kufunga

  1. JamiiForums Tanzania Usukani ku vibrate wakati wa kufunga brke

    Habarini wandugu, Gari yangu ina tatizo niki apply brake basi usukani una vibrate sana na vimilio vya swiswiswiswi, vibration hii naihisi pia hadi kwenye mguu pale ninapokanyaga brake pad. Tatizo huenda likawa nini?
  2. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwa watu kufunga biashara zao siku ya Jumanne?

    Salaam Wakuu, Ifikapo Jumanne kwa Dar es salaam imekuwa ni siku ya shida kupata huduma mbalimbali katika maeneo ya biashara. Maeneo kama Saloon, Baa na maduka ya bidhaa mbalimbali yanafungwa katika siku hii. Je, kuna siri au sababu yoyote kwa jambo hili? Anayefahamu naomba kuelimishwa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wewe kijana wa sasa nakushauli uoe ila sio kufunga ndoa

    Hii mada ya kataa ndoa inabidi ijibiwe kwa hoja na sio mihemko, vijana wetu wanaikataa ndoa wakiwa na mantiki kubwa sana, inaitaji umakini mkubwa sana kuwaelewa na kuweza kujibu hoja zao za msingi. Kwa mimi binafsi nadhani kuna utofauti kubwa kati ya kuoa na kufunga ndoa. 1. Naanza na kuoa...
  4. JamiiForums Tanzania Ikipendeza serikali isiwatambue kama wanandoa wenza wanaoishi bila kufunga ndoa

    Habari wanajukwaa, Nisiwachoshe sana twende kwenye mada moja kwa moja. Siku hizi kuna kampeni kubwa ya kukataa kufunga ndoa kwa vijana wa kiume, matokeo yake wanachukua vimada wanaishi nao na baada ya muda fulani mwanamke anatimuliwa bila chochote anaondoka na kwenda kuanza maisha mapya huku...
  5. JamiiForums Tanzania Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

    Wasalaam JF Rejea muktadha wa jicho la habari ulivyosomeka, naomba michango ya majibu yenu, wanandoa sio misukule wana kumbukumbu, wana akili za aina mbalimbali ikiwemo unafiki. Je, kama ni kweli wanandoa hasa mwanamke kwa msisitizo kwa nini sharti abadili namba yake ya simu? baada ya kufunga...
  6. JamiiForums Tanzania CDM mkija na sera ya kufunga mipaka ili bei ya chakula ishuke mtapotea vibaya sana

    Pengine mmesahau, hii sera ya kufunga mipaka ambayo Bashe anaitekeleza ni sera ya CDM. Wakati wa uchaguzi wa 2020 Salumu Mwalimu kila alikokwenda alisema kuwa CDM ikishika madaraka wananchi watauza mazao yao kokote kule, ilimradi tu wamelipa kodi ya serikali. Ilikuwa sera moja bora sana. Sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Mahari na kufunga ndoa ndio sababu inayofanya vijana wasioe

    Prakatatumba etumba etumba abaabaabaabaa, nimekaa nimefikiria kitu kimoja, maisha yenyewe yalivyo magumu hivi unaambiwa mahari ya milion 2, hivi hiyo million 2 si naweza invest ikanipatia hela nyingine?.. Just imagine hauko stable then vijana wanaambiwa mahari million 2/3, na bado huyo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo tunashinikiza kufunga macho tunapoomba wakati siyo takwa?

    hata Yesu alivyoomba alifumbua macho huku akiangalia juu mbinguni .. YOHANA 17:1 Usiku wa juzi nikiwa nikiwa kwenye maandalizi ya kulala, kama kawida yangu huwa ni lazima nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya, utimamu na amani aliyonipa. Kwa siku hio kabla ya kulala nikajiuliza swali kwanini huwa...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya kufunga maombi, rafiki yangu akapatwa na janga

    Habari wana JF? Natumaini mnaendelea vizuri! NB: Nimeandika hii kwa niaba! Nimesimuliwa hadi chozi likatoka. Wapwa, kuna suala linaniumiza sana kichwa nalo ni kuhusiana na kinachompata rafiki yangu kwa sasa. Stori iko hivi: Mimi na rafiki yangu tulikutana katika harakati za maisha, tukaamua...
  10. JamiiForums Tanzania Eti soda unaipanua, chupa ya maji unaifungua na kufunga

