoma kusaini Muswada wa sheria unaopinga Ushoga uliopitishwa na Bunge akitaka ufanyiwe marekebisho

    President Yoweri Museveni of Uganda has refused to sign into law a controversial new bill against homosexuality that prescribes the death penalty in some cases, requesting that it should be amended. Museveni’s decision was announced late on Thursday after a meeting of parliamentarians in his...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Riba ya zaidi ya bilioni 400 inatokana na Hayati Magufuli kugoma kuwalipa makandarasi kwa takriban miaka mitano

    Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao. Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na...
  12. Jemima Mrembo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjue ‘Yesu wa Tongaren’ anayeogopa kusulubishwa na kukimbilia kujisalimisha Polisi

    Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu. Kenya. Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’amelazimika kwenda kutoa taarifa polisi ili kuokoa uhai wake baada ya...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, agoma kukabidhi Ofisi kwa Sheikh Walid

    Pamoja na kwamba Uteuzi wake ulitenguliwa, ameendelea kufanya kazi ndani ya Ofisi. Katibu wa Baraza la Mashehe wa Dar es Salaam Shekh Ally Kizegero aitisha kikao kinyume cha Utaratibu Nia ni kuwagawa Mashehe wa Dar. Kitendo kinachofanya na Elhad inadaiwa ni Uhaini ==== Aliyekua Sheikh wa...
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi watishia kugoma kudai lami, wachoshwa na ubovu wa barabara

    Wakazi wa kata ya Sinoni, na Ungalimited wanaotumia barabara kuu ya Engosengiu inayotokea mjini kuelekea katika Kata hizo mbili wamedai kuchoshwa na ubovu wa barabara hiyo kiasi cha kuwaletea usumbufu mkubwa hata katika vyombo vyao vya moto. Baadhi ya madereva wa Bajaji na Hiace wanaotumia...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shule zaripotiwa kugomea uchunguzi wa matukio ya ulawiti

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Wilaya ya Moshi Vijini, Ramadhan Mahanyu amesema amesema baadhi ya shule zimekuwa zikigomea kutoa ushirikiano kwa na timu za ukaguzi zilizotumwa na mamlaka za juu. Katibu Mahanyu ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kikao cha walimu wakuu wa shule za...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wazungu wahamasishwe kuzaa sana, kugoma kuzaliana kwa wingi kuna hatari mbeleni dunia itajaa wajinga watupu

    Takwimu zinaonyesha uzazi kupungua sana miongoni mwa wazungu walioko Ulaya, America, Canada na Australia. Wengi hawataki kuzaa au wakizaa ni katoto kamoja au viwili wengine hawataki sababu wamejitumbukiza ndoa za jinsia moja. Ieleweke kuwa wazungu ndio wenye DNA yenye. watu wenye akili mno...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

    Hawa ni walioponea kufa na kurudi Urusi, wamegoma hawarudi tena kwenye mapambano....
  18. I

    JamiiForums Tanzania Leo nimegundua sababu ya moyo wangu kugoma kabisa kuwa naye

    Nisiwachoshe wanajamvi. Miaka michache huko nyuma nilikutana na binti mrembo nikiwa kwenye taasisi fulani kwa ajili ya huduma fulani niliyoifuata hapo. Mtoto mweupe flani hivi amazing na kwa kweli ngozi nyeupe ni ugonjwa wangu, ila awe mweupe natural. sipendi kabisa mtu anayejiwekea mikorogo na...
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Dereva wa Mwendokasi agoma kuendesha bus akidai katukanwa

  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waitara nusura atolewe Bungeni kwa kugoma kukaa

    Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara nusura atolewe nje ya ukumbi baada ya kuonyesha kukaidi agizo la Mwenyekiti wa kikao alipomtaka akae chini. Hali hiyo imetokea ndani ya bunge leo Jumatano Novemba 9, 2022 wakati Bunge lilipoketi kama Kamati ya Mipango kwa ajili ya kujadili Mpango wa Taifa...
Back
Top Bottom