kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ajira 6,000 za walimu zagubikwa na utapeli. Waziri Ummy amuagiza Katibu Mkuu kufanya uchunguzi

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema kuna Watu wamejitokeza mitaani ambao wanawadanganya Walimu ambao hawajaajiriwa kuwa wanatakiwa kutoa Tsh. Milioni moja ili wapate ajira kwa haraka kwani nafasi hizo hazitatangazwa na Serikali bali zitatolewa kisirisiri. Waziri Ummy ameyasema hayo mapema...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Chad lakataa kufanya mazungumzo na Waasi

    Baraza la Jeshi Nchini Chad limekataa mazungumzo na Waasi ambao wamekuwa wakipigana nao tangu kutokea kifo cha ghafla cha Rais Idriss Deby aliyeongoza kwa miaka 30. Msemaji wa Baraza hilo, Azem Bermendao Agouna amesema sio muda wa upatanishi wala mazungumzo wakati huu ambapo Chad inakabiliwa na...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ameacha legacy ya kuthubutu kufanya kitu bila ya kuomba ruhusa kwanza kwa mfadhili yeyote

    Viongozi wa kisiasa wana kazi ngumu sana. Kutakiwa kumridhisha kila wanayemuongoza kwa kadri ya uwezo binafsi, ni mtihani mgumu. Ni vigumu kwa kila anayeongozwa na kiongozi fulani kuwa na mtazamo ule ule kama wa mtu mwingine. Naamini kabisa kwamba hayati John Magufuli hakuwa na sifa ya kiongozi...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa: IGP Simon Nyakoro Sirro Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Nyakoro Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini David Concar. Wawili hao walikutana ofisini kwa IGP Sirro na walibadilishana uzoefu kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama
  5. JamiiForums Tanzania Hata mkiruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa mtatueleza nini cha maana tuwaelewe?

    Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu. Lakini pia imefumbua watu juu ya mambo mengi tu. Kama hawa wanasiasa ambao hawana hoja za msingi...
  6. JamiiForums Tanzania Nini kinakuogopesha kufungua au kufanya biashara?

    Watu wengi wanatamani kufanya biashara wengine wana mitaji kabisa sababu unakuta yeye ni mtumishi hela sio swala la kuuliza ila when it comes to starting a business anajikuta anasita sita au kupatwa na uoga na jakamoyo! Ijapokuwa kujiajiri na biashara ndio kitu ambacho kinaaminika kuleta...
  7. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kufanya kazi kama Personal Assistant?

    Habari, Kuna Project Ndogo ambayo inaweza kuhitaji PAs kama 10 hivi lakini ambao watakuwa wanafanya kazi Remotely. Kwa malipo ambayo yatakuwa calculated Hourly. Anaweza kufanya Mtu yeyote ME/KE ila ni lazima awe anajua kuongea na kuandika Kiingereza na Kiswahili. Lazima awe na ujuzi wa kutumia...
  8. JamiiForums Tanzania DC Kasesela alikoroga Iringa. Apiga marufuku bajaji kufanya kazi

    Kufatia mgomo wa daladala manispaa ya Iringa mkuu wa wilaya ya Iringa Mr.Kasesela amepiga marufuku bajaj kufanya kazi. Amepiga marufuku bajaji kutoka Ipogolo n Kitwiru kwenda Iringa mjini. Amepiga marufuku bajaji kupita Dodoma road, bajaji za mkimbizi na Kihesa kilolo wakitaka wapite nyuma ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  10. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Shinyanga kuzuiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2021

    Kuna taarifa kuwa Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush, wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi wa tano. Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiolewa au kukutana na mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi utachukuliaje?

    Habari zenu humu ndani. Baada ya kushiba daku nimeamua kuja na uzi huu. Kwa sisi wanaume tukioa kisha tukapata mwanamke ambaye hajawahi kuguswa, mwanaume anajiona fahari. Wanaume tunaona tumepata kizuri cha kupata. Na hata katika jamii inakuwa ni jambo jema. Sasa swali ni kwa upande wa pili...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara gani naweza kufanya ikanipatia walau ada?

