Sitaki kuwachosha, hebu twende kwenye mada moja kwa moja. Nabii na mtume mkuu wa kanisa la WRC amewaambia wafuasi wake na jamii kwamba kufunga ndoa kanisani ni upagani.
Mtume huyo, ambaye ni maarufu kwenye kauli tata, amesema hayo wakati akiwahubiria waumini wake huko Matembele, Kata ya Kivule...