KERO Mfumo UDOM una changamoto, wanafunzi wanashindwa kufanya usajili na UE imekaribia

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

msanuaji09

New Member
Joined
May 18, 2026
Posts
2
Reaction score
1
Baadhi ya Wanafunzi UDOM wamekwama kwenye issue ya usajiri na hii ni kutokana na mfumo wao wenyewe kuna muda unakuwa mzito ukiomba ktu kinachelewa muda mwengine control numbers zinakuja mbili mbili sasa kama sasa hivi dirisha limefungwa na hakuna dalili za kufunguliwa hadi leo na wakati huo huo UE inaanza trh 15.

July, 2026 viongozi wa serikali ya wanafunzi haiweki mambo hadharani kama watu wameshindwa kusajiri wafanye nini vile vile wanadai watu watumie Examination E-Ticket kwa ajili ya UE ilihali ukirequest iyo E-Ticket haitaki kupakia iyo Ticket.

Kimsingi hali ni mbaya.
 
Mnafanyeje Sasa?
 
Back
Top Bottom