kufuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma

    Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii. Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo: 1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3. 2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi. Kutoka kwa Mama...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ameacha legacy ya kuthubutu kufanya kitu bila ya kuomba ruhusa kwanza kwa mfadhili yeyote

    Viongozi wa kisiasa wana kazi ngumu sana. Kutakiwa kumridhisha kila wanayemuongoza kwa kadri ya uwezo binafsi, ni mtihani mgumu. Ni vigumu kwa kila anayeongozwa na kiongozi fulani kuwa na mtazamo ule ule kama wa mtu mwingine. Naamini kabisa kwamba hayati John Magufuli hakuwa na sifa ya kiongozi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ku-survive bila ruzuku: CCM oneni aibu na iwe mwanzo wa kufuta ruzuku kwa vyama vyote vya siasa

    Kama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona aibu na kuacha kuendelea kupokea ruzuku kutoka serikalini. Wakati umefika vyama vya siasa vianze...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua?

    Wanabodi, Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

    Bila Shaka mu wazima, naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu tumeachana huu mwezi wa tano, lakini nashindwa kabisa kufuta namba yake. Lengo la kutofuta namba yake ni ili niwe nafuatilia status zake, but yeye hajui kama naziona, vilevile yeye pia hufuatilia zangu bila kificho. Naomba...
  6. JamiiForums Tanzania Suala la Ufahamu: Naomba Kujua jinsi ya Kufuta Documents kwenye Recycle Bin simu za Samasung

    Salaam! Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta...
  7. JamiiForums Tanzania NBAA inakomoa watahiniwa badala ya kuwawezesha na kuwasaidia

    Jana napiga story na mdogo wangu ambae anafanya mitihani ya NBAA ananiambia juzi hapa walifanya mitihani migumu hadi wakaongezewa muda kwenye chumba cha mtihani zaidi ya dakika 30. Nikajiuliza kwani NBAA kabla hawatoa mitihani yao hua hawaifanyii moderation kuona kama inaweza kufanyika kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alazimika kufuta post yake ya Twitter aliyotoa taarifa ya kuwasili Dar. Ni baada ya malalamiko kuhusu mabando kuzidi kwa wachangiaji

    Makabwela ambao wametoa malalamiko lukuki ya malipo ya bando jipya wamemlazimisha Rais Samia Suluhu kufutilia mbali post yake ya Twitter aliyoitoa ambapo alitoa taarifa rasmi ya kuwasili Dar leo. Hii inakuwa post yake ya kwanza kuifutilia mbali tangia awe Rais rasmi wa Jamhuri ya muungano...
  9. JamiiForums Tanzania Je, agizo la Rais Samia Suluhu kufuta kesi zisizo za msingi limepuuzwa?

    Habari JF, Ni wiki sasa tangu muheshimiwa rais Samia Suluhu Hasan alipoagiza kushughulikiwa na kufutwa kwa kesi zote zisizokuwa za msingi na faida kwa serikali Tangu agizo hilo litolewe haijasikika kesi yoyote ile iliyoshughulikiwa na kufutwa kama rais alivyoagiza Itakumbukwa, awamu iliyopita...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada! Kufuta namba contact

    Habari! 🖐️ Natumai mu wazima nimepata matatizo ya kushindwa kufuta majina hasa yanayo nambia read-only contact from whatsapp naomba msaada kwa yeyote anayejua kwani hunikera sana sio siri nahitaji kuyaondoa nipo nasubiri majibu yenu yakiugwana 🤝🤝🤝
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile: Mafundi simu wenye tabia ya kufuta namba ya IMEI kuchukuliwa hatua

    Serikali imesema kuwa itawachukulia hatua kali mafundi simu wote wenye tabia za kufuta namba ya kipekee inayotambulisha simu husika (IMEI) wanapopelekewa simu na wateja wao kwa ajili ya matengenezo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine...
  12. JamiiForums Tanzania Kufuta namba ya simu ya marehemu inauma sana

    Awe mume, mke, mtoto, mzazi babu au bibi hata rafiki au mpenzi. Marehemu akisha kufa inauma sana kufuta namba zake za simu. Wakati ule wa simu za mezani za Shirika la Posta na Simu, jirani zetu walifiwa na mama yao ambae ndiye alikua na akaunti ya simu. Walikaa miaka mingi wakilipa ankara...
  13. JamiiForums Tanzania Je, kuna software ya kufuta mafaili yaliyojirudiarudia ktk computer kwa pamoja?

