Hili haliwezi kupita hivi hivi,kuna mjadala wa mrithi unakuja, huko kwenye chama wanasema katibu nae ana unga tela, mrithi anaweza kutoka pasipo tarajiwa, sasa ili kuzima yule mjamaa akasema hana nia na kesi si mjadala utahama ?
Wiki hii imeanza kwa wafuasia wa Lissu na Heche kumshambulia vikali mwasisi wa CHADEMA mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe baada ya yeye kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa bwawa la umeme la Nyerere. Kiukweli Mbowe kadhalilishwa sana kwa siku kadhaa. Ninampongeza kwa ukimya wake kuonyesha ukomavu wa...
Baada ya kilimo kulipa na kuvuna nusu ekari ya bamia huko kisarawe. Jana nimenunua kitabu cha Mo dewji how to become a bilionea ili niwaze kama matajiri wenzangu
Ile kukifunua kuanza kukisoma page ya kwanza inasema alienda kusoma na alianza kupambania maisha yake akiwa new york Marekani...
1. Je, maonesho Kilimo ya Nane Nane uendeshwaji wake uko sawa sawa?
2. Je, wakulima wanahudhuria na kujifunza kupitia maonesho haya
3. Nani mwenye jukumu la kuhakikisha wakulima wanashiriki maonesho haya?
4. Je, ni kwanini kwenye baadhi ya viwanja vya maonesho waoneshaji wanalipishwa gharama...
Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena
Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako.
Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata, waambie wiki hii una marejesho
Washkaji wakisema wanakulipia bill kwa leo, waambie unaumwa na hauwezi...
Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama.
Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili kuendelea kupokea pensheni yake.
Kwa mujibu wa wachunguzi, mama huyo alifariki mwaka 2022, lakini kifo...
Hbari
Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa namna yeyote Ile
Au rafiki Yako wa kike ameshawahi kukusave swala la pesa laki na kuendelea...
Kesi ya Mgawanyo wa Rasilimali za CHADEMA iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Katibu Mkuu imeahirishwa mpaka Agosti 5, 2026. Taarifa hiyo imetolwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala...
ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi bila hakika ya huduma hiyo kwa siku kadhaa mfululizo. Katika maeneo tuliyofuatilia maji hutoka mara...
Leo mjinga ndio anakuwa na cheo na kila kitu.
Kwa nini dotto magari kafikia kuziaki wenye elimu wakati anachokitumia kimetengenezwa na wenye elimu.
Tanzania kama mzazi kumbatia mawazo ya mtoto wako na ndoto zake.
Walimu wengi wameharibu ndoto za watoto hata mliopo hapa JF mnaweza kutoa...
National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao walizoweka hazipatikani, kuna moja inapatikana mara moja moja na ikipatikana haipokelewi.
Anonymous
Thread
barua
barua ya utambulisho
heslb
inagoma
kuendelea
kutafuta
makazi
maombi
mfumo
mkopo
utambulisho
Vyanzo vyangu vya Taarifa vimejihakikishia hakuna Kunguni yoyote aliyetoka leo baada ya Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa sana Patrobas Katambi. Mikutano ya Chuki, Matusi, Uzandiki na Uchochezi hatimaye imekwisha kabisa. Kama ulikua hujui hiyo ndiyo Serikali.
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo.
Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
- Kupiga simu badala ya kutuma ujumbe.Gen z wanapendelea kutuma ujumbe kupiga simu wanaona ni kuingilia uhuru wao binafsi.
Mambo gani mengine yakushangaza funguka?
hili jambo jamii haitaki kulisema sijui inaona aibu kuliongelea kwa vile wenye indusrty yao watasema hakuna ushahidi wa kisayansi lakini amini usiamini matumizi ya porn yanaweza kusababisha kile kinachoitwa "escalation", ambapo mtumiaji huanza na maudhui ya kawaida lakini baada ya muda...
Inavyoonekana, ni kama vile CCM kuna ombwe la ki Uongozi.
Asha-rose Migiro hatoshi na hana sifa za kuendelea kuwa Katibu Mkuu hata kwa siku moja mbele! Ni Katibu Mkuu asiye na ushawishi wala hasikilizwi na yeyote. Yupo kimya kama vile alilazimishwa awe hapo alipo.
Mbaya zaidi, pesa za Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.