kufanya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kekule benzene

    Tunafanya kazi saa moja hadi saa saa 12, Kuna watu wanataka wagome

    Standard working hours
  2. VMWare-Oracle

    Kujitolea kufanya kazi katika kampuni mbalimbali za umeme, Dar es Salaam

    Habari wakuu. Mimi ni mwanachuo wa DIT mwaka wa kwanza,ngazi ya Ordinary Diploma in Electrical engineering. Katika kipindi hiki cha likizo ya wiki mbili,nilikuwa naomba connection kama nitaweza kupata sehemu nikajiegeza kwa ajili ya kupata ujuzi nje ya workshops. Sehemu iwe yoyote...
  3. Chillah

    Mwasisi wa TANU, Shushushu anayetajwa kufanya kazi na mashirika 8 ya Kijasusi duniani

    Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika...
  4. BARD AI

    Mtanzania adai kuteswa Iraq, alienda kufanya kazi

    Upande wa mashtaka katika kesi ya kusafirisha binadamu inayomkabili Mohamed Masoli umedai mlalamikaji (jina limehifadhiwa) baada ya kufika nchini Iraq kwa ajili ya kufanya kazi za ndani aliteswa na bosi wake, ikiwemo kuingiliwa kimwili na wanaume zaidi ya wawili kwa wakati mmoja. Hayo...
  5. the galaxy a

    Msaada wa kazi au shughuli yoyote, nipo Dodoma

    Habari, Kama kichwa kinavyo sema hapo juu, mimi ni kijana nina miaka 26 elimu ya stashada ya maendeleo ya jamii kwetu ni mtwara kwasasa nipo Dodoma, Ujuzi nilio nao tofauti na elimu yangu: . Ujuzi wa computer hasa exel,word na publisher . Saluni ya kiume(kunyoa) . Kuandaa miradi, nipo hapa...
  6. TheForgotten Genious

    Serikali isizuie watu kwenda kufanya kazi Falme za Kiarabu bali itengeneze mazingira maalumu ya watu kuwa salama wawapo huko

    Kumekuwa na zuio la watanzania wanaopata chance kwenda kufanya kazi ugaibuni kuzuiwa kusafiri hasa hasa siku ya safari,licha ya kwamba mtu anakuwa na vielelezo na viambata vyote muhimu kwa madai kwamba wanaenda kufanyiwa vitendo vibaya,Yamkini wapo mabosi wanafanya hivyo la kini si wote ...
  7. N

    Rais Samia yuko tayari kufanya kazi pamoja na wapinzani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freemen Mbowe katika mkutano wa CHADEMA alisema kuwa aliandika barua kumuomba Rais Samia Suluhu kufanya maridhiano ya kitaifa wakiamini ni njia sahihi ya kufanya kazi na kujenga nchi na Rais Samia alijibu barua hiyo ndani ya siku 3 alilidhia ombi hilo. Pamoja na kuwa na...
  8. IamBrianLeeSnr

    Hapa huwa najiuliza ni wapi tunapokosea Watanzania? Uongozi wa aina ipi tunaohitaji kufanya kazi pasipo kushurutishwa?

    Our late president JPM alikuwa Chapakazi sana kwa hili nampongeza sana kwa wakati ule alipopokea kijiti kutoka kwa JK alikimbia sana na wakati kwenye kuinua nchi upande wa nyezo za uchukuzi na kuipa nchi nafasi nyingine ya kuingia mikataba yenye uhai hata hivi leo bado zinaendelea kufanya...
  9. Nyuki Mdogo

    Unaona nini kwenye hii picha?

    wazee wa VAR😂😂😅😅
  10. Heaven Seeker

    Je, ni kwanini viongozi wengi na Taasisi nyingi hasa za Serikali hawapendelei sana kufanyia kazi Tafiti zinazofanyika hasahasa vyuo vikuu?