    Computer imejaa lakini nimegundua vitu vipo mara mbili mbili au zaidi. Yaani faili hilohilo lipo locations tofauti tofauti. Je, naweza kuserch na kufuta at once libaki file moja tu.
  14. JamiiForums Tanzania Sikubaliani na suala la kufuta sherehe za Nanenane mwaka huu 2021

    Wakuu amani iwe nanyi. Hivi Jana tarehe 10 Februari waziri wa kilimo prof Mkenda alitoa msimamo wa Serikali juu ya sharehe za maonesho ya kilimo ya wakulima Nanenane, ambapo alisema kuwa serikali imeamua kufutilia mbali sherehe hizo. Moja ya sababu kuu aliyotoa kiongozi huyo ni pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yaweke huduma ya kufuta meseji zilizokosewa

    Napendekeza makapuni ya simu yaweke huduma ya kufuta ujumbe wa meseji (text) zilizokosewa; mfano ndani ya sekunde 15 au pengine kabla haujasomwa. Nimependekeza hivi baada ya kuona watu wanavyo pata wakati mgumu pale wametuma meseji kwa makosa; mf: Mtu huweza kukosea na kumtumia bosi wake...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa simu kufuta majina

    Simu inafuta majina (saved names). Je, hii inasababishwa na nini?
  17. JamiiForums Tanzania Namshukuru sana prof. Kapuya kufuta mitihani ya Taifa mwaka 1998.

    Nakumbuka mwaka 1998 kulikuwa na sakata la kuvuja kwa mitihani ya NECTA. Mitihani ilianza Siku ya Jumatatu kwa kuanza na hesabu sikuwa nazijua kabisa na sikuzipenda.nilijiamini kupita kiasi kwakuwa nilikuwa na majibu toka nje na kila mwanafunzi alipata mitihani ile na ilikuwa yenyewe kweli...
  18. JamiiForums Tanzania Wayahudi wanavyojipenyeza wizara za elimu duniani kufuta kutajwa vibaya

    Saudi Arabia imechapisha upya vitabu vyote vya shule za nchi hiyo na kuondoa vipengele vilivyokuwa vikiwataja kwa ubaya Wayahudi pamoja na Wakristo. Baadhi ya vipengele hivyo ni kama vile utabiri wa kuzuka vita hapo baadae ambapo waislamu watawapiga vibaya mayahudi na kuwashinda. Kipengele...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kufuta ushirika wa G32 ni njia sahihi ya kufufua KNCU Kilimanjaro?

    SERIKALI KUFUTA USHIRIKA WA G32 NI NJIA SAHIHI YA KUFUFUA USHIRIKA WA KNCU MKOANI KILIMANJARO? Wakuu hongereni na majukumu ya kila siku naomba niwaletee yanayojiri Mkoani kwangu kuhusu masuala ya Ushirika ambao ilikuwa na mchango mkubwa sana wa kiuchumi wa Mkoa wa Kilimanjaro. Hivi karibuni...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haijatokea duniani, Watanzania wafaulu kufuta upinzani

    Nacheck hapa matokeo ya uchaguzi wa Tanzania, yaani upinzani umefutwa rasmi, mpaka sasa hawana mbunge hata mmoja aliyefaulu kwenye pembe zote za nchi aliyegombea kwa tiketi ya chama cha upinzani, ni mwendo wa CCM kote kote, kijani kwa kwenda mbele. Kwa kifupi bunge litafurika wabunge wa mlengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…