kufanya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ofisi unayotaka kufanya kazi, wafanyakazi wana hali gani, wewe tazama "parking"

    Hello! Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote. Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya mwasibu, Afisa manunuzi na ya meneja tu hapo pamejaa ufukara. Nawewe unakwenda kuambukizwa ufukara...
  2. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa msanii 50 Cent kutoka nchini Marekani hataki kufanya kazi

    MSANII 50 CENT "Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent "Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu...
  3. econonist

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mahakama Maalum ya Katiba haijawahi kufanya kazi Tanzania?

    Nina swali kwa wadau wa JF. Ukisoma Ibara ya 125 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna mahakama Maalum ya Kikatiba ilianzishwa, ila mahakama hiyo haijawahi kufanya kazi au kusikiliza shauri lolote. Je, ni sababu gani inazuia mahakama hiyo Maalum ya Katiba kutowahi kusikiliza...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

    Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!, Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya...
  5. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Ingiza $1 kila siku kirahisi kabisa bila kufanya kazi

    Habari za mchana wakuu, mimi kazi yangu ni kuwasogezea michongo ya online ya kuingiza pesa. Kuna huu mchongo rahisi kabisa unaokupa $1 kila siku kwa simu yako na internet yako bila hata ya kuhangaika kufanya kazi. Kuna hii App inalipa kwa kushare internet yako tu. Ikifika $5 unaweza kuitoa...
  6. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Korea Kusini kuanza majaribio ya kufanya kazi kwa Siku 4 kwa Wiki badala ya SIku 5

    Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Yonhap, Watumishi wa zaidi ya Taasisi 50 katika Jimbo la Gyeonggi wataanza jaribio hilo badala ya Siku 5 au 6 za sasa. - Majaribio hayo yanayotarajiwa kuanza mwaka 2025 yatatoa Uhuru kwa Watumishi kuchagua kati ya kufanya kazi siku 4 au kupunguza zaidi Saa za...
  7. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufanya kazi ya Saidia Fundi

    Nimeiiba sehemu..... Kuna mwanangu baada ya kuchapwa na life, akaamua kujitosa kwenye kazi za saidia fundi. Kazi ya kwanza aliyokutana nayo kwenye ghorofa moja hapo kariakoo ilikua ni kubeba zege. Kwa jinsi alivyofika tu kazini walivyotizama umbo lake mafundi wakamuambia “Dogo utaweza kweli?”...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania hivi kuna uwezekano wa mfumo wa ujamaa kufanya kazi kukiwa na wastani mkubwa wa ongezeko la watu?

    tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa na kuzikana kwa pamoja,lakini naweza kusema ujamaa ni mfumo wa mbinu/mchakato katika kujenga ubepari...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Hello, ladies and gentlemen wa jamii forum , Kama uzi unavojielezea hapo juu . Nina live example . Mimi ni mwanafunzi wa sheria, Jumatatu nilipeleka barua ya field katika mahakama ya wilaya X hawakuipokea wakaniambia nafasi zimejaa katafute sehemu zingine na kunirudishia barua yangu ...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kishujaa ya mke wa Masanja Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe!

    Wadau hamjamboni nyote? Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja "Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe lazima usamehe, lazima uachilie" Je unampa ushauri gani? Njozi njema!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa kusimamia 4R kwa vitendo,Watendaji wa chini msomeni Bosi anataka nini,acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Mimi binafsi nimekuwa nikikerwa na utendaji kazi wa Nape,Makamba,Makonda na Slaa kwa kushindwa kuzielewa 4R za Rais kwa vitendo. Rais anataka utendaji kama ifuatavyo: 1. utendaji wenye kuzingatia sheria,kanuni,taratibu na miongozo.Mara nyingi hawa vijana wameonekana kukiuka hizi taratibu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je African Chief Act ya mwaka 1969 bado inafanya kazi? Kama inafanya kazi kwa nini Rais Samia ameagiza machifu kufanya kazi?

    Hii sheria ilitungwa na Bunge mwaka 1969 na kifungu cha pili cha sheria hii kilizuia na kukataza Machifu kufanya shughuli zozote za kiutawala. Sasa leo nimesikia mkuu wa nchi akiagiza machifu wakafanye kazi za kiutawala hasa kushughulikia kero za watu kutekwa. Je, hii sheria ilishafutwa? Au...
  13. Candid Scope

    JamiiForums Tanzania SoC04 Rais awe na muda wa kufanya kazi ofisini zaidi na kupunguza ziara

    Ningefikiria zaidi juu ya kazi ya Urais kuwa na muda wa kutulia zaidi ofisini licha ya shughuli za kila siku za Rais ofisini, hii itampa muda zaidi wa kuyapitia mambo mbalimbali yahusuyo uamuzi wa rais na mambo mbalimbali ya serikali kabla ya kutoa uamuzi. Mambo mbalimbali ya mikataba na...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Jason Derulo akubali kufanya kazi na diamond baada ya kupost kupitia insta story yake

    Komasava ya diamond inazidi kumpa mashavu zaidi baada tu ya chriss brown kuucheza wimbo wake na kuwa gumzo duniani kutokana na ukubwa wa breezy. Jason derulo amekubali kufanya wimbo na diamond kwenye kipindi hiki ambacho ngoma yake ya kovasava ikishika chart kila kona. Ukiachana na Derulo...
  15. Iddizahoro

    JamiiForums Tanzania Habari wana jamii Naomba gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
  16. Iddizahoro

    JamiiForums Tanzania Habari nahitaji gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?

    Huwa napenda kujiuliza hili swali mara kwa mara, ni bora kusali sana au kufanya kazi sana? Kama jibu unalo, naomba utusaidie ili tuweze kupata ufahamu zaidi.
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Ataka Vituo vya Forodha Kufanya Kazi saa 24, Ngara

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amemshauri Mbunge wa Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro kushirikiana na Mamlaka husika ili kuangalia uwezekano wa ujenzi wa Kituo cha Forodha cha Mugoma, mkoani Kagera baada ya kujiridhisha pasipo shaka iwapo eneo hilo linafaa kwa ujenzi wa Kituo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kazi iendelee kwa kufanya kazi masaa ishirini na nne katika siku saba za wiki kwa kuukuza uchumi wa kila Mtanzania

    Yamkini tukiweza kuruhusu na kufungua sehemu nyingi za kiuchumi kufanya kazi usiku na mchana tutaongeza wigo kubwa la kuwapatia nafasi wasiokuwa na ajira kupata ajira. Tukiachilia hivi karibuni baadhi ya mabasi yaliyoachiwa kufanya kazi ya usafirishaji wa abiria usiku na baadhi ya makampuni...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Edwar Lekaita aweka msisitizo maliasili na utalii kufanya kazi kwa karibu na WMA

    MBUNGE EDWAR LEKAITA Aweka Msisitizo Maliasili na Utalii Kufanya Kazi kwa Karibu na WMA Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka mpya wq fedha 2024/2025 amesema WMA inasaidia wananchi...
Back
Top Bottom