kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hawezi kufanya ‘effective reforms’ kwa sababu anautaka Urais

    Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal. Nyerere, miaka ya 70, Wabunge walitaka kujiongezea mishahara. Akauliza “Nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa?” Wakang’ang’ania. Akasema basi hili sikubaliani nalo. Twende kwa wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Usikariri maisha ukianza tu kufanya maamuzi sahihi kutokana na maumivu yako wewe sio mwenzetu tena..

    Maisha ni magumu na yamejaa changamoto nyingi zisizotarajiwa Hata hivyo, unapaswa kujiuliza mambo yafuatayo: Kiasi gani cha mawazo na mvutano wa kifikra Unajisababisha bila sababu Kwa kujenga dhana Na kujikumbushia hofu na maumivu yaliyopita akilini mwako? Ni mara ngapi unakataa kuachilia...
  3. JamiiForums Tanzania Inawezekana shauku ya kufanya tofauti na mtangulizi wake ndiyo inayomponza?

    Ni swali ambalo linaweza kuwa na majibu ya ndio na sio kutokana na hali halisi. Alipoingia tu madarakani 'kwa kudra' kama alivyojinasibu, alifanya mabbadiliko mengi kwa haraka na pengine kwa kutaka kuridhisha kundi dogo la watu wenye maisha bora maarufu kama wawekezaji. Huku watanzania wa hali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini leo mabenki yote ya biashara Tanzania hayataki kuikopesha Serikali kama ilivyokuwa wakati Hayati Rais Magufuli?

    Sikiliza hii kwa makini mpaka mwisho Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali kwake wanyonge imeendelea na jitihada zake za kuwapunguzia riba wakopaji wadogo wakati na wakubwa (MSEs, SMEs & Cooperate) Akihojiwa na kituo cha Utangazaji cha E-FM redio, Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe David...
  5. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ajira zipo lakini ni ngumu kumeza. Mapinduzi kwenye Elimu yanahitajika

    Ni Tanzania, mahala ambapo rasilimali zimezagaa lakini hakuna anaejua namna ya kuzifaidi. Watoto wanapelekwa darasani ili waweze kutwaa maarifa yanayoweza kuwasaidia kunufaika na rasilimali lakini nani ajuaye kuwa hata yule mwalimu amfundishaye mtoto nae hajui namna sahihi ya kutwaa utajiri huo...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais ajiuzulu, uchaguzi uitishwe

    Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali. Mambo haya yamekuwa yakilalamikiwa sana. 1: Uchumi wa Tanzania Umeporomoka. Laiti kama uongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kutumia Shilingi Milioni 500 kufanya kampeni ya kuhamasisha matumizi ya nishati bora ya kupikia

    Kupitia Hotuba ya Waziri wa Nishati kwa Mwaka 2022/ 2023 Serikali imetenga Milioni 500 kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupigia ambayo ni Gesi. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2022/23, Serikali itatekeleza miradi, mipango na mikakati ya matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia hasa...
  8. JamiiForums Tanzania Taifa Stars yabaniwa kufanya mazoezi ya mwisho taifa. Kocha Paulsen ang'aka

    Kocha Mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen akizungumza kuelekea mchezo wa kufuzu CHAN dhidi ya Somalia utakaochezwa kesho Jumamosi Julai 23 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Polsen ameshangazwa na kitendo cha timu ya Taifa ambayo inajiandaa na mechi ya CHAN kunyimwa uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili...
  9. JamiiForums Tanzania Ukisoma course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology inakupa opportunity ya kufanya kazi sehemu zipi?

    Jamani naomba kufahamishwa kwa anayeifahamu kwa ukaribu course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology.. mtu aliyesoma hii course ni kwamba anakuwa Sociologist na Economist kwa wakati mmoja? Naomba majibu tafadhari
  10. JamiiForums Tanzania Mwambieni asithubutu kukata Rufaa au kuitisha Press Conference ya kufanya 'Counter' kwani yatamkuta Makubwa zaidi

    Miezi 24 siyo mingi sana kama ukiwa Unakunywa sana Bia au Unavuta Bangi au Unabwia mno Ugolo wa Mwarabu Buguruni Malapa na Ilala Bungoni au pale katika Balcony Ghorofani Masaki jirani na Slip Way.
  11. JamiiForums Tanzania Inahitajika mtaji kiasi gani ili kuweza kufanya shughuli za uwakala wa mabenki?

    Habari wadau, Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya uwakala wa kibenki, yaani unakuwa na kibanda chako lakini unafanya shughuli za uwakala wa mabenki mbalimbali, kama vile NMB na CRDB inahitaji mtaji wa Tsh ngapi Ili kuifanya biashara hii bila kutetereka? Na pia ni vitu gani muhimu vya...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa

    Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala yao, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa ya soko la ajira.
  13. JamiiForums Tanzania MAARIFA MBADALA: Tambua kitu sahihi kwa njia sahihi cha kufanya maishani

    Habari ya Usiku wana JF, Natumaini mko poa na wmaendelea vyema kabisa katika majukumu yenu na ratiba zenu za kila siku. Kuna nyuzi nyingi sana zipo humu majukwaani zinazoelezea njia mbalimbali yakupamana na tatizo la ajira yakitolewa mawazo na miongozo mbalimbali ambayo huenda si kwa kila mtu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mohammed Adil Erradi atua Dar kimyakimya kujiunga na Simba SC kama kocha mkuu

    Kulikuwa na uvumi kuwa klabu ya Simba kuachana na kocha wa klabu hiyo, Pablo Franco Martín kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu ya timu na kufungwa na Yanga katika nusu fainali la kombe la FA. Kumekuwa na taarifa kuwa Mohammed Adil Erradi, amefika Dar kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi...
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

    Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo. Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake anayeitwa Abdallah alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula mpaka...
  16. JamiiForums Tanzania Aliesomea uhasibu na aliesomea Utawala (HR) anaweza kufanya kazi law firm?

    Kama mtu amesomea maswala ya uhasibu na mwingine aliesomea HR anaweza kufanya kazi law firm? Na huwa ni kazi zipi?
  17. JamiiForums Tanzania Kabila lako bado mnaendelea kufanya matambiko ama mmeikacha asili yenu? Tambiko lenu hufanyikaje liwe la upatanishi, kufukuza mikosi, msamaha, n.k

    kabila hutambuliwa kwa Lugha, Mila, Miko, Majina na matambiko , hapa tutagusia matambiko .... Hakuna mtanzania asiye na tambiko, kila kabila alilotoka lina tambiko lake . yapo makabila ambayo.97% ya kabila hilo ni wakatoliki lakini matambiko ya kiukoo yanaendelea na wazee wamila...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwaka 2020 Hayati Magufuli aliamua kufanya uchafuzi badala ya uchaguzi?

    Swali hilo najiuliza hadi leo sipati jibu. Huenda alidhamiria kuua upinzani na kutawala milele? Lakini hata hivyo Mungu Mwenyezi alikuwa na yake. Halafu kama ni hivyo na baada ya CHADEMA kutotambua uchafuzi huo kwa kutangaza dunia nzima imekuaje tena Bunge hilo lisilotambuliwa na Chadema...
  19. JamiiForums Tanzania Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

    Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja. Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka kufanya ziara kwenye maonesho ya Sabasaba leo Julai 6, 2022

    MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUFANYA ZIARA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA LEO- ASUBUHI HII. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumatano Julai 06, 2022 kuanzia Majira ya Saa 4 asubuhi hii atatembelea maonyesho ya Kibiashara ya Sabasaba Jijini Dar es...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…