    Mimi ni mvulana wa miaka 23kwa ninaitwa, Johnson napatikana Dar es Salaam naombeni ushauri mimi nimesoma hadi form four lakini sikufanikiwa kwenda mbele zaidi na ni MTU anaependa kusoma hasa katika ngazi za IT. Je, ni biashara gani naweza Fanya ikanipatia walau ada kwasababu ada ni kuanzia laki...
  13. JamiiForums Tanzania Je, tumejifunza somo gani kwa Wanajeshi kugoma kufanya kazi na kuandamana?

    Siku chache zilizopita mkuu wa majeshi amewafukuza vijana wapatao 854 waliofuzu mafunzo ya kijeshi kwa kushinikiza waajiriwe na jeshi kupitia mgomo wa kufanya kazi na maandamano. Mimi binafsi siamini wanajeshi watumiwe kwenye miradi yeyote ya kujenga uchumi na kazi zozote za kiraia na polisi...
  14. JamiiForums Tanzania Karibu tukuhudumie kwa huduma ya nyumba yako (Wiring, kupaka rangi, kuweka CCTV Camera)

    Kwa huduma zinazohusiana na nyumba kuweka wiring bei nafuu, kupaka rangi za kisasa, kuweka CCTV Camera, Umeme wa Fensi, Alarm systems. Karibu sana tupo kanda ya ziwa mikoani tunafika. Hutajutia huduma zetu popote tupo. Biashara ni uaminifu huna haja ya kuni-pm.
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kama utiifu wa Jeshi hutegemea viongozi wa juu wa Majeshi, kina Samweli Doe waliweza kufanya mapinduzi?

    Hii dhana kuwa Jeshi linapokuwa na utii ni matokeo ya viongozi wa juu wa Jeshi huwa inanifanya nijiulize kama huo ndio ukweli, mtu kama Samweli Doe aliwezaje kuongoza mapinduzi ya kijeshi akiwa na cheo Sergeant? Hata Idd Amini si alikuwa na cheo kidogo tu jeshini alipopindua serikali? Labda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Biashara United FC 'Akhsanteni' kwa kufanya 'Biashara' nzuri sana na Yanga Hersi GSM FC

    Nipo katika Mpira wa 'Bongo' na bahati nzuri hata Michezo yote ya 'Kimjini Mjini' naijua na hata Kushiriki nimeshiriki pia hivyo nasubiri leo Biashara United FC afungwe Magoli 4 au 7 aliyofanya 'Biashara' ili nije 'nifunguke' kila Kitu hapa. Na mtaniambia kwanini Viongozi wa Biashara United FC...
  18. JamiiForums Tanzania Ninyi wanasiasa sio waaminifu kabisa mkipata madaraka mnawaza kufanya ufisadi,msipofanya mnajiona sio wajanja. Usikomae kuwaponda vijana

    Nimemsikia Spika Ndugai akidai kuwa vijana wengi wa kitanzania sio waaminifu, kwamba wakiajiriwa mahala popote lazima wamuibie muajiri wake hivyo asipokuwa makini lazima wamfirisi. Unachosema ni kweli lakini hii mentality ipo kwa kiasi kikubwa hata kwa wanasiasa. Wanasiasa wengi mpo kwa ajili...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kuuza gesi

    Nina rafiki yangu mmoja ambaye amebahatika kukutana na kuongea na bosi mmjo wa kampuni moja kubwa iliyojikita kwenye biashara ya mafuta na gesi; katika maongezi yao rafiki yangu alipendezwa na kufanya biashara ya kuuza gesi. Wakakubaliana kuwa anataka kufanya biashara ya kuuza gesi iliyoko...
  20. JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Wakuu kwa mtu yeyote mwenye ujuzi kuhusu biashara hii hasa samaki wa maji baridi huko Dodoma. Soko lake vipi lina upinzani mkubwa? Mimi niko Mbeya. Nawasilisha kwa salamu na shukrani kwenu! WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJUA KUHUSU BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA YA SAMAKI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…