kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya kufanya field

    Nina mdogo wangu yupo chuo mwaka wa pili anasoma accounts, nilikuwa nauliza sehemu na nzuri za kufanya field.
  2. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kua mazoezi yanakula mwili?

    Je ni kweli kua mazoezi yanakula mwili?? Mwili ndio mwili Yaan unaisha
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabaunsa wengi ndiyo wamekuwa mashoga?

    Ukipita Kinondoni, Sinza, Tabata na viwanja mbalimbali utagundua kwamba mashoga sasa ndiyo hao wavulana wanaoshinda gym wakibeba vyuma na kujenga miili. Hali hii sina uhakika, ila nadhani inachochewa na madawa wanayomeza vijana kwa ajili ya kututumua misuli. Huenda hizo food supplements zina...
  4. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaanza majuzi kufanya mazoeni tena kwenye team ya mabinti mtaani nimzuie?

    Oya naombeni msaada demu wangu kaniambia ameamua kujiunga kufanya mazoezi ya mpira wa muguu mtaani kwao, team ya mademu, nilipo muuliza kwanini umeamua hivyo kazema ni maamuzi yake kaamua iwe hivyo nikimzuia anasema ameamua kufanya kazoeni na kila siku anaenda uwanjani na akirudi amechoka usiku...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Habari wadau, Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi? Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete kufanya ziara ya siku tatu Mkoani Songwe

    ✅ Atakagua na Kuzindua Miradi ya Maendeleo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Februari 23, 2025 amewasili mkoani Songwe kwa lengo la ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo ikiwemo ya sekta ya Elimu, Afya na Miundombinu kwa...
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hivi Sungura anataga Mayai au Anazaa? Nimeulizwa na binti aliyetoka kufanya Usaili wa ualimu hivi karibuni

    Leo mida ya mchana wife akiwa anatoka kanisani alikuwa ameongozana na binti muhitimu wa chuo cha ualimu. Hapa nyumbani nimefuga sungura wapo watatu nimenunua hivi karibuni baada ya madogo kuwapeleka kwa mfugaji mwenzangu wakawapenda sana nikaamua kuwanunulia .Muda ule walinikuta nahangaika...
  8. Mwamaluli

    JamiiForums Tanzania “UNATAKA KUANZA BIASHARA, LAKINI HAUNA IDEA” HAPA NI NINI CHA KUFANYA?

    8. Jaribu na Chukua Hatua Ndogo Ikiwa bado unajisikia kukwama, jambo bora unaloweza kufanya ni kusitisha kufikiri kupita kiasi na kuanza kujaribu. Huhitaji kuwa na wazo bora au mpango mzuri wa biashara kabla ya kuchukua hatua. Wakati mwingine, njia pekee ya kupata wazo lako kubwa ni kujaribu...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tips rahisi na zisizo na gharama unaweza kufanya kusuluhisha changamoto mbali mbali

    🔨Kama una pasi ya umeme iliokona na uchafu na unataka kuisafisha haraka. Iwashe ipate moto then chukua wax yamshumaa usugue katika pasi. Jinsi wax inavyoyeyuka inaondoka na uchafu. Ukishamaliza zima pasi ipate ubaridi then tafuta kitambaa au tissue ufutie mabaki. 🔨Kama ukitaka kukumbuka kwa...
  10. Isenye

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili Tanzania Aviation Authority

    Hamjambo humu? Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali. Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected. Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 naacha kufanya tendo la ndoa napumzisha mwili wangu ili kuongeza siku zangu za kuishi

    Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama...
  12. baro

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: ACT Wazalendo : Kufanya Mkutano wa Halmashauri Kuu kubadili agenda ya No Reform No election

    Wakuu Kwa Taarifa zilizonifikia ni kuwa kikao cha Tundu Lissu pamoja na Ado Shaibu (KM ACT WAZALENDO) na Ismail Jussa, kilichofanyika jana ofisi za chadema AGENDA yao ilikuwa ni kuhusu NO REFORM NO Elections na hivyo wamekubaliana, hiyo imepelekea ACT kuitisha halmashauri kuu ili AGENDA hiyo...
  13. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Sababu 4 zenye kufanya mwanamke anawachukia wanaume pamoja na kuyachukia mahusiano

