kufahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanapendelea RAM kubwa kwenye simu bila kufahamu matumizi halisi ya RAM

    Mara kadhaa kabla ya ununuzi wa simu imesababisha watu wengi kuamini kuwa RAM kubwa zaidi kama 3GB, 4GB, 8GB na 12GB ndio suluhisho kuu la kuboresha utendaji wa simu. Ingawa bila shaka ni muhimu, sio suluhisho pekee la utenda kazi bora, au hata lazima liwe sahihi, kulingana na mahitaji yako...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu aina ya madini yanayopatikana Zanzibar tafadhali

    Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini . Ninawasilisha
  3. B

    JamiiForums Tanzania Makomando na askari wa karne hii ni watu wenye nguvu za mwili au wanapaswa kuwa watu wenye upeo mkubwa wa kufahamu mambo(IQ kubwa)?

    Wakati tunapita JKT miaka 80+ kigezo Cha uaskari kilipimwa Kwa mambo yafuatayo; 1. Urefu 2. Mwonekano wa umbo 3. Uwezo wa kupiga paredi 4. Smartness Kwa maana ya unadhifu wa mavazi. 5. Unoko Watu wenye sifa zilizoelezwa hapo juu bila kujali uwezo wao wa kufikiri,kupambanua mambo na kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo saba ya kufahamu kuhusu jua

    Huenda watu wengi hufikiri kwamba wanapoliona jua angani, ndivyo hivyo, na wengine hata hufikiri kwamba ndege hupita inaporuka. Lakini sivyo ilivyo, jua linazama na kuzama huku likiwa na habari za kushangaza ambazo hata huzifahamu. Watu wengi huamini kwamba jua huchomoza na kuzama, yaani, mawio...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress

    Naomba masaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress nishaweka order zangu kwenye cart lakini sina uzoefu wowote wa kununua bidhaa online kwa njia hii, nimewahi kununua kupitia kikuu pekee... Nahisi namna ya kuagiza sio shida sana maana naweza kusoma kwenye tovuti yao na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ni namna gani naweza kujiunga na JWTZ baaada ya kumaliza kidato cha sita

    Mwaka huu namaliza kidato cha 6 na ningependa kujiunga na jwtz baada ya hapo na inakuaje Kama sitapangwa JKT.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu gharama za kujenga hii nyumba

    Wakuu habari za mwaka huu wa 2022! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimeshajenga msingi tu. Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta...
  8. JamiiForums Tanzania Job Ndugai watanzania wanataka kufahamu ukweli, itisha press conference. Eleza ukweli, tatizo ni mkopo au urais?

    Mpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania. Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba. Sasa, watanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Unaponunua viwanja vya mradi wa viwanja, unaweza kufahamu ujirani?

    Unaponunua nyumba au kiwanja ni uwekezaji wa kudumu. Ni muhimu ufahamu; Kiwango cha uhakifu, Utoro na mahudhurio ya watoto ma shuleni, Kiwango cha kelele na udhibiti wake. Haya mambo uyafahamu wakati umehamia, yanaweza hata kuathiri thamani ya nyumba au kiwanja unapotaka kukiuza. Mfano tu...
  10. JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:
  11. JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kama hawa jamaa walikufa au walipona

    Kuna video inatrend jamaa wawili wako kwenye gari ndogo wanajirekodi video. Kufumba na kufumbua gari ya mbele yao inafunga break ghafla wanaipiga kwa nyumba hawaja kaa sawa dreva anataka kuitoa pembeni wanakutana na Basi uso kwa uso na wote wananyamaza kimya kwenye video. Je, wamekufa? Hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu hili kuhusu Rejesho la NSSF

    Habarini wadau, nizame moja kwa moja kwenye lengo la uzi. Kumekuwa na Changio la NSSF la kisheria kwa wafanyakazi wa umma na binafsi na baadhi yenu mmekuwa mkisaidia taasisi zenu kukusanya na kudeposit kwenye control number husika. Cha kushangaza kama inavyosemekana ni kwamba imekuwa ngumu...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu CV za Prof. Mark Mwandosya na Prof. Homeli David Mwakyusa

    Nianze na Profesa Mwandosya Ni mhandisi wa umeme Alisomea Japani Amefundisha vyuo vikuu vingi kwanjia ya video conference kitambo Hakusomea masters ila akawa Prof how? Alikuwa wizara moja na JK enzi za Mwinyi. Wakagombana. Mwinyi akawapatanisha JK alipokuwa waziri akamteuwa kwenye serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji kampuni zinazoweza kunitengenezea kreti za vinywaji kwe bei nafuu

    Habari wan JF. Kuna yeyote anayeweza kunipa connection ya kampuni yoyote inayotengeneza kreti za vinywaji hapa Tanzania?
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa elimu: Kila mtu asome

    Ninajua hii itaondolewa hapa haraka,, some na usambaze. Chanjo ya covid 19 inamtengeneze mtu mpya. Hutakuwa wewe tena wala watoto wako, na vizazi vyakkko vyote. Ndiyo sababu inapigiwa kelele kwa lazima bila kujali kuna magonjwa mengi zaidi yanayoua kuliko corona. Sasa hivi serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu nini chanzo cha majipu na tiba zake sehemu za siri

    Habari zenu wana JF, Kuna magonjwa mengine kama yanadharirisha hivi jinsi ya kuyatamka kwa watu.. lakin ndo hvyo waswahli walishatwambia mficha malazi kifo umuumbua.. Mimi ndugu zangu nina tatizo la jipu limenitokea kwenye makalio pemben kidogo mwa njia ya haja kubwa.. Ni kama uvimbe ulio...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu ESRA Company

    Wakuu habari za asubuhi, Naomba kujua kwenye ufahamu na hii kampuni esra company ltd nimejaribu kuifuatilia sielewi ofisi zao ziko wapi kwa hapa Dar mana walinitumia Email kuhusu kazi kupatikana. Mwenye uelewa anijuze.
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu wizi wa magari unafanyikaje

    Habari wakuu. Kuna kitu hua nashindwa kukielewa hasa wizi wa magari. Je wizi wa gari unafanyikaje kama gari imefungwa. Je unakutamwizi ana funguo ya ziada ama nini kinafanyika. Je kwa gari ambazo ni keyless za push to start pia zinaibiwaje maana nyingine kama hujaingia na ufunguo haiondoki...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano ya mpenzi wako na EX wake?

    Nawasalimu wana jukwaa. Natumai mu wazima sana humu ndani. Kuna jambo ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je, hivi ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano aliyotoka mpenzi wako kabla ya kuwa na wewe. Na hii ni kwa wote, wanaume na wanawake? Ukweli wako kwa upande wako ni muhumi hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…