    Wajameni. Wkt nakula bia mhudumu wa bar alinitolea mpya Leo. Mimi. "Wewe dada lete Serengeti lite, na konyagi. Gras iwe ndefu tafadhali" Mhudumu. - Huyo akaenda akaja na bia Serengeti baridi na konyagi kaschana. " Serengeti Moja au mbili." ? Mimi. "Mbili" Muhudumu. " Nii panue?" Mimi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi MUNGU Aendelee Kumjalia Afya njema Rais Wetu Mama Samia Katika Kuelekea kufunga miaka Miwili ya mafanikio na Matumaini katika kila secta.

    Ndugu zangu watanzania, Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anaelekea kufunga miaka Miwili Tangia alipoapishwa kuwa Rais wa Taifa Letu,Imekuwa Ni miaka ya kazi,miaka ya utumishi uliotukuka,miaka ya kujenga umoja wa watanzania,miaka ya kushikamana Kama Taifa,miaka ya kupanda na...
  12. JamiiForums Tanzania Vipi ulaya imeshaganda kwa baridi baada ya urusi kufunga koki za gesi?

    Matamko ya warusi wa JF ilikuwa ni kwamba majira ya baridi yakiingia urusi atazuia gesi hivyo ulaya yote itaganda. Ningependa kupata updates juu ya hali ya ulaya kwa sasa maana msimu wa baridi ulianza mwezi disemba.
  13. JamiiForums Tanzania Wasifu: Kabla ya kufunga mwaka Binadamu Mtakatifu

    No content
  14. JamiiForums Tanzania TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

    Pia soma; Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba

    Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning...
  16. JamiiForums Tanzania Kikao cha wanaume cha kufunga mwaka

    Hiki ni kikao kitakachohusisha makundi yote ya wanaume hapa nchini isipokuwa wale walioleft. Hapa nazungumzia wanaume mabahili, wenye madeni madogo na makubwa, wenye michepuko, wenye watoto zaidi ya mmoja na kila mtoto na mama yake, wanaolaumiwa kuwaacha wapenzi wao na kuibuka na vifaa vipya na...
  17. JamiiForums Tanzania Twitter imeanza kufunga akaunti za waandishi wa habari wanaomkosoa Elon Musk

    Twitter yasitisha akaunti za waandishi wa habari wanaoandika habari za Musk Twitter ilisimamisha akaunti Alhamisi ya zaidi ya wanahabari nusu dazeni waliokuwa wakiandika kuhusu kampuni hiyo na mmiliki wake mpya Elon Musk. kuwanyamazisha waandishi wa habari kwenye Twitter huku wakidai kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Messi anaenda kufunga 'hattrick' yake ya kwanza Kombe la Dunia katika mchezo dhidi ya Croatia

    Mwaka 1958 Pele alifunga hattrick kwenye nusu fainali na akaja kufunga mawili kwenye fainali. Siku ya leo rekodi hiyo inaenda kufikiwa na Messi maana atafunga magoli matatu. Vamos Argentina.
  19. JamiiForums Tanzania Kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa ni dhambi?

    Na kama ni dhambi, ni nani alithibitisha hilo na alitumia vigezo vipi vya kisayansi? Wapo wanao amini ni dhambi, au wengine wanakuwa na hofu ya kuachwa, au wengine wanakuwa na ile hali ya kutokujiamini kwa kujiuliza, atanionaje baada ya kuona utupu wangu n.k. Kwa upande wangu nina ushuhuda wa...
  20. JamiiForums Tanzania Zingekuwa ni Enzi zangu au za akina Kizota, Magoso na Pawasa huyu Mayele angeogopa kabisa Kufunga kwa Rafu zetu Kali

    Natamani kweli kweli GENTAMYCINE nirudie enzi zangu ili nimalizane na Fiston Mayele kwa Kuvalia POP Mwaka mzima na Mimi kupewa Kadi Nyekundu na kufungiwa kucheza Soka kwa Miezi Sita au hata Mwaka. Kila Siku nikikutana na hii Mibeki yenu ya NBC Premier League huwa naiambia kuwa Mayele ana shida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…