    Ukiona mwanamke yeyote ambaye anajiita strong and independent woman,super woman, Wakanda forever, mwanamke wa shoka n.k nyuma ya hayo majina kuna maumivu makali sana moyoni ikiwemo msongo wa mawazo, kujichukia,kukata tamaa ya maisha . hivi sasa kuna ongezeko la single mother ulimwenguni kwa...
  14. Mwamaluli

    JamiiForums Tanzania Unataka kuanza biashara, lakini hauna idea” hapa ni nini cha kufanya?

    Kwa pamoja, sasa tuanze kujifunza hatua moja hadi nyingine. Njia 8 za Kugundua Wazo Lako Kubwa 1. Tambua Uwezo Wako na Mambo Unayoyapenda Moja ya njia bora za kugundua wazo lako la biashara ni kuanza na wewe sifa zako, nguvu zako, na mambo unayoyapenda. Kwa nini? Kwa sababu kujenga biashara ni...
  15. Mwamaluli

    JamiiForums Tanzania Unataka kuanza biashara, lakini hauna idea” hapa ni nini cha kufanya?

    Najua unatamani sana kuanza biashara. Unaiota, unazungumzia kuhusu hiyo, unakatiza kupitia hadithi za mafanikio mtandaoni ukifikiria, Hii inaweza kuwa mimi. Lakini unapokuja kuchagua wazo Unagandishwa. Unajisikia umekwama, umejaa wasiwasi, labda hata umechoka kidogo. Labda umeshawahi kusema...
  16. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wazazi Mnaosomesha Watoto Shule za Private jifunzeni kufanya tathmini ya Pesa mnayowekeza katika Elimu hiyo na matokeo yake (Hawatazeekea Nyumbani)?

    Katika kila jamii, elimu hupewa nafasi ya kipekee kama nyenzo ya kufanikisha maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Wazazi huwekeza kwa gharama kubwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora, wakiamini kuwa elimu ni ufunguo wa maisha bora. Lakini swali la msingi linabaki: Je, uwekezaji...
  17. Moaz

    JamiiForums Tanzania Njia wanazotumia viongozi wa serikali kufanya ufisadi

    Viongozi wa serikali katika nchi nyingi za Dunia ya Tatu hutumia mbinu mbalimbali za kifisadi ili kuiba pesa za wananchi huku wakijifanya kuwa waadilifu na wenye dhamira ya maendeleo. Wanafanya hivi kwa kutumia mifumo rasmi ya serikali, udhaifu wa sheria, na mbinu za ujanja wa kiutawala. Hapa...
  18. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Usiruhusu Kusemwa Kwako Vibaya Kukakuzuia Kufanya Mambo Ya Msingi

    Zab 69:12 SUV [12] Waketio langoni hunisema, Na nyimbo za walevi hunidhihaki. Kusemwa kupo, tena kama ulikuwa hujui ujue Leo, na nikuambie kwamba utasemwa sana, utasemwa na marafiki zako, utasemwa na wapendwa wenzako, utasemwa na walevi, utasemwa na majirani, utasemwa na operesheni wenzako, na...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya malipo aliexpress

    Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kenya imetoa mwanya kwa Congo River Alliance's kufanya mipango ya mapinduzi Congo na RSF kuigawa Sudan

    Kenya katika EAC inaelekea kuwa kitovu cha mipango hasi dhidi ya serikali kadhaa za ukanda huu. Kabla ya vita kupamba moto DRC, viongozi wa makundi mbalimbali ikiwemo M23 walikutana Kenya na kuunda umoja wao yaani Congo River Alliance's baada ya hapo vita ikazuka ya nguvu sana DRC, mipango hii...
Back
Top Bottom