kufunga

  1. Foffana

    JamiiForums Tanzania Tukielekea kufunga mwaka taja Members wako bora watano kwa mwaka huu 2025-Top 5

    Tupo ukimgoni wa mwaka huu uliokuwa na shuruba nzito nzito Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka leo imetukuta tukiwa tunavuta pumzi yake Hawa ni members bora kabisa kwangu kwa huu mwaka 2025 1. Binti wa zamani at the top 2. Manyanza 3. Sizinga 4. Chief-Mkwawa 5...
  2. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Tukielekea kufunga mwaka, ni matukio gani ambayo yametokea mwaka 2025 hayawezi kufutika kwenye kumbukumbu zako?

    Wakuu tupo Disemba, zikiwa zimebaki siku kadhaa kufunga mwaka 2025 na kuuanza mwaka mpya 2026. Ni mambo gani uliyoyashuhudia au umeyapitia na pengine mazuri au mabaya ambayo huwezi kuyasahau. Maoni yenu kwenye comment yataamua huu mwaka ulikuwa baraka au wa laana. Haya twende kazi, nasoma kumment
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama ICC itamfungulia mashtaka Samia, tujiandae kufunga na kuzira kula kwa ajili yake hata ikibidi kufa

    Nimesikia maadui wa taifa mashambenga, na wambea wengi wakitangaza na kusherehekea uwezekano wa mama kufungliwa mashtaka kwenye Mahakama ya Kimataifa kuhusiana na vurugu, siyo mauaji, maana waliokufa hawakufa, ndiyo maana hawakuzikwa. Wangezikwaje wakati hakuna miili ya kuzika? Halafu, ajabu...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Acha kupotosha, hizi ni protocal za kufunga milango ikulu

    Ambao hawajawahi kufika ikulu ndio wageni wa hizi protocal. Miongozo ndio inataka hivyo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waandamaji fungeni barabara ili magari ya Polisi yasipite. Itapunguza mashambulizi

    Waandamaji ni lazima kufunga barabara magari ya polisi yasipite waje kwa miguu hii itasaidia kupunguza vifo maana asilimia kubwa wanaofyatua risasi ni wale wanaoshambulia kutumia magari Barabara zifungwe hakuna kuruhusu gari kupita ili kufanikisha maandamano ambayo hayatatoa uhai zaidi wa watu...
  6. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Watanzania, msijaribu kwenda kumtoa Lissu

    Watanzania!. Nimeona uzi wa britanicca kuhusu kwenda kwa lissu na wengine wamechangia kwenda huko. Mkienda na mkajaribu kumtoa mnaweza kumuweka kwenye hatari kubwa sana ya usalama wake. Wapo watu wahovu wanaweza kujipenyeza na kumdhuru. Kwa sasa yupo sehemu salama. Uhakika wa yeye kutoka...
  7. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inaogopa kufunga mtandao wa instagram sababu wasanii wao wapo huko

    Wahuni walijua kufungia twitter(X) ndio kukomesha wanaharakati na walijua hakuna watumiaji wengi. Sijui hizi habari wanashauriwa na vilaza toka JF. Sasa siasa imeamia instagram na facebook na huko ndio kuna wasanii wao 😂. Karma karma sasa fungeni wawa geuke
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wana haki kuzuia maoni kwa akaunti zao ambazo zinashiriki na CCM

    Unajua ni sehemu tu tuliyobakisha ambayo uwezo wa JF ndio uwezi kufanya kufungia comment na tukawapa makavu mfano wakina chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable MamaSamia2025 October 2pm Tlaatlaah Niko pamoja na Samia @nicholasmari said: na wajinga member wengine ambao wanasupport uwovu na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuhuma za Polepole zimenikumbusha hotuba ya Lissu ya kufunga kampeni 2020

    Wakati akifunga kampeni za CHADEMA (siku moja kabla ya uchaguzi) kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe; Lissu alisema kuwa matokeo ya uchaguzi wa urais yameshapikwa. Akadai kwamba amedokezwa na watu walio ndani ya mfumo kuwa Magufuli atapata kura milioni 12 na wengine wataambulia kura...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mlianza kufunga comment kwenye page ya rais; sasa kila idara, mnakuja kwenye mahakama

    Usije shangaa account ya mahakama ikafanya hivo mpaka tovuti yake ikawa hakuna mambo ya kesi ni kusifu sifu tu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kufunga Mfumo wa Gas (CNG) Kwenye Subaru Forester.

    Kwema Wakuu, Mwezi uliopita nilihama rasmi kutoka kutumia RAV4 mpaka Subaru Forester ya 2011. RAV4 nliokua nikitumia ni "Kili time" ya mwaka 2000, engine 1ZZ, CC 1770, front wheel. Sasa nimekuja kwenye Subaru, CC 2000 full time 4wd naona kama mambo hayaendi hivi kwa upande wangu. Yaan mazoea...
  14. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuchoka ma subwoofer ya seapiano nimejaribu kufunga mziki huu nyumbani

    Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box Power supply 10 A bei 50,000 Radio ya gari 40,000 Twita 30,000 Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000 Je wakuu niongeze nn au nipunguze...
  15. figganigga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa?

    Salaam, Kuna watu wenyewe bila kulazimishwa wanaenda Hospitali kutoa kizazi au kukifunga wasizae tena. Mnaofanya hivyo, Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa? Ni akili ya kawaida au changamoto ya akili? Wanalishwa sumu gani ya maneno hadi wanakubali? Halafu unakuta...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani wapinga vikali watu wa dini kufunga barabara kuswali

  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

    Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram . Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
  18. al-baajun

    JamiiForums Tanzania jina Lako Linaweza Kufunga Maisha Yako? (Siri Ya Majina na Uzito Wake)

    Katika tamaduni nyingi za Afrika hasa za Kiswahili jina la mtu halikuchaguliwa tu kwa kupendeza au heshima ya familia. Jina lilizingatia: Asili ya neno hilo (kama lina mizizi ya vita, huzuni, roho, au baraka) Nguvu ya herufi za jina hilo kwa mujibu wa maandiko ya kale (kama Shams al-Ma’arif)...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kufunga fremless glass door

    Habar wakuu natafuta kampuni au mafundi wazur wakufunga na kutengeneza fremless glass door katika ofisi zangu ziwe namuoneka mzuri wakisasa,material yatakayitumika yawe imara
  20. E

    JamiiForums Tanzania Rais TEC atangaza maombi ya kufunga kuombea haki na amani katika uchaguzi mkuu

    Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya...
Back
Top Bottom