kufunga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kufunga Mfumo wa Gas (CNG) Kwenye Subaru Forester.

    Kwema Wakuu, Mwezi uliopita nilihama rasmi kutoka kutumia RAV4 mpaka Subaru Forester ya 2011. RAV4 nliokua nikitumia ni "Kili time" ya mwaka 2000, engine 1ZZ, CC 1770, front wheel. Sasa nimekuja kwenye Subaru, CC 2000 full time 4wd naona kama mambo hayaendi hivi kwa upande wangu. Yaan mazoea...
  3. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuchoka ma subwoofer ya seapiano nimejaribu kufunga mziki huu nyumbani

    Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box Power supply 10 A bei 50,000 Radio ya gari 40,000 Twita 30,000 Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000 Je wakuu niongeze nn au nipunguze...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa?

    Salaam, Kuna watu wenyewe bila kulazimishwa wanaenda Hospitali kutoa kizazi au kukifunga wasizae tena. Mnaofanya hivyo, Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa? Ni akili ya kawaida au changamoto ya akili? Wanalishwa sumu gani ya maneno hadi wanakubali? Halafu unakuta...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani wapinga vikali watu wa dini kufunga barabara kuswali

  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

    Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram . Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
  7. al-baajun

    JamiiForums Tanzania jina Lako Linaweza Kufunga Maisha Yako? (Siri Ya Majina na Uzito Wake)

    Katika tamaduni nyingi za Afrika hasa za Kiswahili jina la mtu halikuchaguliwa tu kwa kupendeza au heshima ya familia. Jina lilizingatia: Asili ya neno hilo (kama lina mizizi ya vita, huzuni, roho, au baraka) Nguvu ya herufi za jina hilo kwa mujibu wa maandiko ya kale (kama Shams al-Ma’arif)...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kufunga fremless glass door

    Habar wakuu natafuta kampuni au mafundi wazur wakufunga na kutengeneza fremless glass door katika ofisi zangu ziwe namuoneka mzuri wakisasa,material yatakayitumika yawe imara
  9. E

    JamiiForums Tanzania Rais TEC atangaza maombi ya kufunga kuombea haki na amani katika uchaguzi mkuu

    Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya...
  10. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais wa TLS kuhusu kufunga kanisa la Gwajima

    NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba 1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu. 2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya munao uita amani...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Jukumu la Mangungu pale Simba ni kufungua na kufunga vikao tu

    Mangungu pale Simba ni sawa na jibwa lisilo na meno Mashabiki wa Simba ambao hawaijui hata kurasa 1 ya katiba ya Simba ndo hutokea na kumlaumu Mangungu pale timu inapofanya vibaya 1. Mangungu pale Simba ndo Mwenyekiti upande wa Wanachama ila kwenye bodi yeye ni mjumbe tu, hana maamuzi Mkubwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Karata ya kufunga Strait of Hormuz na kuishiwa Interceptors za ulinzi wa anga vyamtisha Trump na kutaka ceasefire.

    Kwanza nataka nikiri kuwa wazungu ni wajanja. Wao huwa wanaact kwa mtindo wa good cop vs bad cop. Safari hii Marekani na Israel walikuwa bad cops huku Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zikijifanya kama ziko mbali lakini behind the scenes wako pamoja. Leo Trump ametangaza ceasefire kati ya Israel...
  13. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Iran: Bunge limepiga kura kufunga njia ya bahari Strait of Hormuz

    Tujifunge mkanda mazee!!! https://x.com/BRICSinfo/status/1936773441832513712 BREAKING: The Iranian parliament has unanimously reached the decision to close the Strait of Hormuz. Now the final decision rests with the Supreme National Security Council and the Supreme Leader, Ayatollah Khamenei.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz,

    Wadau hamjamboni nyote te, Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi anasema Kamanda Mwandamizi wa Walinzi wa Mapinduzi Esmail Kowsari alisema Jumamosi kwamba Iran inafikiria kufunga mlango wa kimkakati wa Hormuz ili kukabiliana na...
  15. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Somo kwa wanawake: Usikubali kuishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka 5 bila kufunga ndoa

    Acha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka. Eti ooh! ~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri nipate hela ya kupanga vyumba viwili; Kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri nimalize chuo...
  16. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Ipi ni madhara ya kufunga muda mrefu zaidi ya masaa48?

    Nimeanza na masaa24 Leo nimefika masaa 25 Nataka slow slow nifike masaa48, max siku 4 Nimeambiwa ni nzuri kwa kufanya body reset na healing Lakini pia ni muhimu kujua madhara yanayoweza kutokea kwa sababu hiyo si mfungo wa kawaida! ipi ni madhara ya mfungo wa zaidi ya masaa24 had 48
  17. MoroGent

    JamiiForums Tanzania WAJUZI: Wachezaji Wanavaa au Kufunga nini Mkononi wakati wa Mechi

    Salam sana Wanajukwaa, Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiri mimi ni mpenzi wa mprira wa miguu, naangalia mechi za club za ulaya, Kimataifa na za Nyumbani apa NBC. Kwa muda mrefu nimekuwa nikichunguza hili jambo kwa muda mrefu na kuuliza watu kwamba ina maana gani, nimekosa majibu rasmi na ya...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel kufunga anga ya Yemeni, kutia uzio angani, hamna chochote kitapaa au kutua

    Hii wamesema baada ya wao kupiga ndege iliyokua imesalia uwanjani, uwezo wa kufunga anga wanayo, nia wanayo na sababu za kufunga wanazo..... Hawa wana wa Yakubu walibarikiwa sana, ukizingatia makobaz bilioni mbili duniani yamekua yakiomba Israel wafutwe kwenye ramani ila itakua wanayemuabudu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nijulishe, baada ya dramacool kufunga site zao, wapi tena naweza kudownload koreandrama for free?

    Msaada tafadhali, nahitaji kucheki series za kikorea ila ndio hivyo tangu dramacool waamue kushut down site zao zote, nimekosa mbadala. Nipeni mautundu niburudike....
  20. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Karibu tukufungie cctv camera leo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu. Huduma zetu ni za uhakika na tunazingatia mahitaji ya mteja. -Tunazo camera nzuri zinazoonyesha picha nzuri 24/7 Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk Vision Tunatoa mafunzo bure kwa mteja jinsi ya kutumia na...
Back
Top Bottom