kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

    Wakuu naombeni mwongozo wenu tafadhali, nilikua nafatilia pasi ya kusafiria (International Passport) kidogo nimekumbsna na vikwazo. Mimi niko mkoani huku (Chuganian) Nimejaribu kuulizia uhamiaji wa hapa nimeelezwa niwe na: Cheti cha kuzaliwa (Ninacho) Namba za Nida (ninazo) Cheti cha kuzaliwa...
  2. Tuite ni ushamba kwa Okrah kufanya hivi?

    Alichofanya Okrah katika mchezo wa jana imejidhihirisha yeye ni mchezaji wa aina gani. Alichofanya Okrah tulichotegemea kuona kikifanywa aina ya wachezaji wa timu za chini. Alichofanya Okrah kimeifanya Simba idharaulike, maana dakika za mwanzo unavua jezi na ni mechi kubwa? Alichofanya Okrah ni...
  3. Tamu ya Force Account, watendaji Muheza watimuliwa kazi, TAKUKURU kufanya uchunguzi, shule haijakamilika

    Kwa wanasayansi, wanasema" don't re-invent the wheel". Ndicho tunachoona kwa baadhi ya miradi ya serikali kwa sasa inayojengwa kwa FORCE ACCOUNT. Serikali mkoani Tanga inalia na watendaji wake. Waliagizwa huko Muheza kujenga shule ya sekondari, darasa moja kwa milioni 20, wao kwa ubishi na...
  4. Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

    Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg. Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga...
  5. Mzee Mpili wa Ikwiriri kwa Mkapa umeenda kufanya nini?

    Hawa jamaa zetu mpira umeshawashinda, kazi kutumia wazee wacheze nje ya uwanja, watakuja kufa bure. Wewe siyo mchezaji unakuja kuangalia nini? Hawa utopolo humu ndipo walipowekeza; uchawi, uchawi, uchawi, tu! Na waarabu hawarogeki "Mbwa nyinyi". - Lucy Eymael
  6. J

    Tukio gani umewahi kufanya ukweni na hutokuja kulisahau?

    Mwenzenu nimewahi kukaa ukweni zaidi ya miezi nane, nikiwa na ujauzito wa miezi mitatu mpaka nikajifungua, nilikuja kuondoka mtoto anamiezi mitatu. Katika muda wote huo niliwahi kufanya tukio ambalo najutia sana ingawa lilitokea kwa bahati mbaya tu. Mume wangu alinikataza kitu fulani nikakubali...
  7. Msaada wa Iran kwa Urusi kumponza, Ulaya waanza kujadili cha kufanya

    Uzalendo ulishinda Iran ikaamua kutoa msaada kwa Urusi ambayo inachezea kichapo, ila sasa huo msaada utaiponza Iran maana EU waanza kujadili watakachoifanyia Iran, ikiwemo vikwazo kwa makampuni ya Iran na mambo mengine. Iran wamejaribu kujitetea sana na kukana kutoa msaada wowote ila ndio basi...
  8. Askari wa kidini Iran waanza kuingia kwenye shule za wasichana na kufanya mauaji kwa wanaoshukiwa kuandamana

    Mapolisi ya kijihadi yanazunguka kwenye shule za wasichana na kutembeza kichapo cha mbwa kwa vibinti huku wakisababisha mauaji, hii yote kisa wanampigania "mungu" na uislamu.... Huku mayatollah yakiendelea kulaumu Marekani na Israel.... Security forces are increasingly raiding schools and...
  9. Kufanya biashara na Watanzania mtandaoni ni taabu sana

    Sijui hata nani kawaloga. Unaweka maelezo yote kamili bei na njia ya mawasiliano etc. Anakuja mtu anakuuliza maswali ambayo majibu yake kwenye maelezo ulishaweka. Yaani mwisho wa siku ni usumbufu tu. Anakwambia naomba picha zaidi wakati picha za kutosha umeshaweka kwenye tangazo. Mwingine...
  10. Kamanda wa kikosi cha Urusi nchini Ukraine asema hali ni tete katika jiji la Kherson

    Kwa kichapo ambacho Warusi wamekua wakipokea, tumeshuhudia hadi timu humu JF walikua wameufyata kwa aibu, ila baada ya huyu jenerali kuteuliwa kuongoza mashambulizi, ghafla nimeona muamko mpya kote. Watu wanamsifia kwamba huwa hana huruma, ana sifa za kuua watoto na wananchi wa kawaida kule...
  11. Chagua Kisingizio Kimoja tu cha Kujitetea kwa Mashabiki wa hovyo baada ya Msudani kufanya yake

    1. Refa katuonea Saba 2. Tumefanyiwa Fujo 3. Tulipuliziwa Dawa Vyumbani 4. Tumerogwa sana 5. TFF ilitutenga haikutupa Mbinu 6. Mashabiki zetu walizuiwa Kuingia Uwanjani 7. Tumejitahidi ila Malaika Bahati hakuwa upande Wetu Bado GENTAMYCINE tena kwa Kujiamini kabisa nasisitiza kuwa hata Jumapili...
  12. Napendekeza taasisi binafsi ziruhusiwe kufanya uchunguzi katika Cyber Crimes

    Serikali kupitia wizara husika inapasa kufanya mabadiliko kidogo katika sheria ya uhalifu wa kimtandao ya mwaka 2015 yaani Cyber Crimes Act , 2015 kwani tangu ilipoanzishwa na kupitishwa na Bunge tarehe 22 .05.2015 polisi ndio wamepewa mamlaka ya kufuatilia uhalifu na uchunguzi juu ya masuala ya...
  13. Najipanga kufanya harusi rahisi sana, naomba mawazo yenu

    Tofauti na watu wengi mimi siyo muumini wa harusi kubwa zenye mbwembwe nyingi. Hivyo nimepanga harusi yangu iwe rahisi sana na nitagharamia kila kitu mwenyewe. Sijui mke mtarajiwa atachukuliaje ila nitajitahidi kumuelewesha wazo langu mpaka aelewe. Wazazi nao nitawaelewesha maana wao ni...
  14. J

    Mchambuzi Oscar Oscar atabiri Yanga kupindua matokeo Sudan kwa kufanya hivi

    Mchambuzi Oscar Oscar ametoa mtazamo wake kuhusu marudiano ya Yanga na Al Hilal.
  15. C

    Kwanini kufanya kazi kwa Wahindi ni changamoto sana?

    Nimetafakari sana juu ya hali ya wafanyakazi wanaofanya kazi katika kampuni na mashirika mengi yanayoendeshwa na Wahindi na kugundua kuwa kuna vitu havipo sawa, hasa kwenye ngazi za kiutendaji. Kuanzia kariakoo mpaka sehemu nyingine nchini asilimia kubwa ya wafanyakazi huwa hawapewi mikataba...
  16. Umewahi Kufanya Ultrasound Katika Kipindi cha Ujauzito?

    Na Je unafahamu Umuhimu wa Kufanya Kipimo Cha Ultrasound katika Kipindi cha mimba? Niko hapa kujibu maswali uliyonayo kuhusu kipimo cha Ultrasound!
  17. John Bocco huwa anaingizwa kufanya nini kwenye mechi za kimataifa?

    Bocco anayo rekodi nzuri pale Simba na hakika mchango wake ndani na nje ya uwanja hauwezi kusahaulika. Ila kwasasa ni vizuri uhalisia ukazingatiwa, John umri umemtupa mkono. Mechi za kimataifa zinataka kasi na umakini mkubwa. Leo amepoteza mipira mingi sana kwa dakika chache alizocheza...
  18. G

    Waandishi wa habari mkipata nafasi ya kufanya mahojiano na rais/mstaafu muulize tuhuma za wizi wa kura

    Juzi baadhi ya wanahari walipata fursa ya kuhojiana mstaafu Kikwete wakati wa birthday yake. Kama ilivyo kawaida ya waandishi wetu walishindwa kumuuliza maswali magumu. Maswali mengi yalikuwa ya kiudaku. Angeombwa atoe maoni yake juu ya tuhuma za wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali. Bila...
  19. Tanzania kufanya msako dawa nne zilizozuiliwa na WHO

    Serikali ya Tanzania imesema, inafanya ukaguzi maalumu ili kubaini iwapo aina nne ya dawa zilizopigwa marufuku na Shirika la Afya Duniani (WHO), zimeingia katika mzunguko nchini humo. Jana Jumatano, Oktoba 5, 2022, WHO ilizitangaza dawa hizo kutoka India kuwa ni hatari na zimesababisha vifo kwa...
  20. WanaCHADEMA tubadilike, ACT-Wazalendo wanatuzidi sana kufanya siasa za weledi, sisi tumebakiza kulalama Twitter

    Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals. Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu. Harakati za kisiasa bila common sense. Ona wenzetu. 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…