kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakurya wanaishi na kufanya shughuli zao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Serikali haiwabughudhi kama inavyowanyia Wamasai?

    Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa. Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Twitter kufanya majaribio kuruhusu herufi 2,500

    Kawaida Jukwaa hilo la mitandao ya kijamii huwa na kikomo cha machapisho hadi herufi 280 na kusema hatua hiyo ni kuboresha huduma kwa wateja wao. Majaribio hayo yanatarajiwa kuchukua muda wa miezi miwili na kuhusisha kikundi kidogo cha waandishi nchini Canada, Ghana, Uingereza na Marekani...
  3. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuwezi kufanya utalii Ikulu?

    Wenzetu Marekani huwa wananchi wanatembelea Ikuluya White House kama sehemu ya utalii wa ndani. Hupiga picha, huonyeshwa mambo mbalimbali japo yale classified huwa yanabaki kuwa siri kama inavyotakikana. Kwanini sisi hatuna kitu kama hiki?
  4. Chipoku

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Unda kikosi kazi cha taifa kuhusu elimu tuitakayo Wizara ya Elimu iwe mbali na kikosi kazi hicho

    Kongole Mh.Samia Kwa Uwekezaji mkubwa katika Elimu Yetu Ila Usiruhusu Wizara Ya Elimu Kufanya Hili Kassim Mpingi Rufiji- Pwani Ni ukweli usiofichika Kwamba Mh. Rais Samia Amefanya Uwekezaji Mkubwa Kwenye Elimu Yetu Kuanzie Ile Ya Awali Mpaka Elimu Ya Juu. Wakati Mwalimu Nyerere Anaamua...
  5. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Usiache Kufanya Haya katika Kipindi cha Uongozi Wako

    Miongoni mwa mambo makubwa atakayokumbukwa nayo Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete ni ujenzi wa shule za Kata na Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Licha ya changamoto zilizopo, bado wazo la ujenzi wa shule ya sekondari kila kata limekuwa na msaada mkubwa kwenye jamii tofauti na huko nyuma...
  6. Mfalme Daudi

    JamiiForums Tanzania Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    NAANDIKA KWA NIABA YA DADA YANGU MMOJA MUHANGA ANAYEPITIA HILI,NIMEONA NISHEE ILI KUPATA USHAURI WA PAMOJA JINSI YA KUMSAIDIA. Tulikutana Facebook na ni Mwaka wa nne sasa tangu tufahamiane,alikua akisoma chuo Songea ila kwao ni Dar. Tukaanza urafiki na kuwa wapenzi, akamaliza chuo wakati huo...
  7. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili kwa Jeddah kuhiji

    Picha na maelezo vinajieleza. Kongole mtukufu Rais ibada muhimu.
  8. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Rwanda na Burudi wanapashwa kufanya kitu Tanzania baada ya kuwaonesha wema wakati wa mauaji ya Kimbari

    Leo ni siku ninayokumbuka ndugu zetu na majirani zetu Wa Rwanda na Burundi walipopata jinamizi la mauaji ya kimbali, na wale waliobahatika kukimbilia Tanzania kwa idadi kubwa. Tuliwapokea na wengine tukawapa hifadhi kabla ya wote kuhamishiwa makambini, wale tuliowapokea walimuua Mama yangu...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara sio Jambo rahisi, mtaji pekee sio lolote

    KUFANYA BIASHARA SIO JAMBO RAHISI, MTAJI PEKEE SIO LOLOTE Anaandika, Robert Heriel Watu wengi wanapenda kufanya biashara, kuna wengine huwalaumu Ndugu zao au Wazazi wao au waume zao Kwa kushindwa kuwapa mitaji, Jambo Moja la uhakika ni kuwa, hakuna ambaye atakupa mtaji ilhali akijua utapoteza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na suala la Ngorongoro. Tunaweza tukaharibu umuhimu wa kufanya filamu ya Royal Tour na tukaathiri sekta ya utalii

