kuficha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni kutaka kuficha aibu: Marekani ilishapeleka ulinzi wa anga Ukraine lakini Ukraine inapigwa kila leo na Urusi

    Baada ya Ukraine kuchakazwa na makombora na drones za urusi, Marekani inajinasibu kuwa itapeleka huko ulinzi wa anga /air defenses wa kiwango cha juu ili kulinda anga la ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi. ======= US air defense systems to arrive in Ukraine soon – Pentagon Amid an onslaught...
  2. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

    Taifa letu ni shamba la bibi kwa baadhi ya familia na koo fulani. Katika kipindi hichi kuna koo, familia na baadhi ya watu fulani utajiri wao utaongezeka mara dufu yaani. Napenda kuwakumbusha tu taifa hili lina watu maskini wengi sana tena wanateseka mno wakati mwingine kwa sababu ya mifumo...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wangu sitaki kuuficha

    Habarin za weekend Mim mwezenu mgonjwa sana napumulia mashine nikiwa natafuta kazi basi nilibahat kupata kazi sehemu moja uko posta sasa nilifurah nikasema now nitaweza kumudu familia mahitaj yake nisijue kuwa privete sector ni wanyonyaj picha inaaza hakuna nssf pili unapewa mkononi kiasi...
  4. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kwa adui kuficha uadui wake

    Kwa uzoefu nilionao sasa ni ngumu sana kwa adui au mtu chuki, au kinyongo kuficha uadui. Mara nyingi sana mtu anaweza kuwa anakuchukia lakini anakuchekea chekea. Yaani anajifanya kuonyesha sura ya bashasha na mwingine hufikia hata kujifanya ni rafiki yako mkubwa. Kwa upande mwingine mwanamke...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kuficha milioni 100 za ufadhili wa ujenzi wa shule

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amempa saa 24 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini, Khalfani Magani kujieleza kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu kwa madai ya kuficha fedha za mfadhili za ujenzi wa shule. Agizo hilo amelitoa jana Alhamisi Septemba Mosi 2022 wakati wa mkutano...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kuficha ndege zake, yaziondoa Crimea baada ya mapigo

    Pale Crimea hapakaliki, milipuko ya ghafla hadi imekua kero, ndege za kivita zinalipuliwa zikiwa uwanjani, Urusi imeona isiwe tabu, yaanza kuzirejesha nyumbani..... Sikujua supapawa anaweza kuteswa kihivi na kainchi kadogo, vita kweli sio ukubwa wa nchi au wingi wa silaha.... Russia is...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Amuua binti wa kazi kisha kuvunja chumba na kuiba pesa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22) Mkerewe, Binti wa kazi za ndani na kuuficha mwili huo katika stoo ya vifaa vya ujenzi katika nyumba ya...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuficha kinachojadiliwa kama kina manufaa ya wananchi?

    Giza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu! Kwa kifupi Time is best judge and it will tell! Kikao kinaendelea Kwa Siri kubwa kana kwamba wanaenda Kwa mganga? Lakin wanadhani hatuyajui wanayojadili Sidhani kama...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yamfukuza Raia wa Ufaransa kwa kuficha mafuta

    Mmalaka Nchini Kenya imesitisha kibali cha kuendelea kuishi Nchini humo mmoja wa wauzaji wakubwa wa mafuta raia wa Ufaransa kutokana na sakata la uhaba wa mafuta linaloendelea. Mfaransa huyo ni Christian Bergeron ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Rubis Energy Kenya ambayo ni kampuni tanzu...
  10. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Pesa ni shortcut ya kumpata mwanamke, lakini kuhonga ni kujaribu kuficha udhaifu

    Mnasemaga TAFUTA PESA, wengine WE MPE HELA, YAANI WE MPE HELA TU. Mtu anayejiamini hawezi kutoa pesa yake hovyo hovyo, mtu anayejiamini anashawishi na kuheshimu pesa yake. Ukiona unahonga sana ili upendwe jua wewe ni dhaifu, wajanja wanakula pesa zako Povu ruksa
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM imejidhalilisha, kumbe huwa inawapa Maspika kusimamia mhimili wa Bunge ili kuficha madhambi na makosa ya serikali yake

