kufanya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nisome 'short courses' zipi ili kuweza kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya uchimbaji madini?

    Hello wanajukwaa, Kichwa cha habari chahusika. Mining industry. Ninapenda sana kazi za migodini, at management level. Shauku yangu na ndoto yangu kubwa ni kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya big/giant investors (foreigners or local) nchini Tanzania, specifically...
  2. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana

    Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watumishi walio chini yake kufanya kazi kwa kutegemeana na kushirikiana bila kutengeneza makundi. Ametoa rai hiyo Mkoani...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

    Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake. Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo. Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope. Serikali imenunua magari 270 ya...
  4. JamiiForums Tanzania Misaada keyboard ya laptop herufi I na backspace zimeacha kufanya kazi

    Rejea kichwa cha uzi huu,naomba msaada wenu,sijajua kama itakuwa ni kubadilisha keyboard yote au la, laptop ni Dell inspiron natanguliza shukurani.
  5. JamiiForums Tanzania Jiajiri mwenyewe kwa kufanya kazi ya ‘kubadilisha upepo’ wa matukio mbalimbali, niamini lazima utoboe!

    Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say "Hakuna!" I was supposed to say " HAKUNAGA". Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au nafasi kubwa serikalini, anasema Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake " Rich Dad Poor Dad", yalikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeanzisha utaratibu wa kufanya kazi za nyumbani: Kufua, kuosha, vyombo, kupika etc

    Baada ya kumchunguza mke wangu Kwa muda mrefu nimegundua kazi za nyumbani yaani chores zinamchosha na kupelea kuwa na hasira zisizo na msingi mara Kwa mara. Hivyo nimeanza utaratibu wa kufanya kazi za ndani hasa juma mosi na jumapili ambapo siendi kazini. Leo niliamka saa kumi na moja...
  7. JamiiForums Tanzania Kama umejiajiri unapaswa kufanya kazi kwa bidii, ukiajiriwa acha sifa fanya jukumu lako tu

    Hello! Ndio hivyo wazee, kama umejiajiri fanya kazi kwa bidii maana biashara ikifilisika na wewe umefilisika automatically bila kipingamizi. Ila kama umeajiriwa neno bidii halikuhusu, kumbuka kuwa kama ulijaza mkataba wa kuanza kazi ni vyema ujue kuna mkataba wa kumaliza kazi. Watu wengi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufanya kazi za mauzo kwenye mashirika au binafsi tukutane hapa

    Habari wana JF, Nilikuwa Afisa mauzo (Salesman) kwenye kampuni flani jina sitalitaja, nikiuza bidhaa aina ya Tumbaku. Kupata hela pungufu au bidhaa pungufu lilikuwa jambo la kawaida yaani short kwa ujumla, na hela pungufu umepata ndogo ni elfu hamsini na kuendelea ni short kweli kweli usipokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi vijijini nilikuwa nasikiaga tu kwa jirani

    Yamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata. Ajira...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Postamasta wa Zamani Macris Mbodo atakuja kufanya kazi gani? Je, Mamlaka ya Uteuzi ilichemsha kumlinda Maharage?

    Yeye mwenyewe anatuambia kuwa POSTA MASTA aliyekuwapo anafanya kazi nzuri sana. Macris Mbodo ameifanya Tanzania Posts Corporation kuwa mbele kuliko mashirika ya Posta yaliyo mengi katika bara la Afrika. Na kwa kutambua hilo yuko masomoni kujinoa ili afanye vizuri zaidi. Huku nyuma anatuletea...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata kibali cha kufanya kazi kihalali South Africa

    Nawezaje kupata kiball cha kufanya kazi kihalali nchini South Africa? Nahitaji kuwa na sifa zipi au kuwa na nini? Wenye uzoefu naomba muongozo.
  12. JamiiForums Tanzania Workstation kama hii naweza kufanya kazi gani na nikaingiza kipato ndugu zangu?

    Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, naomba niende moja kwa mija kwenye mada, nataka kuandaa workstation kama hii nyumbani kwangu, na mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mitandao ila napenda sana kufanya kazi online, mpaka sasa nimesha nunua monitor mbili 27inch HP, nina computer (laptop...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza Mkandarasi BCEG Kufanya Kazi Saa 24

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amemuagiza Mkandarasi wa Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa Beijing Construction Engineering Group (BCEG) kufanya kazi hiyo, kwa saa 24 na siku zote za wiki ili kazi hiyo ikamilike kabla ya Oktoba 15, 2023. Dkt. Ndumbaro ametoa...
  14. JamiiForums Tanzania Ni sawa dalali kufanya kazi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa?

    Naomba kupata Uelewa kuna jamaa mmoja ni dalali wa magari na mambo kama hayo ila anafanya kazi ofisi ya mkuu wa mkoa fulani hivi hii iko sawa?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, ataweza kufanya kazi kweli? Aliyeajiriwa ameanza na Tgs C huku yeye akiwa na Tgs B. Na wote wanadiploma

    Umeme umekatika na baada ya mshahara kuingia ameniamsha na kuanza kuwaza tu Mbona ajira mpya wanashahara mkubwa kuliko yeye?
  16. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

    INTRODUCTION: Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini. Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa. SCENARIO Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine...
  17. JamiiForums Tanzania Mtanzania ndio binadamu pekee bila kumbembeleza hawezi kufanya kazi ipasavyo

    Ndugu zangu mimi ni mtanzania, ila watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa sana hasa kwenye sekta ya ajira. Watanzania tunaringa, wavivu japo siyo wote ila asilimia kubwa tupo hivyo, nenda kwenye mabank, hosptalini, nida, manispaa, tra kwenye viwanda nakadhalika, aiseeh utachoka. Alafu umkute...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua mtu akikwambia nimeenda sehemu maalamu kufanya kazi maalumu ina maana gani?

    kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
  19. JamiiForums Tanzania Aliewahi kuwa housegirl anaingiza zaidi ya milioni 1 kila mwezi, walioenda vyuo kuna haja ya kufanya kazi sehemu binafsi kwa mishahara ya laki 3?

    Ni binti naemjua kabisa alikuwa house girl akiwa na umri wa miaka 16 alitolewa huko Iringa aje kusaidia kazi, baada ya miaka sita familia ikaamua wampeleke sehemu ajifunze kushona, alipomaliza akarudi kwao kijijini wakampa cherehani na milioni 1 na nusu ya shukrani. Binti hakukaa sana huko kwao...
  20. JamiiForums Tanzania Ungeweza kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungetamani kufanya kazi gani?

    Wakuu kwema? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungependa kufanya kazi gani? Haijalishi ina hela au lah, lakini kazi hiyo inakupa amani ya moyo na furaha na unaona ungekuwa unafanya hiyo yaani utakuwa na furaha maisha yako yote, ungependa kufanya nini? Mi napenda sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…