kufahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania WENYE KUFAHAMU KIINGEREZA MTUSAIDIE HAPA. Hili somo muhimu sana.

    https://vt.tiktok.com/ZS43Hah8U/
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je Wewe ni CEO Mwenye Kampuni Ambayo bado Haijaanza Kazi Tangu Isajiliwe? Yakupasa Kufahamu Hili…

    Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama; (a). Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi? (b). Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi mjawahi kufahamu teknolojia za urusi ni complicated ukilinganisha na Ulaya na USA,Japan, China ndio maana zimefanikiwa kukubarika

    Leo nilikuwa na rubani tukipata bia nyumbani. Ananiambia hakuna mtu mwenye akili timamu ukaweza kumpa ndege za urusi ambazo zimejaa saa kila kona kiufupi ni vipima vyilivyo kwenye mfumo. Nikabidi niangalie ndege na teknolojia kupitia Google.Ni kweli kabisa yani ndege zao mpaka marubani...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu masomo yanayofundishwa sasa hivi ngazi ya Nursery na Primary (Mtaala Mpya - English Medium)

    Habari za majukumu wana-JamiiForums? Naomba msaada wa kufahamu masomo rasmi yanayofundishwa kwa sasa katika ngazi ya Elimu ya Awali (Nursery) na Shule za Msingi (Primary) kwa mfumo wa English Medium. Lengo langu ni kupata uelewa sahihi wa mtaala mpya ili niweze kuwaandaa vizuri watoto wangu...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiunganisha uongozi wa Uganda wanacho kifanya ndio Tanzania wanacho kifanya

    Kuna kauli za Museveni na mwanae kama inavyoonekana Tanzania imeshakuwa mali yao bado kenya kwa mfumo wake wa utawala. Kitu kinacho nipa kufikiria zaidi embu mfatilie museveni na mfatilie samia kauli zake na matendo ya serikali .
  6. A

    JamiiForums Tanzania Afya ya mama mjamzito

    Je, ni kawaida kwa mwanamke mwenye ujauzito kuwa anatapika frequently kiasi kwamba hakuna chochote anachoweza kula iwe ni maji ama chakula ni lazima atapike? NI ujauzito wake wa kwanza.📌 dawa zote alizopewa siku ya kuanza clinic hazimezwi sababu ya kutapika.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni CEO Mwenye Kampuni ambayo bado haijaanza kazi tangu isajiliwe? yakupasa kufahamu hili

    Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama; 1. Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi? 2. Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Umewahi kufahamu kuwa kuna samaki anaweza kuishi miaka hadi 500?

    The Greenland shark can live over 400 years. It was swimming before Shakespeare was born.
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Mercedes Benz B Class 180.

    Habari Wana jukwaa,naomba kujua sofa/uzuri/ubora pia madhaifu ya Benz B class 180 na 170,Asante Sana.
  10. JamiiForums Tanzania Hapa naweza kufahamu namba ya simu?

    Habari wakuu? Je naweza kufahamu namba ya simu kwa kutumia hizi namba ? Ahsante
  11. R

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha, Polisi Uganda wakikagua video ya mwisho aliyopost Bobi Wine kufahamu alipo

    Kama alivyotoa tamko Jenerali Muhoozi Kabobi atafutwe apatikane akiwa hai au amekufa Ila nimegundua ukishaitwa Polisi kidogo unakuwa hamnazo yaani zinafyatuka, hapo wakiulizwa mnamtafuta kwa kazi gani na wao watajibu ni order ya Jenerali
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kufahamu kinacho endelea ujenzi wa barabara jijini Mbeya

    Wakuu msada kwa anaeye fahamu kinacho endelea juu ya ujenzi wa njia nne jijini mbeya. Mwaka jana nilishuhudia kero ya vumbi na baadaye matope! Kisa ni enzi huu sasa jana narudi Mbeya mjini hali ni ile ile! mwaka jana walau wajenzi walikuwa kazini maeneo mengi kuanzia Uyole hadi Mwanjelwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Usifuge ng’ombe wa maziwa bila kufahamu haya, utafeli

    SOMO FUPI (LILILOFANYIWA UTAFITI): Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Ng’ombe wa Maziwa Lengo la somo: Kuwezesha mfugaji au mwekezaji kufanya uamuzi sahihi, wa kitaalamu, na wa faida kabla ya kununua ng’ombe wa maziwa, ili kuepuka hasara zinazotokana na maamuzi ya haraka au taarifa zisizo...
  14. JamiiForums Tanzania Dotto magari tuna kufahamu watoto wa kinondoni, Punguza kamdomo

    Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa. Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe. Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini...
  15. JamiiForums Tanzania Ukitaka kufahamu kuwa wazee wa maandamano wana akili ndogo kasikilize " space " na "live " zao wakipanga mipango ya maandamano.

    Jana nilisikia space ya Maria , insta live ya Nuru vazi na za TikTok nasikilizaga. Nikichogundua kuwa wako very disorganized yaani hakuna kiongozi watu wanaongea hovyo mpaka wengine wanagombana kabisa. Kuna kundi Wanataka maandamano ya Amani mabango bila fujo huku wengine wakitaka wasipangiwe...
  16. JamiiForums Tanzania Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  17. JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Mac Wish kinakwama kwenye Marekting bila kufahamu

    Ni jambo la kushangaza kuona taasisi ya elimu kama Chuo cha Afya Mac Wish ikishindwa kunufaika na fursa ya kujitangaza ipasavyo. Badala ya kuwa na kitengo cha masoko chenye ubunifu na mvuto, kimeonekana kutochukua hatua madhubuti – na matokeo yake, majukumu nyeti ya marketing yameachwa mikononi...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu zaidi ya maswala katika uendeshaji biashara chini ya kampuni

    Habari wanazengo, Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea niwe na utulivu ili nipate elimu kwanza kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye kusajili kampuni...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo linalokula data za watu bila mtu kufahamu hapa kwenye pagination ya chapisho

    Habari, Pagination ni nini ? kitaalamu pagination ni zile buttons za next and prev hizi zinakuwezesha kuona comment zaidi zilizo hide mfano 1, 2, 3, 4, 5, 7 ambapo hapa jamiiforums zipo pale kwenye comment section tupo pamoja. Mfumo wa pagination unaotumika sasa hivi kwenye JamiiForums (ule...
  20. JamiiForums Tanzania UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    Wakuu, Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi. Nimefahamu haya 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…