kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kuuza Nguo au Kufanya Biashara ya Nguo

    Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana. 1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza Kabla ya kuanza, lazima uamue...
  2. monta

    Kitu gani unajutia kufanya maishani?

    Wakuu ni kitu gani ambacho unajutia sana kukifanya maishani mwako. Kwa upande wangu najutia sana kusoma Bachelor moja kwa moja toka Advance badala ya kuanza diploma au certificate ningekuwa nimesha ajiriwa au kupiga hatua kwa namna moja au nyingine kielimu kuliko kukaa na vyeti vya Bachelor...
  3. Saa 7 mchana

    Mfahamu binadamu wa kwanza kumwaga nje na adhabu aliyopata ni kuuawa baada ya kufanya kitendo hicho

    Kweli hakuna jipya chini ya jua, Kwa jina anaitwa Onani. Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao. Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilolifanya...
  4. ranchoboy

    Nimeacha Kazi Bila Mkataba, Sasa Nadaiwa Kulipa au Kufanya Kazi Bila Malipo – Naomba Ushauri wa Kisheria

    Habari wanajukwaa, Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu suala linalonihusu. Nilikuwa nafanya kazi sehemu fulani bila kuwa na mkataba wa maandishi. Hivi karibuni niliamua kuacha kazi, lakini meneja wa kampuni amenipa chaguo mbili: Kulipa pesa ya mshahara wa mwezi mmoja. Kufanya kazi kwa mwezi...
  5. mr.general

    NATAKA KUAGIZA MZIGO CHINA,ILA NASHINDWA KUFANYA MALIPO

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi kijana mwenzenu nimelenga kujilipua kwa kuagiza mzigo kutoka china kwa mara ya kwanza,hivyo basi naomba munielekeze namna ya kufanya malipo. natanguliza shukrani za dhati
  6. I

    Dola ya Marekani inavyonyanyasa sarafu mbalimbali duniani kwa mwaka 2025 na kufanya ndoto ya Brics kufifia kabisa

    Muungano wa BRICS ambao ulianzisha ajenda ya kuondoa dola ya kimarekani sasa uko chini ya rehema ya dola ya Marekani mwaka wa 2025. Dola ya Marekani ilisalia katika kijani kibichi kwa siku tisa mfululizo katika faharasa ya DXY na kukanyaga sarafu nyingine za ndani. Rupia ya India imeshuka hadi...
  7. Mr Beach Boy

    Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini

    Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini. Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo. HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk Fanya biashara ambayo histologically...
  8. K

    Prof. Kitila Mkumbo kufanya mipango ya miaka 25 bila mawazo ya Diaspora ni kutoangalia mbali

    Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo. Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine. Hawa diaspora...
  9. B

    Ni kituko gani ulikutana nacho kwenye kampuni?

    👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas 👉Hebu tuambie nawewe nini huwa kinatokea kwenye kampeni pande zenu 👉Uzi tiyari
  10. D Metakelfin

    Natafuta nafasi ya kazi ya kufanya usiku tu kuanzia saa 4 usiku hadi saa 12:00

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Jinsia ni Me Mkoa : Dar es salaam. Kazi : yeyote iwe ya kutumia nguvu au akili Niko tayari Mawasiliano kwa sababu za kiusalama nisingependa kuweka hapa ila kwa pm tunaweza kuwasiliana zaidi
  11. Waufukweni

    PreGE2025 CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma. Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu...
  12. Dogoli kinyamkela

    Jinsi ya kufanya ili ulimwengu ukusikilize

    Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela 💞UMSIKILIAYE NDIYE AKUSIKILIZAYE 🗣️Kuna vitu katika jamii vikifanyika vinachukuliwa Kama uchawi au kiini macho, Siyo kwamba kiini macho hakuna, vipo na vinafanyika kila siku pasipo wengi wetu kuvitambua Kama Ni viini macho. ✍️Ulimwengu wote...
  13. Mr-Njombe

    Kuna walioanza mwaka 2025 kwa kupata magonjwa baada ya kufanya mapenzi kizembe

    Poleni sana, ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe. Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi. Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela. Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari...
  14. JEJUTz

    Usitegemee pesa iliyopo kwenye simu au ATM card kufanya manunuzi au kulipa bills kuna Siku utaumbuka

    Hili limenitokea jana tu! Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale. Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao. Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha...
  15. Logikos

    Ni Heri wazungumziao Mipira kila siku (wanajadili wanachokijua) kuliko kufanya uchambuzi wa Mapatishi ya Wanasiasa...

    Kumekuwa na Kasumba ya watu kulalamika watanzania kila kukicha ni Kuongelea Mipira..., Tuwe wakweli sio Tanzania sehemu nyingi duniani hakuna watu kitaa wanaojadili Ideas..., kilichobaki ni kujadili Matukio..., Sasa hayo matukio ni Matukio gani tuyajadili? Blah blah zinazotemwa na wanasiasa...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

    Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka naye. Iko hivi, kuna watu wanapiga show kizembe halafu akimaliza anavaa fasta anaondoka anaacha...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Kuna binti anataka kufanya partnership (biashara) na wifi yake (mke wa kaka yake)

    Hapa ushauri unahitajika maana nimeshauri mpaka nimechoka. Kuna binti kaja kuniomba ushauri kuna biashara anatamani kufungua ila wifi yake yaani mke wa kaka yake anatamani kufanya naye partnership. Watu wenye uzoefu na biashara za kufanya na ndugu hili swala mnaweza kushauri vipi.
  18. Mr Why

    Dhuluma ya viwanda vya kufungasha mitumba China, sababu kuu ya kumzuia mke wangu kufanya biashara ya mitumba

    Wakuu mke wangu alikua muuza mitumba sasa ile biashara huwa wananunua yale mabando ya nguo na huwa linafungashwa mchanganyiko wa nguo tofauti Sasa kwa mara kadhaa kila alipokuwa akifungua ili achague nguo za kufanya usafi ili aanze kuuza huwa alikutana na taka nyingi sana za matambara...
  19. S

    Salim Kikeke kufanya mahojiano na Mbowe kuanzia saa 12 jioni ya leo

    Hii ndio habari nimeona mtandaoni jioni hii: Mahojiano yatakuwa live kupitia YouTube. https://www.youtube.com/watch?v=PjKQHmASvCM
  20. youngkato

    Jinsi ya Kuanza na Kufanya Online Business Bila Mtaji wa Pesa (Uzoefu wangu)

    Nimeanza kufanya biashara mtandaoni (online business) tangu mwaka 2021 na hii ni njia bora ya kujiongezea kipato bila ya kuwa na mtaji mkubwa wa pesa. Nitakueleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kuanza biashara ya mtandaoni ukiwa huna mtaji wowote wa pesa. Hapa ni mambo ya msingi unayohitaji...
Back
Top Bottom