    Kwa taarifa tu ni kwamba, Wakufunzi ( Wahadhiri) wa Vyuo mbalimbali hasahasa vyuo vikuu, mojawapo ya majukumu yao ya msingi ni kufanya Tafiti mbalimbali. Ukiangalia kwenye google scholar kisha ukaanza kutafuta research zilizofanyika hapa nchini na wahadhiri wetu, utakutana na utitiri wa tafiti...
  11. stineriga

    Janga la umeme linaloendelea, tujuzane wapi unaweza kwenda kufanya kazi zako kwa kulipia au kununua wanachouza

    Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada. Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika. Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
  12. barafu

    Ajali ya ndege Bukoba ni matokeo ya uzembe na kufanya kazi kwa mazoea.Tuwajibishane ili tusirudie makosa

    Yamesikika mengi kuhusiana na ajali ya ndege ya PW kule Bukoba, yamesemwa mengi na wanasiasa na wasio wanasiasa. Kila mtu anasema la kwake, lakini moja na lenye uhakika ni kuwa, kuna watu wanapaswa kuwajibishwa kwa ajali ya ndege Bukoba. Tumepoteza ndugu, marafiki na jamaa zetu kwa sababu ya...
  13. MSAGA SUMU

    Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

    Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg. Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga...
  14. C

    Kwanini kufanya kazi kwa Wahindi ni changamoto sana?

    Nimetafakari sana juu ya hali ya wafanyakazi wanaofanya kazi katika kampuni na mashirika mengi yanayoendeshwa na Wahindi na kugundua kuwa kuna vitu havipo sawa, hasa kwenye ngazi za kiutendaji. Kuanzia kariakoo mpaka sehemu nyingine nchini asilimia kubwa ya wafanyakazi huwa hawapewi mikataba...
  15. Lycaon pictus

    Baada ya kufanya kazi kwa miaka saba, Trevor Noah ameachana na The Daily Show

    Mchekeshaji Trevor Noah kutoka SA ameachana na kazi ya kuhost kipindi cha habari na vichekesho cha The Daily Show.
  16. prumpeti

    Polisi wanafanya kazi katika misingi ya kimaadili?

    Habari! natumaini ni wazima wa afya. Kumekuwa na vitendo vinavyo leta maswali katika jamii ya watu walioelimika ukiachana na hawa wafata mkumbo ambao ndio wengi katika Taifa hili. Je, polisi wanatekeleza majukumu yao katika misingi ya kimaadili? Nimefuatilia kwa uchache tukio la ukamataji wa...
  17. JanguKamaJangu

    Rais Ruto akana kufanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta

    Rais wa Kenya, William Ruto amekanusha madia hayo kuwa alifanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta wakati wa kampeni za uchaguzi wa Rais wa Agosti 9, 2022. Tetesi ni kuwa walikuwa wakifanya kazi pamoja huku Kenyatta akidanganya umma kuwa anamuunga mkono mgombea wa Azimio, Raila Odinga. Ruto...
  18. sky soldier

    Kwanini Polisi wameanza kufanya kazi za Trafiki?

    Tofauti na tulivyozoea, polisi kitengo cha trafiki wenye uniform nyeupe ndio wawe wanashugulika na mambo ya magari, kwa sasa polisi wa vitengo vingine wanaingia barabarani kufanya kazi za matrafiki. Mbaya zaidi inaonekana wazi lengo ni kucheza mchezo uleule wa matrafiki!
  19. Allen Kilewella

    Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi? Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata? Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika? Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
  20. MoseKing

    Binti Mkenya, Diana Chepkemoi apitia Jehanamu Saudi Arabia, baada ya kwenda kufanya kazi za Ndani

    This Kenyan girl called Diana Chepkemoi, Meru University student who went to find work in Saudi Arabia. She went healthy, now she is ENSLAVED. See her transformation. Our embassy has her location and employer's phone but they are sitting pretty waiting for her to die. Sad!
Back
Top Bottom