    Jana ndio kila picha limeungua hapa nchini. Maana kauli za mkuu wa nchi na mwenyekiti wa CCM zimefunua macho watanzania. Kumbe mtu kuwa spika lazima uaminiwe na wanaCCM ili kulinda maslahi yao na ya chama chao kwa kuficha makosa yao na madhambi yao. Ila ukifanya kazi ya kusimamia serikali na...
  12. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuficha TV cables ukutani

    Kuweka TV ukutani inapendeza sana. Lakini hamna kitu kinakera kama kuona mawaya yananing'inia kutoka chini kwenda juu kwenye TV. Haipendezi kabisa na inaondoa uzuri wote wa eneo hilo. Jinsi ya kuficha hizo cable ni rahisi sana. Wakati wa ujenzi unachimbia bomba ya kama 2 inches hivi ukutani...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kutokuwa na cha kuficha haimaanishi faragha yako isiheshimiwe

    Kila mtu ana haki ya faragha kama inavyotambulika katika ibara ya 12 ya Tamko la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa ambapo kila mtu hutakiwa kuhakikishiwa usalama wa taarifa zake Katika hali ya kawaida watu wengi hudhani ‘Kukosa cha kuficha’ wakiamini hawatakiwi kujali, Lakini hata kama...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake jitahidini sana kuficha 'Hobbies' zenu kwani zingine zinatutisha Wanaume na mtakosa Waume wa Kuwaoa kisha mumlaumu tu Maulana

    Kuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno...
  15. ngotho

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kiingereza katika kuficha siri

    Wakuu habarini za saa hizy?? Ndugu zangu naandika uzi huu nikiwa nimejawa na furaha ya kuepusha kuvunjika kwa mahusiano yangu. Jana usiku nikiwa na mpenzi wangu getoni kwangu, kwenye muda wa saa sita usiku hivi, mara paap! Simu inaita..kuangalia, nakuta ni namba ya msichana mmoja hivi...
  16. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Namna "nzuri" ya kuficha ushahidi

    Tuseme unataka kujitajirisha Ukasema kuwa bangi ni nzuri kwa afya kwenye kijiji chenye watu 300 Kisha ukawagawia watu 50 bangi yako. Lakini baada ya miezi michache watu 42 wakaanza kumwaga mate kama mazezeta. Wale ambao hukuwapa bangi watasema, “Mnaona, bangi ni mbaya sana. Hakuna hata mtu mmoja...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbalimbali ambazo hutumiwa na watumishi wa umma, wafanyabiashara nk kuficha utajiri wao

    Wasalaam ndugu zanguni nyote. Uzi wa Leo sio wa kinoko, ila tu tufundishane mbinu mbalimbali ambazo watu hutumia kuficha utajiri wao, hasa ule ambao wameupata kinyume na tarabu, au kwa njia zisizo halali na kadhalika. Nitaleta Visa kadhaa . Kisa Cha Kwanza Kisa Cha Pili Kisa Cha Tatu Kisa Cha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Bumbuli na Yanga SC yako si mnajifanya mnajua kukanusha na kuficha yanayoendelea, ikanusheni na hii pia

    Nilishasema kuwa kuna Kazi iliyo nyepesi sana Kwangu Mightier ni ya Kufuatilia Habari ngumu na zinazofichwa ndani ya Klabu ya Yanga. Kwa taarifa nilizopemyezewa na Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC (asiyependa Unafiki na Uwongo) kasema kuwa Wachezaji Waandamizi wa Yanga SC akina Deus Kaseke...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nendeni mkajiajiri vijana ni kichaka kitumikacho kuficha udhaifu wa uwajibikaji wa viongozi wetu

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani. Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezimungu muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo. Naam nimeamua kuandika hili andiko ili tuweze kupeana maarifa mbali mbali katika jamii yetu tunayoishi. Ajira, Ajira, Ajira hili ni neno lenye...
  20. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

    Kama sikosei, mpaka sasa Rais Samia keshaongea na waandishi wa habari kama mara mbili hivi. Ni zaidi ya mwezi sasa tokea alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari/ waandishi wa habari toka ikulu ya Dar es Salaam. Wiki moja au mbili zilizopita, akafanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC...
Back
Top Bottom