Ikitokea umekula sumu bahati mbaya, nini cha kufanya?

Ikitokea umekula sumu bahati mbaya, nini cha kufanya?

Inategemea na aina ya sumu, ukiondoa zile sumu zenye asili ya asidi, lakini zilizo nyingi unaweza fanya yafuatayo yakakusaidia;

1. Jitapishe kwa kunywa maji ya vuguvugu mchanganyiko wa sukari+chumvi
2. Kunywa maziwa
3. Saga mkaa ule unga unywe kwenye maji
4. Wahi hospitali ukiwa na ushahudj wa aina ya sumu uliyokunywa
 
Back
Top Bottom