    Serikali kuweni makini sana na Hili Jambo.Mimi kama mwana CCM na Mtanzania,naweza kusema hili jambo mlimalize kwa ustaarabu Mkubwa. Mnaweza mkawapa maadui wetu kutusemea vibaya,na mwishoe Watalii wakaogopa Kuja Tanzania.Serikalini kuweni makini sana nawahusia. Tumetumia gharama kufanya Filamu...
  11. Zikwe

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

    Habari Zenu Wakuu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi. Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo. Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mchezo mchafu sana, waachwe wanaoujua Waucheze

    Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :- 1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi, Lissu, Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na...
  14. Gama

    JamiiForums Tanzania Trump ametuhumiwa kupanga njama ya kuipindua Serikali ya Joe Biden

    Trump ametuhumiwa kupanga njama ya kuipindua Serikali ya Joe kwa kuchochea maandambano na vurugu zilizzofanyika Jan 6 2021 kwa waandamamji kuvamia jengp la Bunge FUATILIA HAPA Trump accused of 'attempted coup' in Capitol riot Former US President Donald Trump orchestrated last year's Capitol...
  15. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Tujipe Muda wa Kufanya Tafakari (reflections) Binafsi

    Japo kwa uchache jitahidi kupata private moment ya kufanya tafakuri wewe mwenyewe (saivi wanasema wewe kama wewe), ukiwa kwenye utulivu mbali kabisa na makelele ya binadamu mwingine awaye yeyote yule not even your wife, michepuko or even your kids. Inasaidia kuipa akili utulivu stahiki wa...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi kumi bora za kufanya uwekezaji Afrika mwaka 2022 Tanzania imo

    Tovuti inayofuatilia muenendo wa biashara katika nchi za Afrika imetoa orodha ya nchi kumi za Afrika ambazo zinavutia zaidi kufanya uwekezaji kwa Mwaka huu. Katika orodha hiyo Misri inashika nafasi ya kwanza kama nchi kivutio kwa uwekezaji barani Afrika. Sambamba na hilo nchi ya Rwanda na...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, waandishi wa Biblia hawakuona aibu kufanya ‘Plagiarism’ ya wazi wazi kwenye ‘Vibao vya Sumeria’ na kufanya editing bila aibu kabisa?

    Imekuwa Ikifahamika kwa watu wa chache sana wenye maarifa na ujuzi katika miaka ya hivi karibuni (20th century), kwamba biblia ni masimulizi ya ‘Vibao vya mawe vya Sumeria’ vilivyo ‘ghoshiwa’ na wajanja wachache (hasa Warumi) katika kukamata na kupumbaza akili raia katika himaya zao, hii...
  18. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Unaweza kufanya Uwekezaji gani kwa Milioni 50-500 na wenye faida ya kueleweka?

    Mkuu, Kuna watu/mtu ambaye wanaohitaji kufanya uwekezaji serious? Je unaweza kufanya nini ukiwa na access ya Kiasi cha Milioni 50-500?Uwekezaji uwe endelevu,uzalishe ajira,uhifadhi mazingira uzalishe kwa soko la nje na la ndani. Kama una wazo zuri hapa ndo pahala pake
  19. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Kuliko kukopa ili kushusha bei ya mafuta kwanini tusitumie Tozo zetu kufanya hivyo

    Wakuu, Waziri wa fedha alitangaza tozo zilizopitishwa na Bunge letu,na kujinasibu kuwa tumekusanya fedha nyingi Sana za tozo. Kwa kuwa lengo la tozo hizi zilikuwa kujenga madarasa na vituo vya afya nchini lakini tulikopa tena kwa ajili ya ujenzi huo. Kwanini tozo zile tusitumie kushusha bei...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufanya finishing chumba kimoja (self contained)

    Naomba kujua makadirio ya gharama za kufanya finishing chumba kimoja Vitu vya kufanya Rough Floor Mlango wa mbao Mlango wa Alminium kwa ajili ya toilet Plaster Skimming Blandering Gypsum board Rangi Tiles chumbani Tiles toilet - juu na ukutano (toilet ina ukubwa wa 2.5m x 2.7m) Choo cha kukaa...
Back
Top Bottom