kufunga

  1. JamiiForums Tanzania Zingekuwa ni Enzi zangu au za akina Kizota, Magoso na Pawasa huyu Mayele angeogopa kabisa Kufunga kwa Rafu zetu Kali

    Natamani kweli kweli GENTAMYCINE nirudie enzi zangu ili nimalizane na Fiston Mayele kwa Kuvalia POP Mwaka mzima na Mimi kupewa Kadi Nyekundu na kufungiwa kucheza Soka kwa Miezi Sita au hata Mwaka. Kila Siku nikikutana na hii Mibeki yenu ya NBC Premier League huwa naiambia kuwa Mayele ana shida...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaojiandaa kufunga starlink Internet ya Elon Musk wakidhani ni bei chee wanaota ndoto za alinacha,

    Nashangaa sana kuona watu wanayopotoshana kwamba ujio wa starlink Internet hapa Tanzania ndio utakuwa suluhisho la unlimited internet ghali kama supakasi ya voda. Kama hauwezi kumudu internet unlimited ya supakasi kwa 115,000 basi ondoa shaka kabisa kwamba star link itabaki kuwa ndoto daima...
  3. JamiiForums Tanzania Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

    Hodi humu jamvini wana MMU, Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Najua mnahangaika na utafutaji wa maji na mkate kwa familia wakati huu. Kwa sababu ya suala la kuolewa kuwa gumu siku hizi binti akiolewa anajiona kama amepata degree (Hons) ya first class. Siyo siri...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji kibali cha kufunga fire extinguisher na vitu kama hivyo

    Hello wadau! Kwenye uelewa wa hivi vitu naomba anipatie Muongozo. Asante
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi 8 wafariki kwa Ebola Uganda, Serikali kuzifunga shule zote

    Baraza la Mawaziri limeridhia Shule kufungwa Novemba 25, 2022 ikiwa ni baada ya wanafunzi 23 kupata maambukizi ya Ugonjwa huo. Mke wa Rais Museveni ambaye pia ni Waziri wa Elimu amesema hatua hiyo itapunguza mikusanyiko ya watoto kukutana na wenzao, walimu na wafanyakazi wengine wanaoweza...
  6. JamiiForums Tanzania Mashine ya kufunga nyasi kavu(Manual Hay Beller)

    Habar wanajukwaa hili,mimi ni mfugaji mdogo wa ng'ombe maziwa. Kutokana na changamoto ya malisho,ninauhitaji wa kuanza kutengeneza na kuhifidh malisho, lakini nimejaribu kuulizia hiki kifaa kwa hapa Bongo nikapata kampuni moja(hide name) ipo Arusha wanauza bei mbaya mno yani zaidi ya 2 millions...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya maisha yangu, chamgamoto niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa

    Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng. Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke...
  8. JamiiForums Tanzania Nani anasajili na kufunga hizi Line za Matapeli?

    Nikaamua nizipigie niwaambie nimeshatuma nisikie watasemaje. Kupiga namba zote hazipo. Namba hazipo zinatumaje message? Zinapata wapi Salio? CC: Airtel, TCRA na wengineo.
  9. JamiiForums Tanzania Shoppers Trading Ltd yadaiwa wameamua kufunga biashara Tanzania

    Wanadai sababu ni kukosa fedha za kujiendesha
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kagame anajisifia kufunga makanisa na misikiti: Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu!

    Kagame anajisifia ubabe wa kufunga makanisa elfu sita na misikiti 100!! Anaongea hayo kwa madaha wakati pumzi inayomwezesha kuishi kila dakika inatoka kwa Mungu!! Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu hapa duniani kwanza kisha jehanamu kama hatatubu. Akitubu Mungu ni wa rehema atamsamehe!
  11. JamiiForums Tanzania James Samwel: Mpira ulishatoka kabla ya Simba kufunga goli lao

    Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msafara wa uapisho wa Ruto, hakuna kufunga barabara!

    Ninaangalia matangazo LIVE kupitia luninga za Kenya. Jambo moja ambalo limenishangaza Sana ni kuona msafara wa Rais mteule, William Ruto, ukienda kwenye kiwanja cha Kasarani, ambako ndiyo kunakotarajiwa kwa shughuli hiyo ya uapisho, akipita barabarani bila kuzifunga barabara hizo, kwa maana...
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa kufunga naye ndoa

    Habari. Mimi ni kijana wa Kitanzania, umri wangu miaka 33, dini mkristo KKKT, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri. Nahitaji mpenzi ambaye lengo letu kuu ni ndoa mwakani tukielewana. Vigezo vya mke wangu ni umri miaka 25-38, awe tayari kwa maisha ya ndoa, kama ana mtoto asizidi mmoja; ndio uwezo...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Mjiandae kufunga mkanda! Rutto sawa na Magufuli

    Nawaambia Wananchi wa Kenya, mjindae, mfunge mikanda! Kwa dalili na maneno ninayosakia Mh William Rutto ni wazi kabisa anakuja kufanya kazi, kwanza hataki kabisa siasa za kinafiki, Rutto anakuja na itikadi kama za Magufuli! Kama ni Kinyesi cha Ng'ombe atakuambia hiko ni kinyesi usile na katu...
  15. JamiiForums Tanzania Wastara: Natarajia kufunga ndoa mwezi wa 11

    Mwanadada Wastara amethibitisha kuwa yuko kwenye hatua za mwisho mwisho za maandalizi ya harusi yake hapo mwezi wa 11. Kila la Heri.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Fiston Mayele na Moses Phiri nani mtu hatari zaidi katika suala la kufunga?

    Habari, kama thread inavyosema, hivi kati ya Mayele mfalme wa Jangwani na Phiri mfalme wa Msimbazi, nani ni mtu hatari zaidi bila ushabiki.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gas asili kwenye gari

    Wasalaam Wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gesi kwenye gari cc 2000. Je, kuna changamoto yoyote ya ufanisi wa gari nitakayokutana nayo? Je, ni kweli kwamba mfumo huu unaokoa gharama? Ni wapi naweza pata huduma ya kufunga mfumo huu kwa gharama nafuu? Pia kwa yoyote mwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kwa sasa kufunga mipaka janga la njaa linakuja kwa kasi

    Watu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kuwa na vioo vinavyofunguka na kufunga katika madirisha ya mabasi?

    Nimejiuliza hivi kwa sababu ni kawaida kusafiri ndani ya basi lenye abiria zaid ya sitini bila hata mmoja kufungua kioo cha dirisha. Na pia ukifungua wa siti ya nyuma analalamika upepo unampuliza. Watu mnasafiri muda mrefu bila hewa mpya kuingia ndani ya basi madhara yake ni kuumwa kichwa na...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Serikali kufunga mipaka kwa upungufu wa chakula ni kuwaua wakulima

    Ni kweli ina nia ya kusaidia janga la njaa. Lakini kwa nini kila wakati wa kuuza bei ya chini ni wakulima tuu. Kwanini bidhaa nyigne hatua kama hizi hazichukuliwi. Sisi tunaotoa muda wetu kulima na kudharaulika tunalazimishwa kulisha watu wavivu na wengine wanaotukashifu tunapoingia shambani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…