ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,841
- 6,013
Tunaamini kabisa hapa Jamii forum watu Wana taarifa za kutosha na sahihi zaidi, Sasa Kwa watoto kabla ya Primary chini ya miaka 6, je Kwa Mkoa wa Dodoma ipi ni Shule nzuri zaidi , tatu za juu, mana Naona Shule ni nyingi Sana sasa nashindwa kukupa ipi ni Bora.
Kuna waday wametaja Dt.max, Almes, Canon adrea, fountain, st.mary, Feza, Martin Luther sasa japo zote ni Shule lakini zipi ni Bora zaidi, kwasababu naamini Mazingira zinatofautiana Sana, na walimu pia zinatofautiana. Na vipi kuhusu Ada zake, zinaeleweka au ndo balaa