Hii ni story yangu na nitatoa na mifano ya vitu nilivyowahi kufanya. Watu wengi hawakujua, lakini kuna matukio kadhaa yaliyotokea nikiwa mtoto ambayo hayakuwa ya kawaida kabisa. Haikuwa mara moja ilikuwa vitu ambavyo vilitokea mbele ya watu wengine pia.
Mfano wa kwanza ulikuwa mvua.
Kuna siku...
Tunaweza kuwa na tofauti zetu lakini kuna mstari ukivukwa lazima utauona umoja wa watanzania hata wanaotofautiana
Trump akithubutu kutuletea mambo yake aliyofanya Vendezuela na sasa Iran, atajutia uamuzi huo maana sio kwa aibu atayopata.
Tanzania, Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu...
Habari guys?
Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini.
Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta nimeitwa kwenye usaili katika kada zaidi ya 3.
Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa...
Leo nilikuwa hapo kariakoo kununua pamba Hawa jamaa wanazingua kinyama yaani Kuna mmoja nimemuambia mzee kalime viazi hii sio kazi ni usumbufu Kwa raia ningekua na bunduki.
Mngesikia winga kala shaba ya kichwa sababu Mimi sipendagi usumbufu nikiwa naenda kununua pamba nataka kichwa changu...
Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili na wale ambao wamefanya mchakato wa kupata vitambulisho vipya, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa...
Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii
1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya kufanikiwa na kuwa imara, Mungu atakufanya ufanye maamuzi sahihi, atakupa watu sahihi na pia kupata...
Swali limenyooka hio wakuu, yaan halijapinda kabisa. Sasa nakuuliza wewe hapo ni kitu gani unaweza kufanya hata ukiwa usingizini yaan umelala ila ukaambiwa ufanye na ukafanya saa 7 usiku bila shida na ukakifanya kwa kukinyoosha kabisa.
Mimi nina vitu km vitatu ila kwa leo nitataja vitu viwili...
Je, hili ni kweli wakuu?
By 1879, Uganda was the only place in the world where C-sections were performed to save both mother and baby. European observers documented this practice, which used local tools, herbal anesthetics & antiseptics.
1. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu nchi yoyote duniani iwe na uwezo wa kuunda silaha ambazo mwisho wa siku zikirushwa zinaweza kufika au kutua ndani ya ardhi ya Marekani na hatimae kuleta madhara kwa wamarekani ndani ya marekani. Na ndio maana nchi zilizojaribu kutengeneza silaha za maangamizi...
Hapo vip!
Ipo hivi mimi ni mwanaume ambaye mapenzi sana sio kipaumbele kwangu.
Na nikikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi nakuwa na amani na furaha sana kwenye maisha yangu pia nakuwa mtu wakufocus sana na mipango yangu,najiamini sana,najiona nipo salama sana,pia spirituality nakuwa na nguvu...
Nilikuwa napita huko upwork nimeshangaa sana japo sijui hiyo kazi ina ukubwa gani lakini malipo ni yakushangaza ,, mtu kafanya kazi 5 au 10 lakini ukiangalia malipo yake ni balaa,, em tupeni mbinu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo.
Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
Wanabodi
Hii ni Makala yangu ya leo, kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo
Declaration of Interest
Naomba kuanza kwa kudeclea interest kuwa mimi ni muumini wa ile rai ya Makomu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, tusiendelee kuzungumzia kile kilichotokea October 29, ili tusizidi...
Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua.
Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
Wakuu, nimegundua kuwa tahajudi si kitu Cha mchezo. Usiku wa kuamkia Leo nijaribu ku-meditate na kilichotokea usiku kucha ni vituko.
Nilikuwa naota ndoto za ajabu ajabu, nilikuwa naongea mwenyewe hadi wife akawa ananishtua usingizini, n.k.
Kwa hiki kilichonitokea nimesitisha kufanya tahajudi...
Kuna watu wengi sana wanapenda kufanya biashara, kuandika mitandaoni, kufundisha, au kutangaza huduma zao… lakini wanakwama sehemu moja: “Sijui design.”
Zamani ilibidi ujifunze Photoshop kwa miezi mingi au umlipie designer pesa nyingi ili tu upate poster moja.
Lakini leo hali imebadilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.