kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Dalili za mapenzi kufa

    Naombeni kuzijua dalili za mapenzi kufa. Yaani utajuaje kama mapenzi yako yashakufa au yanataka kufa?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mimi siyo Tajiri. Mngemwona Baba yangu mngezimia na kufa kwa mshangao

    Wengi nikiandika humu maisha yangu wanadhani mimi ni tajiri. Wala si tajiri. Maisha ya kumiliki gari GMC,RR,Mercedes Benz, BMW, VW za miaka ya hivi karibuni na kukaa apartment Oysterbay si utajiri. Nawakatilia kabisa.ni maisha ya kawaida ambayo mtanzania yeyote anaweza ishi. Mimi kusafiri kwa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa halisikii dawa

    Huyu sichana ni jinga na huyu kijana hajielewi. Alianza kumtafuta Peter wa P square akijisogeza sogeza kwama awe anampost. Akaweka waji kwamba akiconnect na watu maarufu atapata fanbase kubwa. Peter wa P Square akamtolea nje. Alipopata kuona macho ya huyu mondi yanamwelekea akajibeba mzima...
  4. lup

    JamiiForums Tanzania kwa mfano wa yanayoendelea familia ya diamond ni halali wanaume kufa mapema kuliko wanawake kwenye ndoa,

    za jumapili na weekend kwa ujumla, ni wazi kwamba wengi wetu tunajua nini ambacho mama diamond amekiwasha huko anga za habari na kusababisha kila mahali kuwa ngumzo tu, kwa yanayoendelea nin halali kabisa kwa familia nyingi kupoteza wanaume kwa maana ya kufa na wanawake kuwa ndio wenye nyumba...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Malawi yatangaza siku tatu za maombolezo baada ya mawaziri wawili kufa kwa COVID-19

    Waziri wa Serikali za Mitaa, Lingson Belekenyama na Waziri wa Usafirishaji, Sadik Mia wamefariki Januri 12 asubuhi kutokana na COVID19. Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ametangaza siku tatu za maombolezo kwa ajili ya mawaziri na wamalawi waliofariki kwa COVID19. Bendera zitapepea nusu mlingoti...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazee wengi ambao walipata kuwa Maarufu na Matajiri nchini wakioa tu Wanawake wa 30's huugua na Kufa haraka?

    Mifano ya Kichwa changu cha Habari ipo mingi tu ndani na nje ya Tanzania ila kwa Tanzania naona hali hii inaongezeka kila Uchao tu na Kututishia.
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kufa imefanya dunia ianze safari ya kiama

    Utabiri wa mwisho wa dunia umetolewa miaka mingi na mbali mbali huko nyuma.Utabiri wa namna hiyo ulipita na kuondoka na baadae watu kurudi kwenye shughuli zao na starehe zao kama kawaida. Tangu kuzuka kwa corona binadamu wamepatwa na hofu iliyo kubwa kiasi kwamba wale waliozowea kuona dunia...
  8. mgt software

    JamiiForums Tanzania Wanamizengo tumekubali mziki wa dance kufa au maproducer ndio wanaouua wakina majani na pfank

    wana jf kwa sasa naona bendi nyingi zimegukia mwendo wa bia kama kiingilio, sijui wanalipanaje lakini najiuliza hawa wakongman wamefanyiwa nini hawatungi nyimbo mpya au wanaangushwa na maproducer wa tzm tuje kwenye bendi zetu zilizikuwa zinaiga miziki ya kongo na kuigeuza kuwa ya kitzed m nao...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa sheria ya kunyongwa hadi kufa haitekelezwi, kwanini isifutwe?

    Jana mkuu kasema hatatekeleza adhabu ya kunyongwa kwa watu walopewa hukumu hiyo, sasa nashauri sheria hii ifutwe badala ya kila anayekuja kuipotezea... ugumu uko wapi kuifuta sheria hii?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la habari msitafute mchawi, Chanzo kikubwa cha vyombo vya habari kufa ni kukosekana "Habari za kiuchunguzi"

    Jukwaa la habari na wachambuzi mbalimbali wanadai kukosekana kwa wateja kwenye vyombo vya habari kumeletwa na teknolojia ya mitandao! Wanadai kwamba Siku hizi watu wengi wanapata taarifa mitandaoni hivyo ndiyo maana hawanunui magazeti au kuangalia TV. Madai kama haya hayaakisi ukweli halisi wa...
  11. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje tarehe na mwezi wa kuzaliwa na kufa vinafanana?

    Yaani unazaliwa tareh 1 mwezi wa 3 1999 na unakufa tarehe 1 mwezi wa 3 2000
Back
Top Bottom