kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania BASATA: Mwisho wa Ma-DJ, na MC kufanya kazi bila kujisajili ni Januari 31, 2026

    TAARIFA KWA UMMA WAONGOZA SHEREHE, BURUDANI NA MATUKIO (MC), MANJU MUZIKI (DJ) NCHINI WATAKIWA KUJISAJILI NA KUWA NA KIBALI HAI CHA BASATA IFIKAPO TAREHE 31 JANUARI, 2026. 29 Disemba, 2025 Baraza la Sanaa la Taifa kupitia kanuni ya 18.- kifungu (1) (a) na (b) ni msajili mkuu na mtoa vibali...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kufanya Malipo BRELA

    Habari mjasiriamali, Nimepata casesara 3 watu wanalipia applications zao Brela halafu wakirudi kwenye system inaonekana application haijalipiwa. Leo nimekuandalia njia nne za kufanya malipo Brela kwa usahihi 1. Lipia kwa simu Mtandao wowote unaotumia chagua malipo ya serikali na uingize...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  4. JamiiForums Tanzania Kiufupi ni kuwa watu kama IPM na kapola wame master sanaa ya kufanya zogo na watu wanaopitia msongo kutokana msoto wa maisha na inawalipa sana aisee.

    Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania 50% ya wavulana wenye miaka 20 hawajahi kufanya mapenzi, lakini kwa wasichana wenye umri huo ni 1% tu

    Tafiti iliyofanywa na Taasisi ya Mahusiano na Unyumba imebaini kuwa ni 1% tu ya wasichana hufika miaka 20 wakiwa bado hawajawahi kufanya mapenzi. Sababu zikidaiwa kuwa ni :- 1. Kushindwa kuhimili vishawishi. Mtoto wa kike huanza kutamaniwa na kuanza kushawishiwa kufanya ngono mara tu anapoanza...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Walia na Wageni Kufanya Biashara Kariakoo, Faini Ndogo

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam wameiomba serikali kuangalia upya suala la raia wa kigeni kuendelea kufanya biashara ambazo zinapaswa kufanywa na wazawa licha ya hatua kuwahi kuchukuliwa na serikali kuahidi kuongeza usimamizi. Mbali na malalamiko hayo, wafanyabiashara hao pia...
  7. JamiiForums Tanzania Namna ya Waislamu kufanya mijadala ya kidini na wasio kuwa Waislamu

    My people, NAMNA YA KUFANYA MAJADILIANO YA KIDINI NA WASIO WAKUWA WAISLAMU KATIKA UISLAMU Uislamu ni dini ya hikma, adabu na rehema. Unapozungumzia dini na watu wasiokuwa Waislamu, Uislamu hauhimizi mabishano ya jazba, bali majadiliano yenye hekima, heshima na lengo la kufikisha ukweli kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa ubaguzi huu bila Senegal kufanya hivi sisi Wafrika, Sisi Weusi tungepata shida sana. Wametuheshimisha.

    Hawa Morocco huwa wao wapo Kimakosa Afrika. Wanadharau sana na kutuona sisi ndugu zao si wa maana. Jana waliumia sana. Senegal kwa kweli Mungu wetu amewasimamia vyema kabisa. Ile dharau ambayo tungeipata sisi? Mungu tu ndo anajua. Najua sisi Waarabu wa Mchambawimba, Makunduuchi hatujapendezwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna nyumba hapa wanachinja kuku na kufanya tafrija Kila wakisikia kiongozi au mke/mume wa kiongozi amefariki

    Hamjambo! 1. Kuna nyumba hapa mwaka mpya na Christmas hawakusherehekea. 2. Hawakupika chakula cha maana. 3. Lakini Kila wakisikia taarifa msiba ya kiongozi wa kiserikali wanafanya tafrija. Wananunua pombe, wanapika chakula kizuri, wanachinia kuku. 4. Wanaweka Muziki. Katafrija kadogo kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Zimamoto wamefika eneo la tukio kufanya uokoaji na kuzima moto hapa NSSH

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari limefika hapa Posta Jengo la National Social Security House kwa ajili kuuzima moto pamoja na kuokoa waliopo ndani ya jengo hilo. Soma pia: Dar, Jengo la National Social Security House Posta linawaka moto muda huu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali?

    Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali? Udalali ni nini Dalali ni mtu anayeuza kitu kwa niaba ya mwingine na kisha kuchukua asilimia fulani ya faida ya kile kilichouzwa. Dalali pia anaweza kuwa mtu mwenye kutafuta soko la bidhaa ya mtu mwingine na kisha kuchukua asilimia ya faida inayopatikana...
  12. JamiiForums Tanzania Kufanya Kosa si Kosa, kosa Kurudia Kosa!, Kama Kosa lina consequences, ukirudia, the consequences are the same!. Je Tujiandae for The Consequences au?

    Wanabodi, Hii ni moja ya mada zangu za the voices from within ambazo ni abstract, za kufikirika tuu, sio lazima zitokee au hivi vitu ninavyo vizungumza humu, vitokee!. Mada ya leo ni kuhusu mambo ya karma ya kila mtu kulipwa kwa matendo yake. Kuna hii hoja ya kufanya kosa si kosa, kosa ni...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Afrika haipaswi kufanya chaguo chini ya shinikizo kutoka kwa nchi kubwa

  14. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa jinsi ya Kufanya ili Uweze kulipwa na Facebook kila Unapo Post Content Zako

    Watu wengi bado wanatumia Facebook kama sehemu ya kupitisha muda tu, bila kujua kuwa kila siku mamilioni ya dola yanagawanywa kwa creators wanaopost maudhui yanayovutia. Ukweli ni kwamba Facebook siyo tu mtandao wa kijamii ni soko la fursa. Kila unapopost kwenye Facebook, huna post tu kwa ajili...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anapata wapi ujasiri wa kufanya kazi na serikali hii ili hali Polepole haijulikani alipo!

    Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni. Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole. Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni? Hyocrites pharisees
  16. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wamiliki wa lodge na hotels ni wagumu sana kufanya marekebisho ya biashara zao?

    Unakuta mtu kajenga lodge au hotel yake nzuri kabisa, ila sasa kufanya marekebisho au renovation inakuwa mtihani sana. Kuna mkoa nilienda mwaka 2022, nikafikia lodge X, ilikuwa nzuri kabisa ila vitanda na shower zake zilikuwa zishachoka. Nilirudi tena mwaka 2025 na nikakuta shower na vitanda...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?

    Wakuu naomba kuuliza Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?
  18. JamiiForums Tanzania Aibu iende kwa nani juu ya huu upuuzi unaofanyika? Watu makini hawezi kufanya maandamano ya kipuuzi kama haya

    Yaani mkusanye watu wasiofaa hata kutazamika kwa macho alafu mdanganye kuwa ni waumini wa dini fulani ambayo kataa usikatae ina ushawishi mkubwa hapa nchini basi wewe hako sawa. Kwanza hii inaleta picha kuwa tayari una chuki na kinyongo juu ya hili dhehebu. Pili hili dhehebu halikubaliani na...
  19. JamiiForums Tanzania Pale ninaposhinda nyumbani halafu Sina kazi ya kufanya

    Mimi huyo Pale nimeshinda mtaani halafu mikono imezoea kuchezea cement, najenga chochote tu 🤣 +255624254690
  20. JamiiForums Tanzania Ikitokea umekula sumu bahati mbaya, nini cha kufanya?

    habari Natanguliza shukrani nauliza kama wataalamu mtatusaidia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…