stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 829
- 1,770
BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA UKIWA USWAHILINI
Idadi kubwa ya watu wanaoishi uswahili hushinda nyumbani muda mwingi, shughuli zao nyingi si rasmi, wengi wanajihusisha na biashara ndogo ndogo na kazi za kipato cha kawaida.
.
kutokana na wingi wao, hili ni eneo ambalo unaweza kuweka biashara ukauza sana.
.
1. Uza CD na sesion za kikorea. hasa akina mama wanashinda nyumbani, hao ni wateja wako wakubwa.
.
2. Fungua banda la chipsi. Utauza mno ndo sehemu yake huku
3. Uza Supu ya utumbo, vichwa na miguu ya Kuku, supu ya pweza, kacholi, miogo ya kukaanga na udambuudambu mwingine
4. Jenga gest ya vyumba bei rahisi. (imeisha hiyo 🙈)
5. Fanya biashara ya urembo na vipodozi vya wadada
6. Fungua duka la simu. Uza viswaswadu na smartphone Bei Kawaida
7. Kuwa na turubali na viti vya kukodi, kuwa na muziki ujue nyimbo mpya mpya hasa za michambo (walisema aolewi mbona kaolewa ) Uswazi harusi shuhuli bhana.
8. Fanya biashara ya kupaka wadada kucha
9. Fungua kijiwe cha kuuza kahawa na uji jioni, weka benchi wabishane mambo ya #simba na #Yanga.
10. Fungua banda La video
11: Fungua Club, Uza vinywaji.
12. Fungua duka la rejareja la mahitaji ya nyumbani
13 : uza samaki na dagaa
14. Uza mkaa wa kupima
15. Kuwa dalali, uza vitu used
16. Fungua duka la madawa muhimu ya binadamu
17. Uza Madera na vijora. vikundi vya ngoma uwe unawachukulia sare
18. Uza nguo za mtumba na nguo za ndani
19. Uza vifaa vya shule kwa rejareja
20. Tengeneza na uza juice za matunda mitaani
21. Uza mayai ya kuchemsha, maandazi, sambusa na viazi jioni
22. Fungua kibanda cha kuuza vocha na miamala ya simu
23. Tengeneza na uza sabuni za kipande na sabuni ya maji
24. Uza bidhaa za watoto wachanga
25. Tengeneza na uza mikoba ya shule au viatu vya mitumba
26. Tengeneza viungo vya chakula na paketi ndogo ndogo
27. Fungua kibanda cha kushonea haraka
Shona zipu, punguza suruali, punguza gauni – kazi hizi ni nyingi sana uswahilini.
28. Uza bidhaa za usafi wa nyumbani
Uswahilini hakuna biashara ndogo – kuna biashara yenye watu wengi! Ukifanya kwa akili, nidhamu, na ubunifu, kipato ni cha uhakika
Biashara gani umeipenda ili tuichambue zaidi na kuiundani upate na machimbo yake?
Njoo nikupe kitabu cha Machimbo ya bidhaa za jumla kaliakoo
Humu kuna namba za simu za wauzaji wa jumla tuu utapewa 0743 257 669