Habari wakuu wa sheria, nimekuja mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba msaada wa kisheria.
Nitajitahidi kuifupisha kadri iwezekanapo lakini mtaelewa ninachoomba kutoka kwenu.
Mimi nilikuwa ni mtumishi kwenye taasisi moja binafsi, nimefanya kazi kwa miaka zaidi ya ishirini kwenye hio taasisi. Hivi...
Wakuu zengwe hili limetokea Leo hapa mtaani
Binti kamaliza chuo anataka kuoelewa na mwanaachuo mwenzie Ambae ndio kwanza ananijitafuta.
Baba amekataa kuonesha😂akidai ni dharau binti ameahidi kutoroka sijui itakuwaje
Wazazi mahari ni sawa na kumuuza binti badilikeni
Sababu zipo nyingi ila huu udongo una percentage zake kuwafanya wadau wagome kurudi kwao wengine kugoma kabisa kwenda kwenye vituo vya kazi walivyopangiwa Kuna dada zetu ni heri ndoa ivunjike kuliko kumpeleka kuishi kwenye udongo wa design hiyo.
Kiukweli sijafirahishwa na kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA cha kushindwa kujibu maswali ya watangazaji na kujibu kwa jazba kila swali alilouluzwa na kwa maoni yangu maswali aliyouluzwa yalikuwa rahisi sana.
Kwa mtu kama katibu mkuu wa chama sikutarajia azingue kizembe kama vile!
Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya kulipwa fidia.
Kuna sababu mbalimbali walizozitoa kwanini wanaendelea kutumia maeneo hayo kwa matumizi...
Hello guys,
Leo nimepita pita kwenye YouTube nikajaribu ku-download video kutumia third-party apps bila mafanikio nimekua nikitumia app kama vmate, freemaker nk ila kwa Leo zimenigomea. Kama Kuna mtu anaweza nipa ujanja wakupakua videos huku YT anisaidie.
Natanguliza shukran
Wakuu,
Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.
Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.
Wananchi baada ya kuona...
Wakuu,
Mimi sikuwa mzuri wa somo la hisabati wakati nasoma, pengine mnaweza mkaja na calculator tuje tupige hesabu.
Wakati naperuzi huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Ifakara, Zahara Michuzi
Katika hali isiyoezeleka Mkurugenzi huyu amekataa...
Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia.
Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni...
Enzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii!
Maweee!
Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta.
Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi.
Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya...
Kama mtembezi wa mtaani nimeshuhudia jambo ambalo limenishangaza na kunistaajabisha kwa wakati mmoja na hii ni mara ya mbili kuliona hapa vingunguti je ni jambo gani? Kaa chonjo.
Ni hivi ndugu wa mke au mume kuforce kufunga ndoa na maiti
Ilikuwa juzi wakati nahangaika na shughuli zangu za...
Mwenyekiti wa Wafanyabishara Kariakoo anasema chanzo cha mgomo wao ni TRA kurudisha enforcement.
Malalamiko yao makubwa ni kwamba TRA inawaonea kwa sababu inawadai VAT na waziri mkuu aliagiza TRA iwasikilize.
Nachokiona ni kwamba wafanyabishara hawataki kabisa kulipa kodi nchi hii. Hii nchi...
Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria dhidi ya RS Berkane ya Morocco umeshindikana kufanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye vyumba vya uwanjani wakidai sio zao.
Awali, RS Berkane walidai jezi zao...
Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa barabara.
Barabara ya eneo hili lililopo Hai Wilayani Kilimanjaro limetawaliwa na mashimo mengi na...
Tukiwa tunaelekea kwenda kumaliza mwaka wa fedha wa 2023/24 .Walimu wa Tanzania shule za msingi na Sekondari hawajalipwa fedha za Likizo ya mwezi DISEMBA 2023 imekua ni kuwaida serikali kuwalipa walimu fedha za likizo kwa namna inavyojisikia sio kwa mujibu wa sheria ,kanuni na taratibu..
Imekua...
Unakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari yapatayo 10, ilitokea tarehe 11 mwezi uliopita na kusababisha uharibifu wa magari kadhaa yakiwamo ya...
Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .
Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .
Nabii wa Mungu Godblesa Lema...
Hakuna binadamu anaependa Vita wala kubebeshwa silaha, huyu kijana toka Uingereza ameamua kuukana Uraia wake na kumuomba Rais Samia ampatie Uraia wa Tanzania.
ANGALIA VIDEO HAPA
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.