Kikao cha wanaume cha kufunga mwaka

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,204
22,246
Hiki ni kikao kitakachohusisha makundi yote ya wanaume hapa nchini isipokuwa wale walioleft. Hapa nazungumzia wanaume mabahili, wenye madeni madogo na makubwa, wenye michepuko, wenye watoto zaidi ya mmoja na kila mtoto na mama yake, wanaolaumiwa kuwaacha wapenzi wao na kuibuka na vifaa vipya na makundi mengine yote yanayotambulisha wanaume.

Eneo la kikao ilikuwa iwe kwenye hoteli nzuri katikati ya jiji ila kutokana na mchango wa Tsh 2000 kutochangwa angalau na mjumbe mmoja basi kikao kitafanyikia kiwanja cha Chaukucha, Msimbazi bondeni.

Mgeni rasmi atakuwa yule mjumbe aliyetumia akiba yote ya mpenzi wake wa muda mrefu kwenda kuolea mwanamke mwingine. Mjumbe toka UWABATA aliyekutwa na mkewe akiongeza maji kwenye losheni ataongoza kikao.

Katibu wa kikao ni mzee wetu aliyetumia hela yake ya kiinua mgongo kununua daladala bovu. Pia jamaa aliyetumia nyumba ya baba mkwe wake kukopea benki na kuishia kutumia vibaya mkopo wake atapewa nafasi ya kuzungumza.

Karibuni.
 
Mr. Bond wa Tandika maguruwe
 
😀😀😀😀Bila kumsahau mwamba alojenga na pisi yake Kisha akaoa mke mwingine akiahidi kumlipa mpenzi wake walojenga wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom