kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hotel ipi dar nzuri iliyoko mbezi beach kwa kufanya tafrija ndogo

    Ni hotel ipi dar nzuri ambayo unaweza fanya tafrija ya watu kama 30 hivi ambayo ipo maeneo ya mbezi beach
  2. JamiiForums Tanzania Siri ya utajiri: Hizi ndio siri nne zitakazo kufanya uwe tajiri

    Siri kubwa ya mafanikio katika maisha ni: 1. Kuwa na nidhamu na pesa, 2. Kuwa na marafiki wa kukujenga, 3. Kumuomba Mungu huku ukifanya kazi kwa bidii, 4. Tumia muda wako kufanya kazi; Kama ni biashara hakikisha unatumia muda wako katika biashara hiyo. Naomba tumalizie hapa hasa sisi vijana...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi

    Hii ni ngumu kumeza lakini ndivyo ilivyo; Wanasema kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi. Utafiti unasema kwamba kinachomfanya mtu aibe ni tamaa ambazo huongozwa na hisia. Mtu asiye na akili huongozwa na hisia kwasababu ya kukosa maarifa. Hicho ndicho...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wengi hutafuta msaada wa kushikwa mkono lakini ikitokea wameshikwa huzichezea bahati na kufanya madudu

    Bila Shaka mpo Pouwa! Kwa kweli Njia ya kujiajiri ni ngumu Sana. Kupitia ugumu huo waliofanikiwa kujiajiri huwa na heshima na umakini wao kiasi kwamba inawawia vigumu kuamini Watu kirahisi hasa wale wakuwasaidia. Vijana wengi wanapenda Sana kushikwa Mkono, kusaidiwa iwe sehemu za kujishikiza...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA Arusha kufanya mkutano mkubwa wa Hadhara 4/07/2024

    MKUTANO WA HADHARA CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana. Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Mtume wenu Mwamposa hupenda kufanya Makongamano yake Tanganyika Packers hasa tarehe hizi?

    Hasa hasa kila tarehe za mwisho wa Mwezi kuanzia 25 hadi tarehe za 7 na 9 za Mwezi mpya. Natamani mno kuuona akiandaa Makongamo yake tarehe za kuanzia 11 hadi 22 za kila Mwezi. Nimemtaja hapo Mtume wenu kwakuwa Mimi siyo Mtume wangu na nikiwasoma Watume wakweli katika Biblia na Historia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Unayejua townhiace njoo nisaidie kufanya mamuzi

    Hapa home pana 109 ipo tu juu ya mawe. Nina uhitaji sana na Gari ndogo ya mizigo, inisaidie kazi za shamba na store. Nimewaza nifufue 109 tu nifunge break za canter, nivalishe mfumo mpya wa umeme au ninunue gari nyingine. Kwenye kuchakata nimeikuta hii town hiace, hii gari sijui kabisa...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wakikukuta una upwiru unaweza hata kufikiria kuoa, kumbe ni bomu

    Mimi niwe mkweli, yule binti kidogo niweke makazi permanent pale sababu mambo alonipa sikuwahi kuyapata popote pale hapo kabla. Cha kushangaza siku naenda kwake kumchukua akanipe maburudani tena si nikakuta kulikua na shuhuli (wao wanaita hivo), anacheza kashika dela linaonesha pichu kabisa na...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kwa usawa huu bado kuna umuhimu au ulazima gani kufanya tendo la ndoa siku iliyofungwa ndoa?

    Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original (zipo za kutengeneza). Na hata hivyo mapenzi ya siku hizi ni shake well before use, Ebwana wee! watu...
  10. JamiiForums Tanzania Kufanya kila kitu kwa wakati ni kuwahi kufa

    Umesoma kwa wakati, umeoa/umeolewa kwa wakati, umepata watoto kwa wakati, umekuwa na kipato kwa wakati, umesomesha kwa wakati na kila kitu kimekaa sawa kwa wakati. Maana yake hata kufa utakufa kwa wakati/mapema baada ya kukamilisha mambo yako.
  11. JamiiForums Tanzania Napendekeza tulimalize suala la bandari kwa kufanya yafuatayo

    Kwa heshima na taadhima, napenda kuwashukuru wote mliochangia mijadala mbali mbali ya kuhusu ukodishwaji wa sehemu ya bandari kwa kuwa nyote mlikuwa na nia njema ya kujenga na kulinda rasilimali za taifa letu. Lakini katika kutekeleza hili, kulionekana mapungufu mbali mbali kama yalivyo ainishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

    Habari zenu wakuu ! Naomba mmtu mwenye uzoefu na maisha ya Poland, ashushe ABC zake ( ambae alikaa mda mrefu ikiwa kwa masomo au maisha ) Asanteni wakuu!
  13. JamiiForums Tanzania Unaweza kulipa Tsh. Bilioni 1 ili kufanya Utalii Anga la Juu (Space) kwa dakika 90 tu?

    Kampuni ya Virgin Galactic inayofanya safari za Utalii wa eneo la Juu la Anga (Space), itafanya safari Juni 29 na August 2023. Hadi sasa kuna abiria 800 wamenunua Tiketi kwa Tsh. Milioni 481.8 kwa mtu mmoja. Kutokana na mahitaji kuwa makubwa, kampuni imelazimika kupandisha bei hadi Tsh...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya kutoa nilichojaaliwa kwa mtoto nimepata amani ya moyo

    Kuna muda nilikuwa nikikaa peke yangu najihisi huzuni sana, na nilikuwa sijui huzuni inatoka wapi. Au kuna muda mwingine nikiwa peke yangu najihisi kutaka kulia, kuna mwanamke miaka miwili iliyopita nilikuwa nae katika mahusiano. Baada ya muda akawa amepata ujauzito na alikomaa kwelikweli kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Picture this🙌: Umekaa ndani ya basi liitwalo X, siti namba X ,unaenda mkoa X kumsalimia X. Mara ghafla unashtuka basi ulilomo linaanza kuyumba yumba kwa nguvu isivo kawaida na abiria wale viherehere akina mama mostly wameshaanza kupiga kelele za mamaaaa! (statistically speaking women more...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Joram Mbyella, mwanachama wa CHADEMA amekamatwa na watu wasiojulikana

    Leo majira ya Saa Tisa za Tanzania kijana mmoja aitwaye Joram Mbyella, na mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na watu wasiojulikana huko nyumbani kwake Kinondoni.
  17. JamiiForums Tanzania Suala la Walimu kufanya mitihani ndio waweze kuajiriwa liende sambamba na kuanzishwa Teachers Registration Board (TRB)

    Nimesoma maelekezo ya Waziri wa Elimu, nimeona ni vema Walimu hao hao wakifaulu mitihani yao pia wasajiliwe kwenye board yao. Hivyo ni vema kuanzishwa kwa Teachers Registration Board sasa. Hii itasaidia walimu kuepukana na chama cha unyonyaji cha CWT.
  18. JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  19. JamiiForums Tanzania Tunauza Water pumps za Solar

    Tuna pampu ndogo hadi kubwa za kutoa lita 30,000 kwa saa. Bei. Surface pump na submersible 0.5hp lita 2000kwa saa. complete tsh 700,000. 2hp ya kudmbukiza lita 8000 kwa saa, mita18head tsh 2,300,000 2hp ya surface lita 30000 kwa saa Tsh 3,000,000. zipo pia za mita hadi 150. 0747591578...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kufanya mapenzi kwenye vyoo vya kumbi za starehe na baa imekithiri na imekuwa kero

    Unabanwa haja ukiwa baa au klabu, unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi. Baadae anatoka mwanaume na mwanamke. Hii imekithiri sana hapa Bongo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…